Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

UNABII JUU YA 2023.

According to Hebrews callender.

Mwaka mpya unaanza October. In other way tumeshauanza mwaka mpya 2023.

VITA DHIDI ya KANISA 2023.

Kuna vita inaendelea ktk Ulimwengu wa Roho Kwa miezi mitatu Oct, November na December.

Matokeo ya vita hiyo yatakuja kuonekana baada ya miezi 3 ya kule ktk Ulimwengu wa Roho ilikoanzia, Hivyo ktk uhalisia itaonekana JAN, FEB na MARCH 2023 ktk Ulimwengu wa mwili.

Watumishi wa Mungu watashambuliwa Kwa Kila njia kuhakikisha Mungu hapati Ibada duniani.

Watu wa Mungu wanaaswa kuomba Ili pasiwepo majanga March 2023 ktk mataifa.

Maombi serious yanaendelea Kwa Walio wa Mungu bt kama huombi jua you are in trouble maana wataanguka Kwa Tauni na upanga WANADAMU wengi Hasa WAOVU.

Kutatokea:

1.VITA ktk mataifa. 2. NJAA. 3. Riots au Maandamano. 4. Magonjwa 5. Economic stagnation, Nk. Nk nk.

Kuna vuguvugu limeanza ktk Nchi mojawapo EA, viongozi wanapuuza wanaaminia farasi na wapanda farasi wengi walionao.



Kama Pana mtu ANAONA anapita kipindi kigumu, tunapoelekea Hali itakuwa zaidi ya hapo.

SABABU ZA MAGUMU KUIKUMBA DUNIA.

1. Dhambi na UOVU uumezidi ktk Nchi hivyo adhabu lazima ije ktk Nchi mfano,

Disney channel Kuna cartoon ya KIPEPO inaitwa LITTLE DEMON, inalenga kuwaingizia watoto kuanzia 3 years na kuendelea wavamiwe na Roho ya Ushoga na usagaji na waamini single gender marriage ni jambo la kawaida.

2. RUSHWA imetapakaa ktk mataifa, HAKI na msingi aloweka Mungu haufuatwi. Damu ya wasio na hatia imemwagwa sana. Nk n k nk

3. YEZEBELI kushikilia REMOTE control kuwaongoza Wafalme wa Dunia kufuata maelekezo ya BAAL na SHETANI.

Mungu asema, Hakuna AMANI itatawala kama Bado YEZEBELI anatawala.

Uasi utatokea, Vita, Magonjwa nk, umelenga kusafisha waovu wote Ili wale WATAKATIFU wakaao Duniani wapate kupumua.

Kizazi Cha vijana waloharibiwa na YEZEBELI kitainuka dhidi ya wazazi na viongozi wao na kuleta sintofahamu ktk JAMII na Nchi nyingi.

PREPARE THE WAY OF THE LORD.

YEZEBELI wakati wa Kuzaliwa Kwa Yesu alilenga kuwauwa watoto wote Ili YESU pia auawe, bt hakuweza sababu Mungu alimficha.

Alipozaliwa MUSA Nabii, waliuawa maelfu ya watoto Ili Mission ya Ukombozi wa Wana wa Mungu usifanikiwe, bt Apangacho Mungu ndicho hutimia.

Ktk mazingira ya ugumu wa Maisha, kundi kubwa la waliokandamizwa ,Mungu atawapa uwezo waje juu Ili kudai MABADILIKO na HAKI ktk Nchi nyingi.

Uchumi utayumba, njaa itazidi, utulivu utakosekana.

Kitainuka kizazi kitakachoulizia yupo wapi Mungu wa ELIYA aliyepasua mto kupitia vazi la ELIYA mkononi mwa MTUMISHI wake Elisha.

Watataka mabadiliko, HAKI na sauti zao hazitaweza kuzuilika.

A SMALL WINDOW IN HEAVEN.

Itakuwepo njia ndogo mfano wa Dirisha litakalotumika kama Escape route Kwa watu makini, Wana wa Mungu watakaochukua mambo haya ktk Umakini wake.

Watakaoomba na KUTUBU na kuishi maisha ya utakatifu.

EZEKIEL 33:1-4

Yasema Watch man au mlinzi aliye juu ya mnara, akiona HATARI inakuja ktk Nchi yake KAZI yake ni kupress ALARM.📢📢📢📢🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺

Alarm imeshalia, imewaarifu wakaao ktk Dunia, Mataifa na Nchi Ili wajiandae Kwa yajayo.

Na mlinzi asipopress ALARM kuwastua anaowalinda, na yakatokea Madhara, DAMU ya watakaoanguka Kwa Upanga itadaiwa mikononi mwa mlinzi huyo.

Nabii amefikisha ujumbe Kwa mataifa.

NOTE. Mambo yote huanzia ktk Ulimwengu wa ROHO kabla ya kuja Kutokea ktk Ulimwengu wa mwili.

Vita inaendelea. Matokeo ya vita ya kiroho yataonekana miezi mitatu baada ya October 2022, yaani Jan, Feb na March.

Tukiomba ipasavyo March 20, 2023 madhara yatakuwa kidogo.

Bt time frame ni kuanzia 20 0ctober 2022 Hadi 20 march 2023.

Mwenye sikio na asikie.

Ameeeeen.

ITAENDELEA,.........................
Israel saw it coming and got prepared.

What Abt us Nyikani😭?
 
Israel saw it coming and got prepared.

What Abt us Nyikani[emoji24]?
Tuko macho.Tunaendelea kuona kwa ukaribu sana,Lakini dalili na ishara zimaenza kuonekana. Tunapiga kelele kuwatahadharisha watu lakini tunaonekana wendawazimu, watu tuliopotoka na ambao tumeachwa na muda.

Mwenye hekima awe kama mjinga ili aweze kupona ila mwenye akili hakika ataangamia kama mpumbavu.

Mwenye masikio na Asikie. Na mwenye kusoma azidi kuyasoma maandiko na kuyaelewa. Amen.
 
Tuko macho.Tunaendelea kuona kwa ukaribu sana,Lakini dalili na ishara zimaenza kuonekana. Tunapiga kelele kuwatahadharisha watu lakini tunaonekana wendawazimu, watu tuliopotoka na ambao tumeachwa na muda.

Mwenye hekima awe kama mjinga ili aweze kupona ila mwenye akili hakika ataangamia kama mpumbavu.

Mwenye masikio na Asikie. Na mwenye kusoma azidi kuyasoma maandiko na kuyaelewa. Amen.
According to Hebrew callender tayari tumekwisha uingia 2024.

Mwaka 2023 ilikuwa nusu shari, bt 2024/2025 ni shari kamili.

Msiotaka kutubu kubadilika na kuacha DHAMBI, mnaodhulumu HAKI za raia maskini na kuwatwisha MIZIGO mizito na shuluba tele,

KAZI mnayo!!
 
According to Hebrew callender tayari tumekwisha uingia 2024.

Mwaka 2023 ilikuwa nusu shari, bt 2024/2025 ni shari kamili.

Msiotaka kutubu kubadilika na kuacha DHAMBI, mnaodhukumu HAKI za raia maskini na kuwatwisha MIZIGO mizito na shuluba tele,

KAZI mnayo!!
Wasiotaka kutubu. Mimi siko kwenye kundi la watu wenye shingo ngumu. Kila mmoja ataubeba msalaba wake.
 
Ufunuo wa Yohana 7:3-4
[3]akisema, Msiidhuru nchi, wala bahari, wala miti, hata tutakapokwisha kuwatia muhuri watumwa wa Mungu wetu juu ya vipaji vya nyuso zao.

[4]Nikasikia hesabu yao waliotiwa muhuri katika kila kabila ya Waisraeli, watu mia na arobaini na nne elfu.
 
Back
Top Bottom