Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Umekosea. Ni vizuri ukajua kwamba kuna vitu huvijui vizuri.

Kasome Daniel 8:13 kwenye old King James Version bible, ile ambayo sometimes ina Hebrew words au explanations on the margin, utaona hilo jina Palmoni, the Wonderful Numberer or the Numberer of Secrets.

Hao watu wanaojifanya kuelezea numerology na gematria, wametoa hilo jina Palmoni from Daniel 8:13.
Acheni upuuzi wenu. Tafuteni jukwaa la dini ba.ta ninyi!
 
Mwanzoni nilianza kumuonea huruma Mr. Late lakini nilipofika hapo kwenye tukio la Mzee baba Sema Sema huruma yangu kwa The Late ikaisha.

Mwandishi upo vizuri.. Iwe kweli Mr. Late alifanyiwa uhuni au alivuta naturally naona Kampuni imeokolewa kwa kiasi fulani. Ni bora hapa kampuni ilipo kuliko kule ambako ingekuepo

Kuabudiwa na kutaka kutengeneza utawala wa kifalme ni moja ya mambo ya kipuuzi sana ambayo hayapaswi kupewa nafasi hata kidogo.
Hofu inaweza kuhalalisha kifo? Hayo maneno ya ufalme ni kuhalalisha uhalifu wao tu,kosa kubwa ni kukata mirija Yao.
 
Acheni upuuzi wenu. Tafuteni jukwaa la dini ba.ta ninyi!

Hii kitu imebeba ukweli fulani hv ,ahsante kwa kutuongezea info
 
Wakuu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI, The MoNA, msakaa jr, TUJITEGEMEE, yoga, Je Mzee wetu EL alikuwa ni member wa deep state?
Vipi Deep state member wao akifa kwenye mazishi kuna ishara yoyote yaweza kuwatambulisha?
Maana huku kwingine huwa tunaona jeneza limefunikwa bendera ya taasisi, chama, taifa nk nk.

Nafikiri yes ni miongoni mwao. Japo sio deep state ile dark one. Ni hii hii ya kina born town inasumbua wasakata tonge. Na yeye ndio amemsaidia sana BT kwa namna moja au nyingine.

Watu kama yeye wenye umri mrefu kimadarak kuanzia chamani na nchini kuna vingi wanavijua hivyo ilia kulinda hiyo lazima washirikishwe mambo ya kichama na kinchi kwa namna moja au nyingine kwani kuna uzoefu wanao tayari hata mambo ya kifedha atakuwa vzuri kushiriki.

Sidhani kama wana ishara zozote zionekanazo. Nafikiri wengi huzikwa kwa heshima anayojulikana na adhira, kama ni mtu wa chama atazikwa kichama na kama alifika level kubwa za kinchi watafanya vivyo hivyo.
 
Aaaaaa sawa mkuu The MoNA shukurani
 
Edo ishara walizionyesha kbsa..
 
Back
Top Bottom