Dark days 17/03/20...

Wewe ni mtumishi,

Hupaswi kuishi Kwa dhana.

Roho mtakatifu yupo, Muulize atakujibu ikiwa ni Kweli Dar itaangamia au la!!

Mimi niliuliza na nikajibiwa. Nasubiri kusikia Kutoka kwako pia.
Mimi kuwa mtumishi haimaanishi ninayajua mambo yote ya rohoni au mambo yote ya Mungu. Au kwamba mimi niko juu ya yule aliyetoa unabii. Hapana kila mmoja anasimama kwenye nafasi yake kama nilivyosema kwenye comment yangu.

Na siyo kila kitu ninachokizungumza ni cha rohoni nilichoambiwa na Mungu.Vitu vingine ni uelewa na uzoefu tu.

Siyo kila mtumishi anaweza kuuliza juu ya jambo fulani akaambiwa, kuna muda unaomba ila Mungu anakaa kimya. Ila jibu unalipata kwa mwingine. Kama wewe umeshaambiwa basi umepata neema ambayo kwangu haijanifikia.

Labda wewe utuambie umeambiwa nini juu ya kuangamia kwa dar nzima.
 
Ndo nasema Kwa watumishi tulio na Roho mtakatifu,Roho wa Yesu,tuna uwezo wa kuuliza tukajibiwa au kuomba uthibitisho wa unabii.

Hivyo, uliza Kisha njoo na majibu sahihi.

Bt kusema hudhani ilhali Kuna watu wanaoishi mji huo na hawajui wafanye nini,bila wewe kupata uhakika utakaowasaidia hiyo Si sawa kumwambia hudhani.
 
Ukiingia kwenye channel yake, pia ameweka shuhuda za watu wengine waliothibitishiwa ujumbe huo huo.

Sasa issue ya dar ilivyo kubwa kuangamizwa yote ni issue serious.

Mimi niliuliza nikajibiwa, uliza nawe utajibiwa na baada ya hapo tuwasaidie ndugu na jamaa wa mji huo kupuuza, ikiwa Si Kweli, au kuwasisitiza wahame ikiwa ni Kweli.

UBARIKIWE.
 
Amen.Sawa hamna shida mtumishi wa Mungu acha na mimi nilifanyie kazi halafu nitakachoambiwa na kuonyeshwa nitarudi hapa hapa na kukisema.

Mwezi wa tano ni mbali ila kwa maombi ni karibu sana.Kwa Mungu halishindikani jambo lolote.
 
Uzi ushakengeuka
 
In short bado we are not a free country.
If I we chose they one they don't want. They will take him/her out.
Ni Bara LA asali na maziwa but kulamba na kunyonya si haki YETU.
 
Naweza Pata andiko hapo kwenye nchi ya Nyanza.... Maana nadhani walibadili ziwa nyanza kuwa Victoria..... Au walitaka kutusaulisha....
 
Uzi ushakengeuka
Mkuu huogopi kusikia habari kuwa Dar na wakazi wake wote watapotezwa ifikapo Mei 2024? Ni vyema mtu kutokupuuzia, na ni vyema zaidi pia kuchunguza vianzo vya habari hii kama ni vya kweli na vyenye kuaminika.

Siku za Nuhu kulikuwa na ukaidi mwingi kama huu, katikati ya muda ambao watu walitingwa na mambo mengi ya anasa za kidunia, wito wa nabii ukapuuziwa, na watu wote waliangamia isipokuwa wale wateule wachache tu.
 
Na wewe unaamini huo upuuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…