Dark days 17/03/20...

.
 
Kwani magu dodoma alikojenga kulikua no kwao? Watu mnachuki tu binafsi
 
Uo ukanda uliojitambua una maendeleo Gani? Mbona hakuna cha maana zaidi ya vijana wahuni tu
 
Uo ukanda uliojitambua una maendeleo Gani? Mbona hakuna cha maana zaidi ya vijana wahuni tu
Sawa sawa nenda katembee utajifunza mengi sana. Mimi nilishangaa kuona karne ya 21 mtoto anazaliwa ili Familia ipate watu wa kuchunga Ng'ombe zimezidi. Watu wanakunywa maji ya Bwawa moja pamoja na Ng'ombe. Mtu ni tajiri mkubwa ila ana ndugu ambaye hata pikipiki hana. Kuna mengi niliyaona huo ukanda nikajuwa kweli mababu zetu walijituma hivyo nadaiwa mengi hapa duniani. Mimi nilidhani kila Sehemu Tanzania zinafanana ila nilipotembelea hio kanda nilifunguka macho.
 
Kwani magu dodoma alikojenga kulikua no kwao? Watu mnachuki tu binafsi
Maendeleo aliyofanya Chato na aliyofanya Dodoma ? Mimi sina chuki na mtu ukweli ni kwamba ilibidi JPM apambane na wanasiasa na sio wafanyabiashara. Unapambana na wafanyabiashara huku unawaacha walioidhinisha mikataba wakiponda raha are you serious ? Badala ya kukazana na TRA na mawaziri unakazana na wafanyabiashara. Hata hela walizoiba hawajafanyia mambo ya maana zimeishia kwenye kuhonga na kununua magari ya kifahari. Hela waliopiga kina Biteko, Kigangwala n.k hazijawasaidia chochote. Maendeleo hayaletwi na mtu mmoja au kwa pupa ni mipango ya muda mrefu.
 
aliwaogopa na.kuwaonea aibu wenzake. akapeleka hasira kwa wafanyabiashara. huku akiua ajira kibao kwenye hiyo vita yake huku 5years ikipita kavu bila kutoa ajira hata moja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida ni uoga wa mabadiliko alideal na wafanyabiashara kwasababu wanasiasa walikua ni vibaraka tu wa wafanya biashara sawa hakua perfect lakini angalau vitu alifanya vilionekana kuliko alie Saini mkataba WA gas isio na thamani ,watu walikua wanaiba mafuta kwny Bomba la mafuta af wanafungua biashara za kuzuga tu wote kudeal nao ni kukurupuka?, chato hawahitaji uwanja wa ndege,stand,barabara watu mnalalamika adi chato kujengwa bank kweli? Mnaona Bora waliojenga hotel south, Bora walioweka pesa nyingi nje kuliko ambazo serkali inataka kukopa?
Weakness kibwa ya magufuri ilikua kwny democracy lakini ata hai walio tuletea democracy nani ana democracy ya kweli? Usa,uk,china,Russia, German,Japan angalia mifumo yao ya uongozi
 
Uo ukanda mwingine vipi vijana wanakunywa pombe TU na uhuni ndo sifa,wamasai wanaishi vipi? Nenda wilaya kama rombo Kuna maendeleo Gani? Au unadhani hatukujui uko
 
Uo ukanda mwingine vipi vijana wanakunywa pombe TU na uhuni ndo sifa,wamasai wanaishi vipi? Nenda wilaya kama rombo Kuna maendeleo Gani? Au unadhani hatukujui uko
Unajua ukweli na kila Mtanzania aliefika huko anajua sina haja ya kubishana kuhusu Ukanda wa kaskazini.
 
Unajua ukweli na kila Mtanzania aliefika huko anajua sina haja ya kubishana kuhusu Ukanda wa kaskazini.
Story ni nying kulko ukwel Kilimanjaro inamaendeleo Gani?,manyara? Arusha utalii ndo unaibeba sio juhudi za watu wa uko
 
Hakuna nchi ambayo imepata maendeleo kwa kutowashirikisha wafanyabiashara. Ukienda Ujerumani viwanja vikubwa vya michezo na arena zimejengwa na makampuni makubwa. Na Serikali inatunga sheria zinazosupport makampuni makubwa ambayo yanamilikiwa na familia au watu binafsi.

Umeongelea mikataba mibovu ya gas, Rostam amepewa monopoly ya gas East Africa kwa kuruhusiwa kuzindua Taifa Gas. Na baada ya hapo akapewa kiwanda cha ngozi Morogoro kama zawadi. Na zaidi JPM aliahidi kumpa support kama angeamua kugombea ubunge wa Morogoro. Tunawapa support wafanyabiashara wenye asili ya nje kuliko watanzania. Nenda Upanga unakuta watu wamepanga apartment lakini pesa wanayozungusha ni mabilioni ya shilingi. Faida wanaenda kuiwekeza majumbani kwao. Nenda Oman, U.A.E, Pakistan na India kuna watu wana mali za kufuru huko utadhani wanafanya biashara marekani kumbe wanafanya biashara Tanzania. Tunawakumbatia kina Somaiya, Dewji, Bakhresa n.k. Na sasa Dewji ameshamishia makazi U.A.E na bado anamiliki mashamba kibao ya katani. Huyo Rostam mwenye Taifa Gas Makazi yake ya kudumu sio Tanzania.

Kujenga bank Chato ni kuipasua na kuigawa nchi wazi wazi. Hatushangai Samia kuipendelea Kizimkazi na Zanzibar kwa sababu JPM alipendelea Chato na Kanda ya Ziwa. Hatushangai Mama Samia kujaza Wazanzibar serikalini kwa sababu JPM alijaza Wasukuma. Hatushangai Mama Samia kumpa mkwe wake Mchengerwa Uwaziri kwa sababu JPM alimpa mpwa wake Biteko Uwaziri.
 
Story ni nying kulko ukwel Kilimanjaro inamaendeleo Gani?,manyara? Arusha utalii ndo unaibeba sio juhudi za watu wa uko
Ukitembelea Rombo, Marangu, Machame mpaka kibosho hakuna maji ya bomba, umeme bado haujafika na hakuna barabara ya lami mkuu Kilimanjaro hakuna maendeleo kuna walevi tu. Huo ukanda pia kuna kaya hazina choo wanajisaidia maporini.
 
Kushirikisha na kuacha watuibie ni vitu viwili tofauti kabisa sasa wewe unapiga kelele magu kuzuia wizi wa wafanya biashara afu kama ni issue ya ukabira sizani kama Ina matter sana kama mtu kakidhi vigezo mbona aliwatoa akina tulia udsm akawapeleka serkalini, kabudi hao wote ni wasukuma, Samia kampa mwiguru fedha japo kila mtu anamkataa ni mzanzibar? Swala ni kua na watu sahihi tu
 
Ukitembelea Rombo, Marangu, Machame mpaka kibosho hakuna maji ya bomba, umeme bado haujafika na hakuna barabara ya lami mkuu Kilimanjaro hakuna maendeleo kuna walevi tu. Huo ukanda pia kuna kaya hazina choo wanajisaidia maporini.
Alafu anakwambia wasukuma ndo hawajitambui eti kaskazin wanajitambua akati nchi yote haijaendelea ko hata akijenga chato ni sawa TU
 

Kaka umeongea vizuri na ukweli mtupu, ila nyumbu hawatakuelewa.
 
Mfanyabiashara anaiibaje serikalini ? Mwenye dhamana ya kutoa hela ni mtu aliyepo serikalini sio mfanyabiashara. Unataka kuniambia Mo anapata faida kuliko aliyempa tenda ya kusabaza mbolea ? Hakuna mwanasiasa aliyefilisiwa hata mmmoja. Mimi nawajua wafanyabiashara waliojenga biashara zao kwa tabu toka miaka ya 80 lakini Magu alikuja kuwafilisi. Kuna ambao walikufa kwa presha na msongo wa mawazo.

Hauwezi kulazimisha watu tufanane. Mpambanaji lazima atoboe hata uzibe ridhiki vipi. Magu alitakiwa acheze na wafanyabiashara lakini awaangamize na kuwafilisi wanasiasa. Hauwezi kuendelea bila wafanyabiashara, aliwabana lakini mwishoni alimfungulia kaka yake Rostam kesi ya ujangili ili Rostam arudi. Na baada ya kurudi na kuzindua Taifa Gas pesa ikaanza kuonekana. Ukiwa mjuaji watu wanakuacha, halafu wanasubiri ufeli na ulambe matapishi. Magu alikuwa Rais wa wajinga na wavivu kufikiri. Pichani hapo ni bilionea mdogo kutoka ujerumani, amerithi hisa za kampuni kutoka kwa Baba yake. Na ujerumani ndio taifa lenye uchumi mkubwa ndani ya Umoja wa Ulaya. Magufuli angekuwa hai angeulizwa ni sahihi huyu kijana mdogo kupewa hisa zenye thamani hii mapema angejibuje ?

 
Ukiangalia apo wewe ndo mvivu kufikili Yani unadhani Wana siasa ndo Wana hela kuliko wafanya biashara 😂😂 wanasiasa na watu wa serikalini hua ni vibaraka tu Huwa wanapewa percent ndogo ya kilicho chotwa unasema unawajua matajiri walio jijengea fedha zao unajua walipata kwa njia gani,? Au kama alianza kuiba 80 kwakua kaiba mda mrefu basi imeshakua halali aendelee kuiba?
Io picha yako sijui ina uhusiano Gani na magu
 
Rafiki yangu aliyepewa dhamana ya kutoa mali ya umma ni mwanasiasa na sio mfanyabiashara. Na wafanyabiashara ambao wanapendelewa na serikali na kupata tenda kirahisi na watanzania wenye asili ya Asia na sio wengineo. Hauwezi kulinganisha hustle ya Mengi, Melau na Bakhressa, Dewji, Manji na Rostam. Rostam kapewa nafasi ya kuzindua Taifa gas bila tenda kushindaniwa. Viwanda vya Bakhressa vilikuwa mali za NMC alipewa bila ushindani. Manji alipewa tenda za ku-supply nguo Jeshini bila ushindani. Tunamalizia na Dewji ambaye ndio msambazaji mkuu wa mbolea na mmiliki wa mashamba makubwa ya katani. Hawa wote makazi yao ya kudumu sio hapa Tanzania. Ndio maana dola haipatikani maana wakipata faida hawachelewi kuipeleka majumbani kwao. Mtu hadi anakupa mkataba anajua inaingiza sh ngapi kwa hiyo hawezi kukubali ule kuliko yeye. Tatizo watanzania tunachukiana na huku watu wa nje wanajipatia faida. Tanzania ni taifa ambalo mgeni anaishi vizuri kuliko sisi.

Kuhusu hiyo picha ni kubwa JPM aliona kila tajiri ni fisadi. Na kuonyesha kubwa huyo dogo amerithi hisa zenye thamani ya dola bilioni tatu akiwa na miaka 14. Magu angesikia mahali mtoto wa miaka 14 amepewa shilingi bilioni 3 angeruhusu ? Binadamu hatuwezi kufanana kuna watu lazima watoboe. Na kupambana ni kujipambania wewe na familia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…