Dark days 17/03/20...

'Desert' hii itakuwa wapi mkuu?

Hiyo code sio mtu mmoja msomi?
 
'Desert' hii itakuwa wapi mkuu?

Hiyo code sio mtu mmoja msomi?

Hii code kwa kuwaza kwangu, naona kama ni open mission. Do or die mission.

Dessert as we now ni sehemu open. Sasa kama ni open maana yake, mwenye sharpness and faster target atamuwahi mwenzake.

Hapo ni team kama nne (new ceo, late ceo, mzee na pk) vs JK lkn kati ya team nne hizi pk anapaswa aondolewe baada ya jk. Lakini kwa hali ilivyo ni kuwahiana.

Pili desert mission ni moja ya mission ngumu, kwa mazingira ya jangwani yalivyo mkitumia muda mrefu kukamilisha mission kuna loss za kutosha.
Hivyo huenda tukapata taarifa “NGUMU KUMEZA, Kati ya sasa na dec.”
 
Desert mission ni kama unatafsiri tofauti, japo Sina uhakika.
 
Wawezakuwa mtazamo Sahihi mkuu
 
MKUU

Desert -Tanganyika!

KULE ni visiwani hakuna desert nyingine zaidi ya Tanganyika yetu mkuu!!

Huku kuna mtu anasaliti huku ndio maana ya desert mission!

Uelewa huru huu!!

Sidhan kama hili suala lina ubaguzi wa aina hii. Kwa kusoma Riwaya yote hata nyuzi za tumia akili ukizioanisha na hii riwaya bado hamna mlinganyo uliojaribu kuwaza.

Lakini utakuwa sahihi, mission yote itafanyikia kampuni bara. Hivyo nusu mlingoti zitakuwa nyingi.

Nachokiona, imefikia stage ya “NO WAY OUT, LET IT BE”
 
Tunajaribu tu I decode!
 
Hili ni bandiko namba....siyo ukurasa namba.....
===
Katika mazingira ya Sasa naona ni sahihi yoga kusitisha uzi!!! Maana Kuna vitu vya kushangaza sana kwa namna jasho linavyowatoka wahusika katika kusafisha uchafuzi wa kampuni!!!
ok mkuu nimekupa
ila ngoja tusubiri mpaka desemba ambayo yoga katuambia maana unaweza kusema wanajisafisha kwa juu juu kutupumbaza wananchi lakini chini ya karpet kunafukuta si unajua watu wana visasi myoyoni mwao hasa wale wa kanda ya kaskz vs pwani
 
Hivi mtu smart si pia anatakiwa kusimamia anachokiamini? Yaani unaburuzwa kama gari bovu halafu uwe smart? History will remember mzee wa viwango na speed as the best [emoji344] of all time...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…