Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
Sawa asante sana ngoja nisome maneno hayoHuhitaji Picha kusome story ya Picha kwenye Bible.
ANZIA mwanzo 13:1 KJV, nenda wimbo ulio bora 1:5 au 5:11 pia nenda Ezekiel 8:3 pia nenda zephania 3:10 nenda ufunuo 3:9 au 2:9 pia nenda 1:15 ufunuo. Pia nenda judges 16:13 KJV.
Ukisoma mstari yote hiyo usijue ni Akina Nani OG WA Israel then utakuwa kidogo umefunguka.... Utakuwa unaelekea