Dark days 17/03/20...

Mkuu Rabbon hii ni January vipi ww mali zako zisizo hamishik Dar umeshauza?
 
Huyo Si Nabii, ni mbashiri.

Ubashiri ni sawa na betting, bt unabii lazima utimie, ikiwa unabii umetolewa na Mungu ameghairi kutimiza unabii, lazima Nabii arudi kubatilisha unabii kabla ya muda alotoa kutimia na sababu za kutotimia unabii.

Ingia kwenye video zake, alisema 2023 ,kiongozi wa Awamu ya pili atafariki, mbona Bado yupo?

Nakushauri Leo, ingia kwenye maombi Kwa kumaanisha mwambie Mungu akuthibitishie kupitia ujumbe wa ndoto ikiwa Dar itaangamia au la,

Ukijibiwa, njoo utujuze.
 
Sasa tumuamini Mungu wa nani ?
 
Sasa tumuamini Mungu wa nani ?
Kuna maneno mengi sana ya kuwekana hofu hasa huu mwaka 2024. Huko duniani ni visanga tupu Israel na waarabu, ndugu wawili wa korea, China na Taiwan, Urusi na Ukraine.

Hawa wanabii wetu nao wanazua yao hapa nyumbani pasikalike. Yasipotimia utasikia dua zilikubalika...



Kesho chombo kimoja cha wakora wa dunia (bbc) kitatoa habari ya kumchafua nabii mmoja huku AFRIKA. Kuwa kawatenda yasomema wanawake walokua wakifuata ibada kanisani kwake. Stay tuned!!

La kushangaza chombo hikohiko halitilii maanani vitimbi vya mwana mfalme Andrew kupitia visa mikasa vya marehemu Jasusi Epstein. Kuki kwa shwaini kwa bwanyenye wala
 
Hiyo ya nabii wa kutoka afrika kuwekwa hadharani na BBC nimeona intro yake
 
Naomba unitag hiyo thread ilipo nami nisome
 
Wanabalansi kashfa ya familia ya kifalme isiwe aibu kuu kwao.

Naam, inasemekana huyo nabii wa kiafrika wanaemsemea mbovu ni marehemu TBJ. Kesho tutayaona hayo maroroso ys BBC
Wameshaprint hyo habari na huyo Andrew kaondolewa ulinzi na kufukuzwa kwny mansion lile kapewa kajumba ambacho alkua anatumia yule meghan na jamaa ake
 
Mungu atupe uhai,

Muda ni mwl mzuri, muda utaongea kufikia hiyo April 1,

Ingawa hiyo tarehe aliyotaja ni tarehe ambayo duniani watu waongo huadhimisha kwa kuiita siku ya wajinga duniani.
 
Achana na huyo nabii tapeli mhuni na mlawiti watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…