Shida ni uoga wa mabadiliko alideal na wafanyabiashara kwasababu wanasiasa walikua ni vibaraka tu wa wafanya biashara sawa hakua perfect lakini angalau vitu alifanya vilionekana kuliko alie Saini mkataba WA gas isio na thamani ,watu walikua wanaiba mafuta kwny Bomba la mafuta af wanafungua biashara za kuzuga tu wote kudeal nao ni kukurupuka?, chato hawahitaji uwanja wa ndege,stand,barabara watu mnalalamika adi chato kujengwa bank kweli? Mnaona Bora waliojenga hotel south, Bora walioweka pesa nyingi nje kuliko ambazo serkali inataka kukopa?
Weakness kibwa ya magufuri ilikua kwny democracy lakini ata hai walio tuletea democracy nani ana democracy ya kweli? Usa,uk,china,Russia, German,Japan angalia mifumo yao ya uongozi