jamesandrew
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 240
- 580
Waswahili na wahenga wanamsemo usemao kamba Damu ya mtu ikimwagika inafunikwa na nyingine si mchanga. Je ni kweli huu msemo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buyobe anakuja kuiba huku 😂😂Hii ni thread ya mtu mmoja anaitwa Fortunatus Buyobe huko twitter. Stop plagiarism
'Desert' hii itakuwa wapi mkuu?Kwa ku connect dot. Mission ilikuwa BT aondolewe kwa msaada wa team tatu
New CEO
Late CEO
and
PK
Then after BT has been eliminated next is PK, the late CEO team. Hiyo code ya PJLK naona inamuhusu BT & PK at once. Labda tayar kuna uwezekano wa kuondolewa wote kwa pamoja baada ya anguko la dodo.
“Desert mission”
'Desert' hii itakuwa wapi mkuu?
Hiyo code sio mtu mmoja msomi?
Desert mission ni kama unatafsiri tofauti, japo Sina uhakika.Hii code kwa kuwaza kwangu, naona kama ni open mission. Do or die mission.
Dessert as we now ni sehemu open. Sasa kama ni open maana yake, mwenye sharpness and faster target atamuwahi mwenzake.
Hapo ni team kama nne (new ceo, late ceo, mzee na pk) vs JK lkn kati ya team nne hizi pk anapaswa aondolewe baada ya jk. Lakini kwa hali ilivyo ni kuwahiana.
Pili desert mission ni moja ya mission ngumu, kwa mazingira ya jangwani yalivyo mkitumia muda mrefu kukamilisha mission kuna loss za kutosha.
Hivyo huenda tukapata taarifa “NGUMU KUMEZA, Kati ya sasa na dec.”
MKUU'Desert' hii itakuwa wapi mkuu?
Hiyo code sio mtu mmoja msomi?
Huyu anayesaliti atakuwa anamsaliti nani Mkuu?MKUU
Desert -Tanganyika!
KULE ni visiwani hakuna desert nyingine zaidi ya Tanganyika yetu mkuu!!
Huku kuna mtu anasaliti huku ndio maana ya desert mission!
Uelewa huru huu!!
Wawezakuwa mtazamo Sahihi mkuuHii code kwa kuwaza kwangu, naona kama ni open mission. Do or die mission.
Dessert as we now ni sehemu open. Sasa kama ni open maana yake, mwenye sharpness and faster target atamuwahi mwenzake.
Hapo ni team kama nne (new ceo, late ceo, mzee na pk) vs JK lkn kati ya team nne hizi pk anapaswa aondolewe baada ya jk. Lakini kwa hali ilivyo ni kuwahiana.
Pili desert mission ni moja ya mission ngumu, kwa mazingira ya jangwani yalivyo mkitumia muda mrefu kukamilisha mission kuna loss za kutosha.
Hivyo huenda tukapata taarifa “NGUMU KUMEZA, Kati ya sasa na dec.”
Desert mission ni kama unatafsiri tofauti, japo Sina uhakika.
MKUU
Desert -Tanganyika!
KULE ni visiwani hakuna desert nyingine zaidi ya Tanganyika yetu mkuu!!
Huku kuna mtu anasaliti huku ndio maana ya desert mission!
Uelewa huru huu!!
Tunajaribu tu I decode!Sidhan kama hili suala lina ubaguzi wa aina hii. Kwa kusoma Riwaya yote hata nyuzi za tumia akili ukizioanisha na hii riwaya bado hamna mlinganyo uliojaribu kuwaza.
Lakini utakuwa sahihi, mission yote itafanyikia kampuni bara. Hivyo nusu mlingoti zitakuwa nyingi.
Nachokiona, imefikia stage ya “NO WAY OUT, LET IT BE”
Tunajaribu tu I decode!
Why desert mission isihusishwe na DPW (geographic position) maana kuna wakati yoga alizungumza New CEO kwenda kukutana na kijana huko? Possible ni mission ya kumtoa Old CEO kwenye ushawishi wa kampuni kwa msaada wa PK!Tunajaribu tu I decode!
Hili ni bandiko namba....siyo ukurasa namba.....mbona nimesha kupatia mkuuView attachment 2674433
ok mkuu nimekupaHili ni bandiko namba....siyo ukurasa namba.....
===
Katika mazingira ya Sasa naona ni sahihi yoga kusitisha uzi!!! Maana Kuna vitu vya kushangaza sana kwa namna jasho linavyowatoka wahusika katika kusafisha uchafuzi wa kampuni!!!
kweli mjini njoo na akili tu hela utazikuta mjiniHizo ni pigo zake tokea enzi bwanaView attachment 2669842
Hivi mtu smart si pia anatakiwa kusimamia anachokiamini? Yaani unaburuzwa kama gari bovu halafu uwe smart? History will remember mzee wa viwango na speed as the best [emoji344] of all time...I so much agree with u. Unajua hata hawa tunaowaona wajinga si kweli. Ni siasa tu za kiafrica. Ni kama mawakili wa serikali. Yes. Inawezekana kbs hawa wa upinzani wanawaoutshine wa serikali lkn si kwamba wa serikali ni wajinga kama wengi wafikiriavyo. Kibatala always says TO BE THE BEST BE THE OPPONENT. So huwa inawajenga zaidi. Ni vile serikalini wako flexible. Siasa zinatuharibia sana watu wetu jamani. Speaker is very smart. Watu wa calibre yake achana nao kbs. Wako naturally beauty. Ila kikavazi nina pesa ningetungua magauni kama 20 hv ama 30 ya uturuki basi. Apendeze zaidi ya hapa jamani
Kati ya maisha yako na kuishi kinafki utachagua nini? Is there anybody ready for death?Hivi mtu smart si pia anatakiwa kusimamia anachokiamini? Yaani unaburuzwa kama gari bovu halafu uwe smart? History will remember mzee wa viwango na speed as the best [emoji344] of all time...
Watu wote watakufa..Kati ya maisha yako na kuishi kinafki utachagua nini? Is there anybody ready for death?