Dark days 17/03/20...

Mungu atujaalie uhai na afya tufike Dec
 
The MoNA code yako matata,
Vipi star ni Maembe au?
Jambazi nani huyo?

Mkuu hamna code yoyote hapo.

Mpaka sasa naona mtanange ni 50/50 zaidi.
Mwanzo BT alikuwa star of the movie, kwa hali ilipo sasa sterling kawa jambazi kwa mara ya kwanza, na majambazi kama wamekuwa masterling tayari.

Bandari, wasudani kuna watu wanatafutwa na itapigwa counter upande wowote ule.
Kambi ya BT vs kambi tatu
 
Aaaaaa sawa kiongozi
 
Ninahofia sana kambi ya Bush Star kufungwa tena maana ukihesabu magoli ni Bush Stars 1 na Born to Town Stars 6 halafu dakika ya 78.
 
Mkuu The MoNA hivi kambi ziko tatu au nne?
1. Born To Town Stars, (M. Gang)
2. Bush Stars, (S. Gang)
3. Mkonjani FC ( New CEO Gang)
4. Hii ya 4 ni team gani vile?
 
Alafu wewe mrembo mbona mnatudrive kwa speed ya 5G kuna mdau nimeona Kasema tuhesabu siku 86 ebu tusanue kidogo matorobali yatakuwa wapi ili tuendelee kujifariji
 
The MoNA issue ya Wasudanise nahisi waliozubaishwa ni vijana hasa kuliko watu wazima au unaonaje Mkuu?

Ni kwa wote mkuu. Hii U-turn ni kwa watu wa kampuni wenye kupiga mayowe ya kupinga kumilikishwa poti ile,.!!! Japo wachache wanajua hili, ila majority hawajawahi kuwa serious na Mali za kampuni.

Bado naona ikija nyingine hii imepoa kwa haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…