Dark days 17/03/20...

Yesu alisema utapoiona iisrael imerudi kwenye nchiyake ya ahadi basi siku ndo zimeisha
 
Asante, nimesoma, Uzi mzuri.

Inaongelea chukizo la uharibifu kama Ishara ya kurudi Kwa Yesu.

Mathayo 24 mengi yameandikwa humo.

Watu wanachanganya DHIKI ya mthayo 24, na DHIKI kuu ya Ufunuo wa Yohana.

DHIKI ya my 24 ni kabla ya UNYAKUO, na DHIKI kuu ya Ufunuo wa Yohana ni baada ya UNYAKUO, WATAKATIFU hatutakuwepo duniani .

2023 na kuendelea tutapitia DHIKI hiyo. Mengi mazito yanakuja, na watakufa wengi sana wasiojitakasa,magonjwa, matetemeko,vimbunga,maandamano,vita, nk nk nk

Wakati wachawi na waovu walitembea na alama Yao ya 6.. WATAKATIFU pia wanayo alama vichwani mwao.

Mungu atusaidie.

Amen.
 
Namuona nabii Musa wa Tanzania akiwatahadharisha wakazi wa Dar wauze majumbs Yao coz Kuna tufani inakuja he ni kweli has hapo may 2024!
Yule anayewaambia watu wauze mali zao kisha wahame Dar, nadhubutu kumwita ni nabii uchwara, kwenye vipimo vya kuwa nabii anapwaya..
 
12,000 kitoka kila kabila (Namaanisha zile kabila 12 za uzao wa Yakobo)
 
Ni ule msikiti wa yerusalem
 
12,000 kitoka kila kabila (Namaanisha zile kabila 12 za uzao wa Yakobo)
Ndio, Kabila 12*12*1000 ni Siri, Kwa Wayahudi, na hesabu hiyo hiyo 12*12*1000 pia Kwa watakatifu waliomwamini Yesu Ulimwengu mzima tangu anahubiri Hadi siku ya HUKUMU, hata milele.

Ni watu wengi sana, raia wa Mbinguni tangu Adam hadi siku ya mwisho ya HUKUMU.

Na baada ya hapo ni milele.
 
Ubarikiwe sana kwa Kusoma huo ujumbe.

Kwa hakika ni mambo mengi sana Mkuu Dunia itapita. Neno linatolewa ni juu yake yule atakae amini au asiamini.
Ufunuo umetuweka wazi kabisa.
(Ufunuo 22:11--12~~Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu;na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu;na mwenye haki na azidi kufanya haki;na mtakatifu na azidi kutakaswa.Tazama naja upesi,na ujira wangu u pamoja nami,kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.)
 
Ametaja kuanzia 1 Aprili, 2024 wakati tarehe hiyo ni siku ya waongo duniani.
Huyo nabii wa kwenye channel ya Unyakuo TV amewahi kutoa unabii upi kwa taifa na ukatimia?
Ntapandisha Uzi nijaribu kuelezea kuhusu Nyikani Kwa kirefu, labda utaelewa,

Kwa kifupi, Israeli halisi Si Ile ya Mashariki ya kati. Nyikani ndiyo Israel halisi ya Rohoni.

Waisraeli halisi Wana wa Ibrahimu Kwa Imani ni walokole, waliookoka, WATAKATIFU walioko duniani.

Ukristo ulioenzwa Kwa mfumo wa Dini kupitia waroma ni WA mchongo.

Waisraeli halisi walitawanyika Dunia nzima baada ya mateso Yale Kwa Kanisa la kwanza,

2023 na kuendelea, mateso hayo hayo, yakichagizwa na majanga yatalikusanya tena Kanisa.

Mahali salama Dunia nzima patakuwa hapa Nyikani,

Ndipo sasa ujue, Mungu anaandaa Nchi hii Kwa ajili ya kupokea watakatifu wake.

Atainuka Mtawala atakayeandaa jambo Hilo kubwa na atakuwa Mlawi. Hayo yatatukia wakati DHIKI Ile ya Mathayo 24 ikiendelea.

Nia Hasa ya mapigo hayo ya may 2024, ni wote wastuke na kusikia maelekezo juu ya nini Cha kufanyika.

Kukusanywa Kwa Kanisa halisi ni kuwatoa wote Kutoka katika dini zao na warudi kuabudu Kwa UMOJA, na kusanyiko kuu litakuwa siku ya sabato,kama ilivyo Kwa Wayahudi hata sasa.

IBADA itakuwa moja. Na wengi watakuja hapa, Mahali salama.

Wakati huo Wayahudi, Russia,waarabu na mataifa mengine yatakuwa yakipigana vita kugombea hekalu ya Suleiman,

Mpinga kristo ndo atawajengea na wataungana kuabudu siku moja ya jumapili.

Ndipo wote wataompinga Dunia nzima watakimbilia hapa Nyikani.

Ndipo tunapoelekea.

Ull surely see!!!
 
Sawa asante kwa maelezo.
Vipi Waisraeli wa kimwili wale makabila 12 wana wa Yakobo, kwa sasa wako nchi ipi?
 
Wako Israel Wachache, na wengi wametapakaa mabara yote, ni wengi sana hesabu Yao aijua Mungu.

Hawafanani na wazungu au waarabu, ni WA kipekee.
1. Kama wachache wako kwenye ardhi ile ya Israel na wapalestina na wengine mabara mengine, ila watu husema kwenye ile ardhi ya Israel hamna waisraeli original, vp kuna ukweli wowote juu ya hilo?
2. Umesema Waisraeli ni wa kipekee vipi unaweza kutuma picha ya waisraeli OG?
 
Huhitaji Picha kusome story ya Picha kwenye Bible.
ANZIA mwanzo 13:1 KJV, nenda wimbo ulio bora 1:5 au 5:11 pia nenda Ezekiel 8:3 pia nenda zephania 3:10 nenda ufunuo 3:9 au 2:9 pia nenda 1:15 ufunuo. Pia nenda judges 16:13 KJV.
Ukisoma mstari yote hiyo usijue ni Akina Nani OG WA Israel then utakuwa kidogo umefunguka.... Utakuwa unaelekea
 
Au hapo kidogo utapata Picha na ukisoma kumbukumbu LA torati 28. Utaiona pichaView attachment 2783712
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…