Dark days 17/03/20...

Sawa asante sana ngoja nisome maneno hayo
 
Nenda kawaangalie wale Red indians, ndo wanafanana sana na Waisraeli OG.

Si weusi Wala Si wazungu, ni kati ya hapo.

Yesu pia ni mwisrael OG, ukifanikiwa kumwona utathibitisha Hilo.
 
Dunia imejaa maarifa mengi sana. Kila mtu anaamini hili ni kweli kuliko la yule. Ukitumia uwezo ulio nyuma ya akili ya kibinadamu utagundua, Mungu anaongelewa kwa namna ya akili zaidi ya kibinadamu.

Ukweli utabaki ukweli siku zote na ulimwengu una hiyo kweli.
 
Upo Mlima Sayuni? I mean wewe ni mavuno yaliyomo mlima Sayuni?
 
Bashite is a wildcard kwa CCM. Kwa hali waliyonayo sasa, ushawiahi wao kanda ya ziwa ni mdogo kupita kiasi. Hii ni kafara waliyotakiwa kuitoa ili kurudisha ushawiahi wao kwenye hii kanda yenye wapiga kura wengi.

And most importantly, Bashite alikua kiungo mchezeshaji wa Sukuma gang. Kumhamisha kambi, ni kuidhoofisha kabisa hii gang iliyokua inatamani kurudi nyumba nyeupe!

It's not love, it's not friendship. It's just political science!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…