Dark days 17/03/20...

Jamani ye kasema hii ni story tu hayo mengine tunatunga wenyewe kutokana na kitu ubongo wetu unajua

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Me najiuliza tu,old CEO ana 72 years sasa hivi.nini anatafuta tena kwenye haya maisha hadi aanze kuongoza hayo magenge ya wahalifu?
Sasa na huyo new CEO atadumu kweli kwa style hiyo?
Watu wa hivi huwa wanaishi muda mrefu na muda Israel akiwafuata huwa wanakuwa waoga sana kuondoka utaona anaogopa sababu anajua anapokwenda si salama kwake.

Atahaha kusaka toba, kujifanya mtu wa huruma na msafi. Ila bado huwa nafsi inakataa so anafikia wakati anaanza kuropoka mambo ya ajabu ajabu ili mradi anashindwa kutubu kwa kusema ukweli wa wazi juu ya aliyoyafanya.

Roho mbaya na chafu huwa haimuachi mtu salama.
 
Unaharibu sasa. Aliyeleta uzi angetaka hayo majina yawe wazi angeyaweka wazi.

Sasa wewe unakuja kuyaanika like seriously.
 
Wenyewe wanadai kajitungia!
 
Mkuu nimekuelewa lakini kulazimisha kuwa kafute post au picha sijakuelewa km wewe ndiye mleta Mada, umeanza leo tu unakua mkali je huko nyuma hizo CODES km zisingefunguka tungefunguliwa, zipo picha nyingi tu hata ya mtut mrefu kagomea
hapo MATUSI si busara ni bora UFUTE kabisa hayo maneno huwezi mtukana Old CEO wetu aliyetukomboa umuombee kifo, wewe ni kati ya lile kundi mlitaka tutawaliwe maisha na mtu anayekwenda mbele ya Madhabahu na kuwalazimisha Masister wavue Barakoa, ameshakufa amekufa tuliobaki acha tuvute O2
Hapa changia kwa kadri ya uelewa wako usijioneshe wewe kama ni Branch Manager
 
Unavyoongea ni as if tunawaongelea wamarekani au warussia watu ambao ni Smart na wanajua kucheza na vipofu kwa akili.

Unasahau kuwa tunazungumzia wanasiasa wa Tz ambao kwasasa yamebakia majitu majinga kuliko ujinga wenyewe yanafanya utoto wazi wazi hata mtoto mdogo anaweza jua something fishy is going on.

Sasa wewe kwa mfano swala la kuchafua mto mara unaambiwa mara kinyesi cha ng'ombe, mara tope mara residue za mafuta sijui gani.

Umeme unakata mara kwa mara unaambiwa marekebisho hivi akili ya kawaida haikuulizi kuwa inakuwaje mfumo ulipokuwa mbovu umeme uliwaka muda wote halafu marekebisho yasababishe umeme kukatika kila siku. Sio kwamba wanakuzoesha idea kuwa umeme utakatika kila siku so ununue jenereta ili shughuli zako ziende.....

Hawa watu ni wajinga na wapumbavu hawana akili ndio maana hawana uwezo wa kuficha maovu yao mchana kweupe.
 
Member kama anaona hizi CODE zinamsumbua au kumuogofya aende You Tube mbona kila kitu wazi, atakutana na Veronica Francis wameeleza hii sumu ya P 210
aandike tu Kifo cha Late CEO zitashuka kibao, humu ni makosa kuweka hata link
 
Keep dreaming mkuu.unachowaza kuwa impossible siku zote ni possible.
 
Wewe umesoma na kuelewa basi andika uzi wako ukiweka wazi kila kitu. Mfuate inbox akupe details ufunguke wazi wazi tuone umwamba wako
 
The old boss, ni better tu na yeye atoe ndoano..Maana kampuni haiwezi kuongozwa na yeye milele...Sisi kama wafanyakazi tumechoka na uhuni huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…