Dark days 17/03/20...

Israel saw it coming and got prepared.

What Abt us Nyikani😭?
 
Israel saw it coming and got prepared.

What Abt us Nyikani[emoji24]?
Tuko macho.Tunaendelea kuona kwa ukaribu sana,Lakini dalili na ishara zimaenza kuonekana. Tunapiga kelele kuwatahadharisha watu lakini tunaonekana wendawazimu, watu tuliopotoka na ambao tumeachwa na muda.

Mwenye hekima awe kama mjinga ili aweze kupona ila mwenye akili hakika ataangamia kama mpumbavu.

Mwenye masikio na Asikie. Na mwenye kusoma azidi kuyasoma maandiko na kuyaelewa. Amen.
 
According to Hebrew callender tayari tumekwisha uingia 2024.

Mwaka 2023 ilikuwa nusu shari, bt 2024/2025 ni shari kamili.

Msiotaka kutubu kubadilika na kuacha DHAMBI, mnaodhulumu HAKI za raia maskini na kuwatwisha MIZIGO mizito na shuluba tele,

KAZI mnayo!!
 
Wasiotaka kutubu. Mimi siko kwenye kundi la watu wenye shingo ngumu. Kila mmoja ataubeba msalaba wake.
 
Ufunuo wa Yohana 7:3-4
[3]akisema, Msiidhuru nchi, wala bahari, wala miti, hata tutakapokwisha kuwatia muhuri watumwa wa Mungu wetu juu ya vipaji vya nyuso zao.

[4]Nikasikia hesabu yao waliotiwa muhuri katika kila kabila ya Waisraeli, watu mia na arobaini na nne elfu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…