Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Kama ni hivyo basi utakuwa yoga ni mpango wa old CEO ili ku divert attention kwa new CEO, ili aache ku focus na maadui zake.. Yaani wanamtengenezea adui mpya... kwa late CEO walimtengeneza Jay Z
Kampuni imekuwa ya hovyo sana
Kweli liKampuni limekuwa la hovyo haswa leo kurudisha ile 100/ ya petrol
wakati CAG Kichere kasema loss ya kukata umeme imetumaliza na madeni yote ya Dowans na IPTL naona yatalipwa!
New CEO bila ya kulipangua hili kundi la Old CEO tumekwisha hasa yule aliyepo kwenye Nguvu za kiume kila siku kukata tu ili tununue viagra (Stigler gorge imemuumbua)
 
Lakini huyu CEO wazamani kwani yeye ataenda wapi anaweza kuishi miaka 45 mbele?
hata akiondoka leo lakini kazi aliyoifanya ni faida kwetu wote wenye Kampuni hii na wewe.
lijamaa lilishajipangia kutawala Milele hadi mabranch ya ziwa, Kanda ya kati nk wakaanza kumuunga mkono azidi kututeketeza
kweli Old CEO ni born town hakuna kiumbe angemtoa kwa wote tuliobaki hai
Mungu amuongezee hiyo miaka 45 uliyomuwekea
 
(1) "So hakupaswa kuifungua ile breafcase until awe officially announced as CEO! Wakati huo timu ile nyingine bado haiamini! wakaitisha a small meeting and had a very deep discussion! they wanted to know what happend to their leader!! "

(2) "Dogo aliyekuwa kizuizini na team yake wakawa released ili kupunguza tention, lakini with caution they are being watched! So they should stay away from the company matters!!"

Kwahiyo, the team B wakaweza kufanya small meeting with deep discussion while bado wapo kizuizini (hawajawa released)??

Basi sawa mkuu yoga .

-Kaveli-

I think kuna story zimechanganywa upside down iki kuifanya code kuwa ngumu.
 
Hana lolote ni mwepesi mno.
Wakati jiwe kampiga exile mwandani wake pale viungani,ilikuwa ni kwa ajiri ya mazoea na kampuni na nia ilikuwa ni kumfanya mwalimu huyo akale pension na mzee wake aache kuhangaika.
Na alikuwa anamhanya toka ni kijakazi wake,maana ishu ya ubungo na jengo la wazee wa kukata,mjuba aligoma amri ya kima yoyote kusitisha akitaka jengo liende chini kama kanuni zinavyosema,jamaa ikabidi amtume wapigwe tu,ili akampange tingatinga.ni wazi japo alikuwa boss wake ila alikuwa haoni kama anatosha katika maamuzi,mlaini laini flani hivi fitna sana.
Ila jiwe kawadubda kweli kweli nikipitia nukta kwa nukta najikuta nacheka Sana.
 
Kama ni hivyo basi utakuwa yoga ni mpango wa old CEO ili ku divert attention kwa new CEO, ili aache ku focus na maadui zake.. Yaani wanamtengenezea adui mpya... kwa late CEO walimtengeneza Jay Z

Kampuni imekuwa ya hovyo sana
Old CEO fitina nyingi sana huyu mzee, sio mafia au masonic kweli huyu??

Ukute Yuko kamati kuu ya kuhakikisha satanic law of fives inafanya kazi.

Ila sote tutakufa na Mungu yupo atatenda sawa na mapenzi yake.
 
Huu uzi ukweli ni asilimia kumi tu..

Mengine yote ni kazi ya fasihi. Kikao kikae na watu wawili huko Doha tena ndani alafu wewe ujue kila kitu kilichoongewa..

Alafu una habari ya team zote mbili na kila mkakati kwa kila team unaufahamu. Duuuh hata Kigogo pamoja na uongo wake wote hakuwahi kufikia level zako
Uzi umeanza kukatika hahahaa
 
Katika maisha kuwa makini Sana na vitu unavyo kula .
Ila Old CEO ameipenda Sana Dunia akidhani ataishi milele .
Katika jambo la kipumbavu mwanadamu hatakiwi kufanya ni kuweka kiburi cha kuamini yeye ni 'untouchable' na hakuna wa kumtikisa wala kumgusa halafu na matako yake anakwenda nyumba ya ibada anapiga goti kuongea na MUNGU.

MUNGU anachukizwa na tabia ya kiburi sababu ndicho chanzo cha umauti wa kiroho na hata mwili.

Hawa wapumbavu wana viburi sana ila ipo siku watakufa na kutamani kuomba msamaha sababu huko tuendako baada ya maisha ya duniani kufikia tamati kiburi hakina nafasi na ni disqualification kubwa sana.
 
Vyakula ni hatari sana ila the late ceo na team yake walimalizwa na powder ilowekwa kwenye zile documents. Kumbuka late ceo hawezi zisoma peke yake lazima na watu wake wa karibu wakaondoka kwa mgongo wa corona.

Inshort hii movie ilibidi ichezwe kwenye kipindi cha corona ili watu waamini kuwa ni Corona, ni mipango tu.

Corona ni mpango wa mataifa makubwa kutimiza matakwa yao. Kwenye hii vita ya urusi na Ukraine unaisikia corona tena?
Huwa napata hasira sana nikienda sehemu halafu mlinzi anirudishe mlangoni kwasababu sijavaa barakoa. Huwa natamani nimchape kofi but huwa nasikia sauti za my ancestors wananing'oneza kunambia nishushe jazba nikatafute barakoa niepuke kuharibu siku yangu sababu ya kaugomvi kadogo kakipuuzi.

Then huwa nakuwa alright.

Thank you my ancestors for looking after me from up above......
 
Huu Uzi mbona UNANICHANGANYA?mleta mada yanayoongelewa kila upande anayajua vizuri,Hadi yaliyoongelewa kwa Siri na Yule mwarabu wa Doha mleta mada anajua in details🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔mmmmh Hapana Kuna kitu hakiko sawa hapa......
Hizo ni narration skills it has non to do with the content!

Angeamua kuandika andika tu bila paragrah bila mpangilio ungesikia..,ndefu sana sijasoma aliyesoma aseme kwa kifupi
 
hawezi kuwa huyo ila sasa hivi deep informer atakuwa ameunda timu ya kumtambua yoga and those behind him, kwa sababu hii haiwezi kuwa kazi ya mtu mmoja. Hii story ya yoga imeshusha credibility ya new ceo significantly
Huyu Yoga umemuamini?yaani kila sehemu Kama yeye nae alikuwepo!kumbuka anasema walivyotangaza the late CEO is passed away Kuna mmoja akaruka huku anapop champagne yeeeh we did it!ghafla ukimya ukatawala...yoga hapa alikuwa kajificha wapi?.....Mara kukawa na kikao Cha Siri kubwa mpaka akaletwa mwarabu wa Doha ili mama aongee na kijana,it means alikuwa na mama na huyo kijana tu,!Sasa yeye kajuaje yaliyoongelewa Kati ya hao wawili Hadi kayaorothesha humu .....Yoga alijificha wapi kusikia hayo ya kikao?.....Yaani Yoga Ni Nani ajue kila upande wanachozungumza kiundani??yeye ndio wanamuamini Sana au??na Kama ingekuwa kweli anaaminika hivi sidhani Kama angekuja kuuza hii taarifa yote hapa...Yoga Ni Kanjanja Kama makanjanja wengine tu
 
Hizo ni narration skills it has non to do with the content!

Angeamua kuandika andika tu bila paragrah bila mpangilio ungesikia..,ndefu sana sijasoma aliyesoma aseme kwa kifupi
Kama has got nothing to with the content sawa!I thought anamaanisha nilichokisoma......Kuna Mambo mengi Sana yakujiuliza...trh na matukio Kuna sehemu yanapishana....sawa nitamsoma Kama za Erick Msukuma
 
Back
Top Bottom