mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Acha uongo, unajua wewe peke yakoMr Stone was killed kila mtu anajua hilo
Aliuliwa picha Lilianza kwa mahiga
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo, unajua wewe peke yakoMr Stone was killed kila mtu anajua hilo
Aliuliwa picha Lilianza kwa mahiga
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mkuu mahiga mpole vile kwanini wamfanye hovyo!!!?Mr Stone was killed kila mtu anajua hilo
Aliuliwa picha Lilianza kwa mahiga
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
hawezi kuwa huyo ila sasa hivi deep informer atakuwa ameunda timu ya kumtambua yoga and those behind him, kwa sababu hii haiwezi kuwa kazi ya mtu mmoja. Hii story ya yoga imeshusha credibility ya new ceo significantlyHiyu mwandishi atakuwa ni yule binti anayekaa nyuma ya the New CEO....
Ndio maana hata yule Kigogo alikuwa ni mchongo tu wa the old CEO..
Wadanganyika tukiambiwa haya kabla huwa tunakuwa wabishi sana.
Dada wa yanga upoDuuh!! Ndo niko page ya pili eti. Lol [emoji848]
Huwa si mpenzi wa hizi mambo ila leo nimejikuta tu natamani kuendelea kusoma hii kitu. [emoji41]
Cc. Troisième Ceil.
Nipo Mdogo wangu.Dada wa yanga upo
hivyo Mwendazake yupo jehanamu, maana hakutubu vile viroba vilivyokutwa ufukweni na kule RuvuWasipotubu watalipia jehanamu ya moto
Mungu hawezi kuwa wa michongo namna hii.atende kwa hisia na mapenzi ya wadangaji.hivyo Mwendazake yupo jehanamu, maana hakutubu vile viroba vilivyokutwa ufukweni na kule Ruvu
watu mnajaji utafikiri mlishafika mbinguni mkarudi, jamaa saa hizi anateketea aliyotufanyia hayasameheki, saa8, Akwilina, Azori, Tundu antipas
Hana lolote ni mwepesi mno.Jamaa ni Mafia itakuwa.
Any way Mimi simpendi na namlaani japo Sina hakika Kama laana inafanya kazi ama laa.
Picha lilianza kwa mahiga kvp embu fafanua kiongozi kwamba mahiga alikua miongoni mwa watu waliokuwa karibu yake sanaMr Stone was killed kila mtu anajua hilo
Aliuliwa picha Lilianza kwa mahiga
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
hawezi kuwa huyo ila sasa hivi deep informer atakuwa ameunda timu ya kumtambua yoga and those behind him, kwa sababu hii haiwezi kuwa kazi ya mtu mmoja. Hii story ya yoga imeshusha credibility ya new ceo significantly
Hateketei anakula bata tuhivyo Mwendazake yupo jehanamu, maana hakutubu vile viroba vilivyokutwa ufukweni na kule Ruvu
watu mnajaji utafikiri mlishafika mbinguni mkarudi, jamaa saa hizi anateketea aliyotufanyia hayasameheki, saa8, Akwilina, Azori, Tundu antipas
Wakati jiwe kampiga exile mwandani wake pale viungani,ilikuwa ni kwa ajiri ya mazoea na kampuni na nia ilikuwa ni kumfanya mwalimu huyo akale pension na mzee wake aache kuhangaika.
Mbavu zangu weeeee !!!!!!!!!!!!!!!!Hateketei anakula bata tu
Soma haraka haraka kabla page nyingine hazijafutwa ili usikose uhondo ndg.Duuh!! Ndo niko page ya pili eti. Lol [emoji848]
Huwa si mpenzi wa hizi mambo ila leo nimejikuta tu natamani kuendelea kusoma hii kitu. [emoji41]
Cc. Troisième Ceil.
hivi hao wamekutana naye wapi Mungu wetu , hadi awaambie muuaji km yule atamteteaMungu hawezi kuwa wa michongo namna hii.atende kwa hisia na mapenzi ya wadangaji.
Aliyekuwa M/kiti wa chama cha zambarau. Alifariki a month before CEO.Mkuu nakuelewa vizuri ila this time umeniacha njia panda hasa kwenye other companies, hapo companies umemaanisha nchi nyingine au vyama vya siasa?
The top head in one of the security agency is about to be taken down!!
Hata yule aliyefanya press msikitini kusema CEO ni mzima na yupo ofisini alikuwa safari nyingi sana. By then alikuwa Nyanda za juu.Mbona kama informal wa Our Company ni Queen Of Sheba 😳on the last days alipangiwa Safari za kutosha nje ya dsm nahisi ni mbinu ya kumuepusha na hasira za watu wale lolote lingeweza kutokea …