Dark days 17/03/20...

Hao wastaafu Huwa wanakua kwenye Baraza la usalama wa taifa!

Maoni yao huhitajika kwenye maamuzi mtambuka!!

Kuhusu mazishi Yao Sina experience labda itakua hivyo kama wakubwa wengine!!
 
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI sawa, vipi ukiachilia mzee kuwa kwenye baraza la usalama wa taifa, vipi upande wa Deep state?
Member was deep.state ni WA kufikirika sana.yaani.ninmfumo.ndani ya mfumo!japo ni Wana usalama.lakin no ngumu kuwajua Moja kwa moja kwamba ni huyu au yule coz sio wanausalama wote no member was the state!!

Labda BT anaweza kuwa walau coz ni member waliofuzu iliyokuwa inaitwa kijitonyama!

Kuhusu Mzee ni hamsin kwa hamsini!!
 
Aaaaaa sawa Master, shukurani sana,

pamoja na kwamba hawa viongozi huwa kwenye baraza la usalama wa taifa,

nilikuwa nikidhani watu hawa wakistaafu automatic wa nakuwa members wa DS
1. Rais JMT akistaafu, Makamu wa rais, waziri mkuu, Spika, Cdf, Mkurungezi mkuu wa usalama wa taifa, IGP, Jaji mkuu, Gavana wa bank kuu, Mwanasheria mkuu, nk nk.
 
Hiyo iliyoitwa kijitonyama ndio ikoje?
 
Kwanini haudhani kuwa wewe ndiyo hujui maana yake Chief?
Bhasi ngoja nikusaidie mkuu tusiende mbali sana...

Kasome PGO,Penal Code, sheria ya Rushwa na sheria ya TISS sana sana ya hivi karibuni mwka 2023..
Kwa Tanzania watu waliopewa Jukumu la kutekeleza majukumu ya Kushikilia,Kuzuia au Kuhoji Raia kwa nia ya kutekeleza sheria (Law enforcers) Ni Polisi,TISS,PCCB (Kwa makosa maalumu ya Rushwa tu).. Mgambo japo na wao kwa sheria ya the PEOPLE'S MILITIA(POWER OF ARREST) ACT ya mwaka 1975..

Hivyo hivyo Ukisoma Sheria ya TISS ya mwaka 2023 ina Power to arrest kama ilivyopewa People's Militia (Mgambo)..
Tusome sheria jamani..
Ambaye hajapewa Power tu arrest Legally ni JWTZ,na Majeshi.mengine zimamoto nk..

Sijui kama umenielewa?
 

Umekosea. Ni vizuri ukajua kwamba kuna vitu huvijui vizuri.

Kasome Daniel 8:13 kwenye old King James Version bible, ile ambayo sometimes ina Hebrew words au explanations on the margin, utaona hilo jina Palmoni, the Wonderful Numberer or the Numberer of Secrets.

Hao watu wanaojifanya kuelezea numerology na gematria, wametoa hilo jina Palmoni from Daniel 8:13.
 
Mkuu kwa bahati kidogo Nilibahatika kujua Lugha kadhaa na kuzisoma pia Na Hebrew ikiwa ni moja wapo..
So nashukuru Sana kwa maelezo yako..
Ila Maana halisi ninaijua kwakuwa Lugha halisi ninaijua pia..
Asante mkuu
 

Miujiza ya Bwana Yesu Kristo siku ya sabato, ili lenga kuconfirm the seventh day sabbath na kuitumia ipasavyo, na kuonyesha kwamba sabato ni siku ya worship, preaching, prayer, God's mercy/grace, God's work, God's truth/covenant, God's kingdom, God's redemption/salvation, na a memorial of creation.

Miujiza ya Bwana Yesu Kristo, haikulenga kuitengua au kuibadilisha sabato ya siku ya saba.

Agano jipya halijabadilisha amri kumi, wala sabato ya siku ya saba. Agano jipya limebadilisha ceremonial law of Moses na sio moral law.
 
Report kutofanyiwa kazi ni part ya intelligence failures.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…