Dark days 17/03/20...

Niko pg 29

Bonge la story.
Yaani nahisi nasoma Angels and Demons na The Da Vinci Code
Najikuta nikiimagine hili story kama series kama McMafia au Game of Thrones hivi au vile vi Telenovela

Ningekuwa mtunzi na mtu wa sinema ningemtafuta author tuandae miniseries ya '3 phases/ generations' iitwayo 'DARK DAYS' ambayo itaanza na season / phase/ generation ya kwanza kwa 'born town' ndiye CEO, na main protagonist, ikifuatilia mambo yake anayofanya kuendesha kampuni, watu wake, anavyopiga dili, michepuko anayotafuna, etc . Huku pia inaonyesha 'late CEO' anavyo rise from obscurity mpaka kuwa main contender wa u CEO'. Picture Daenerys Targaryen. Season inaisha huyu Late CEO anavyoshinda uCEO kwa kura 60/100.

Season ya pili inaanza na late CEO akianza kazi kwa kuongeza ufanisi kwenye kampuni mara tu baada ya kupata nafasi hiyo na kuonekana booonge la mtendaji mpaka wafanyakazi wa ngazi za chini wampendee. Series itaonyesha anavyokuwa mpaka kulewa madaraka na kugeuka mbogo..Picture Daenerys Targaryen. Tena ningemfanya huyu character wa late CEO awe mwanamke kama Dany. Ateke nyoyo za watu, auience iconnect naye weeee alafu awaangushe kama Dany. Meanwhile Old Boss na mikakati yake iendelee kuonekana jinsi anavyopambania power. Hii phase inaisha na kifo cha Late CEO. Yaani kile kimashine tu kinaonesha 'flat line' afu credits zina roll, season imeisha.

Phase ya tatu inaanza na zile pilika pilika za mpaka anapopatikana CEO mpya na kuangalia harakati zake za kutaka kustep out of her Mentor's shadow....
 
Baada ya ka ubizy ka siku tatu hiz, Kuna mengi ya kuandika but muda si rafiki,[emoji6]

Nikiripoti kutoka huku ndani ndani kwenye kampuni naomba tukumbushane wapi tuliishia ili kesho saa sita mchana tuendelee na pop corn zetu!!

Nikwamba Tulienda DUBAI kidogo, then tuka rudi na kumuona mr born town akigundua njama za our new CEO, lakini new CEO ana mission yake inaitwa "chackes and balances"

Tutaanzia hapo kesho,

Lakini bila kusahau kutakuwa na new introduction ya skipped inside events, nyingi sana za muhimu zitakazo kuwa kama flash back before the death of our late CEO

Hope mtajifunza jambo, huku tukisonga mbele!!

Wale tunaoconect dots na kuhusisha na watu (haswa viongozi) msemo wetu maarufu kwenye uzi huu ni

"hii nistory tu, tuisome tu" [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Alamsiki
 
Naona post ya mwisho ilikuwa hii #484 ndio imebaki
 
Timing yako ipo vizuri umetegea tukio la leo kwenye kampuni ili utuunganishie kwenye hii hadithi
 
Nakuomba uni-tagg!
 

Ukosefu wa uwezo wa kufikiri kwa mapana. Do you think yoga is alone? Definitely not.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…