Dec 2024 nchi gani?Yoga last activity 24 Dec 2024. yoga umeenda wapi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dec 2024 nchi gani?Yoga last activity 24 Dec 2024. yoga umeenda wapi mkuu?
.Muda wa kutufanya watz tuwe neutral umefika na kutuandaa na SERIKALI mseto zijazo Ndio Huu!!tunaandaliwa kiakili Ili tupunguze mihemko ya kiitikadi ya vyama vya siasa!!Ndio màana nyuzi kama hizi zinapanda jukwaani!!
Alishakuwa na timu yake Sema walikuwa WANAFKI.ukiweka mbali ubinafsi ukaongea ukweli,utagundua hakuna rais aliyefanya mazuri kwenye kipindi chake cha kwanza.
Huu ndo ukweli. Maana unapoingia kazini unakuta kundi la mtangulizi wako.Kundi hilo linakuwa na makundi mawili ndani yake,kundi la kwanza ni la wapambe wa aliyetoka na la pili ni lile lililokuwa halipendwi na mstaafu.
Unapoingia,miaka mitano ya kwanza ni kuyaangalia haya makundi kuchuja nani wa kwenda naye na nani wa kumuacha
Dr.Magu,baada ya miaka mitano ya kujipanga ili awe na team anayoiona inamfaa akarest in peace.
Kwa mantiki hiyo sioni kama anaweza kulinganishwa na yeyote kati ya watangulizi wake
katika upangaji wa team. Wengi wanatarajia kujisafisha na kufanya wayatakayo kipindi cha pili
wakiwa wameishaondoa mifumo ya zamani na kuweka mipya waipendayo.
Huna unalolijua .Natamani tupate mwizi mwingine kama magu,atujengee hospitali,barabara na mahospitali.
Watanzania hatuendelei kwa sababu ya kukosa fadhira, ndo maana tunawasifia wanaotuibia na kujijenga wenyewe.
Mungu aturehemu sana.
NdiyoooooSaiz hamteseki na maisha yanawaendeeni vizuri sio?
Kamfufue Kenge weweKwa kusoma hii kauli naweza kuhisi unatokea sehemu gani ya Tanzania.
Kusema ukweli mna ubinafsi sana na ndo maana watu wanaogopa sana kuchagua kiongozi kutoka
ukanda wenu. Kwenu hamkuendelea kwa juhudi zenu tuu,ni juhudi za wote watanzania wavuja jasho.
Ila viongozi waliangalia vipaumbele ili kuinua uchumi wa nchi mkadhani ni juhudi zenu binafsi.
Hivi mnaona ni sawa kwenu mnafungulia maji kwenye bomba wengine wanakunywa kwenye kisima cha mifugo?
Ipi bora,mtu aendeleze kwao ambako ni sehemu ya Tanzania iliyosaahulika,au ajenge mahoteli na vitegauchumi
vingine nje ya nchi ambapo havichangii hata kidogo uchumi wa taifa wala kusaidia mwananchi?
Sasa magu hayupo,niambie kipi kimebadirika? Kama ni siasa.aliyewakimbiza wazanzibar wakakimbilia mombasa
alikuwa magu? Aliyesema ndege ya rais itanunuliwa hata kama mnakula pumba alikuwa magu?
Aliyefanya upigaji wa rada si angejenga kwao walau watz waone rami kwao?
Shida yetu hatujui tunachokihitaji badala yake tunakimbizana na tusichokijua
mwisho wa siku tunajikuta tumechoka na mikononi hatuna kitu.
Ubaya wa ni kwamba Magu hakuwa mnafiki alifanya alichokiamini hadharani ,na hapa ndo wengi walimchukia kwani alipokasirika alionyesha
wazi wazi. Lakini waliopoka haki za wastaafu na madaktari na kisha
kumteka na kumtesa dokta ulimboka,kwa kuwa hawakusema lolote ila wakamuumiza
tunawachekea na kuwasifu na hapa ndo kisa cha lindi la umaskini wetu.
.I have plan for 2025!
But first we need our returns!! We have lost a lot of money becouse of late CEO! .....
Sawa mzee basi tutaonana!......
New CEO received a note! There is this mzee (minister) in the next wing wants to see you before group general meetings! He says its urgent!
New CEO baada ya kuona jina la mzee, she said okey prepare the meeting i need to hear what he has to say!
So mzee was told, new CEO has agreed to meet him At company general meetings and he was told when and how he will meet the CEO. Alisisitiziwa tu ahakikishe anakuwepo kwenye hiyo meeting!!
Mzee said okey and waited for that day! So the day came new CEO traveled to new company head quators for the general meeting! After breakfast Mzee was told to come and meet new CEO it was a very secret meeting! Unnoticed one!
The meeting was done in a very secret place untrecable!
Karibu mzee! Naona umenitafuta sana!
Yes mwanangu nimekutafuta, and without kupoteza muda Kuna mambo very sensitive nahitaji tuyazungumze! Na hayo nayazungumza kama mimi sio cheo ulichonipa!
Okey! Nambie!
First you should know i know everything that happend last year! I know everything since i am among those who coordinated the plan!
Your in that position today becouse of us!
New CEO akabaki kama anashangaaa! mzee hakuwa na kona kona he was straight foward and very sereous!!
Now nimekuja hapa becouse kuna vitu haviko sawa in this company And ni muda sasa i and others, we want viwe sawa sawa! And it is you whom will make them sawa!!
New CEO akauliza vitugani and HOW?
Listen, tunajua ulitaka kumtoa out of the system mr born town! But this man is smart na anawatu every coner! Including me and others! You cant just get him out of the system with the same people in the system whom adore him and they under his payrole!
Na tunajua nikweli unataka kuendela kuwa CEO of this company until 2030! Tunajua sababu mimi na wenzangu ndio tumekuinvestigate wewe since the first day unakalia icho kiti,
Hata kijana uliyekuwa unamtumia mwanzoni kuimplent plan yako aliyemkamata na kumhoji na kukusanya all info ni mimi even before born town hajaja hapa kwako kuku tisha! Sisi tunajua kiwa Your suporse to be in power up to 2025!! And still that is a plan hakuna kilicho badilika
I know mr born town alikuja hapa akakupa every thing ulifanyia behind the scene! Najua alikutisha sana, And promissed you that kama utafollow his leads you will be in power till 2030, he was lying! I am the one who collected every info in your office!
Hata mazungumzo mliyo yafanya that day mie ninayo yote!! Kila unachokifanya hapa au mjini mimi ninacho! Na lazima born town akipate anakipata kile ambacho mimi nimekisikiliza kwanza kisha na mpatia!!
Unawasaidiz wako wawili hapa acha huyo anaekaa nyuma yako huyo ana note kila unachofanya nakutoa report kwa kijana wangu then inakwenda kwa born town! Tunajua unakula nini kila siku, tunajua unaongea nani kila siku! Hata hii meeting nimeischedule mwenyewe vijana wanaagaika kujua unaongea nani humu ndani saiz waandae report iende kwa mr born town!!
Hapa ninapo zungumza nina acces ya what will happen to you in 2024 sito kuambia leo ! But you have to listen! I am here to help you takedown mr born town!
CEO akawa kama anatetemeka hivi baada ya maelezo hayo mazito toka kwa mzee!
Sawa mzee umekuwa open sana! Kwanza nikushukuru kwakweli, sikuwahi fikiria how powerful you are and sikuwahi kujua how deep your envolved in this company!
ila sasa i have made my decition, i will be the CEO of this company under mr bornntown's leadership! i dont want to mess with that guy any more! If he doesnt want me to be in power as CEO i will step down!! Thats all! Staki ugomvi na huyu mtu!
Okey! Nimekuelewa! Ila unahitaji kulitafakari jibu lako tena, let me ask you!! What if the plan is worse than to take you down from being the CEO? wewe si umefanya kazi na born town? Ujui kuwa huwa kinyongo chake hakiishi? He can smile at you but once you did him dirty he will twice dirty you?
Wewe ulienda msiliba kwa outside investors, and some wamepull out their investment from him! Wako dilema waitng for your next move! Do you know how much amepata loss? Dou you know how much he hates you for that?
Wewe umeappoint baadhi ya watu kwenye office nyeti whom he didnt tell you to do! Unajua ninamna gani amegadhabika??
Trust me! Kuendelea kumsikiliza na kufikiri kuwa mko sawa na ameshakusamehe ni ujinga uliokithiri!! wake up! Your in his trap! Am here niko kwenye cycle yake! I know what he wants from you, when and how!
Na leo hii atakupa jina la mzee tembo Kuwa assistant wako upande wa board! Anataka a close eye on you! Jina utaletewa muda sio mrefu! After this meeting! Kama tutamuacha atambe hivi its wrong. You have the power to do something why unaogopa?? Once and for all let us remember you for taking him down and make the company free!
Sawa mzee nimeelewa but let me ask you this question! Unataka kunisaidia kwenye hili but what will you get in return?
mzee aka mtazama CEO kama sekunde kama 10 hiv kisha akafunguka! I dont want money or anything! I have been in this position since 19s, What i want, is him to rest in hell but i want also you to promise me that after you in 2030, not his son or mr february will be given even a sportlight to become CEO, i want them to never become leaders of this company! Am saying this since this is a war! I will make you the winner but i might not survive this! Am old enough to leave a legacy that will benefit our next generation and not some group of bandits
New CEO akauliza tena, How am i going to do that, when you have said kuwa they are every were! And most of my servant are in his payrole! How mzee? And why will you not survive, if you cant survive how will i survive !
Listen!! I have been in this system for a long time! I, my self also made him who he is today, i know him! Me and my team can coordinate this war very smart! We have a plan, a smart one! We can take him down under a condition of me not surviving the war! Just say your ready and we will initiate it!
Okey!! Mzee naomba unipate muda nitafakari! Then nitakujulisha na asante kwa ushirikiano wako! Mzee akanyanyuka akatoka zake chap and went off his house!!
New CEO akawa kabaki kwanza pale ndani kama haamini alichokisikia!! Msaidizi wake mmoja akaingia na bahasha akamwambia, boss kuna bahasha yako hapa! New CEO akafungua kuisoma akakutana na jina la mzee tembo, kama alivyo kuwa keshapewa hint!! She smailed!!
Mzee alifika kwake then akaenda moja kwamoja kwa ofice yake yaani Home office! akafungua droo ndogo ya meza ya mkono wake wa kushoto! Akatoa simu ndogo aina ya nokia ya batan! Akaifungua nyuma akatoa betri kisha akachukua line kwenye moja ya droo nyingine akaiweka kwenye simu na kuiwasha simu! Akaandika namba flan hivi kisha akapiga! Simu ikwa inaita .....
Unknown: Hellow!
Tanzanite: Tanzanite speaking!
Unknown:Yes tanzanite!
Tanzanite: The facillitator has all the info now, waiting for activation!
Unknown: Good!! Very good!! Did she understand you?
Tanzanite: Yes! She did!
Unknown: Good! Thanks for an update, still am in hospital
Tanzanite: Thanks na ugua pole!!
Mzee akakata simu! It wasa avery short call!
then akaizima simu kisha akachomoa ile line na akatoka mpaka nje ambako kulikuwa na public toilets!! Katupa zile line nasimu then akaflash! Akatoka zake nje!!
*****************************************************
New CEO alirudi kwenye general meeting nikama kukamilisha tu maelekezo but she was not there! She was thinking of what mzee told her! She was worried that labda mzee katumwa na mr born town kuja kumchunguza tena, she didnt know what to do at that point. Haswa akikumbuka maneno na sura ya born town "are you in war with me"
Baada ya meeting, taarifa zilianza kuvuja kuwa mr born town is running the show, new CEO hana analofanya bila kumhusisha born town! some company members wengi wao hawakupenda but they were woried about ugali wao na sio maslahi ya kampuni!
So kundi hilo likaitisha kikao behind the scene kujadili kwanza why new CEO anataka awepo mpaka 2030! Kundi hilo halitaki kabisa kusikia hiyo habari, Lakini pia kampuni nikama haileweki! Imekopa sana hela kutanua uwekezaji lakini uwekezaji ni hewa, bidhaa za kampuni haziuziki, nighali kwa customer na hakuna a well planned recover mode kufanya kampuni iwe strong!!
Maisha ya watumishi na wana wa kampuni yanazidi kuwa magumu, they cant afford three meals per day! Na CEO wala hana time na izo ishu, she is buzy rebranding company name bila kuzingatia hali halisi ya kampuni!!
Lakini pia walijadilli why born town a retired CEO analazimisha kuendelea kuwa kwenye system!! Who is he!! Kwanini ataki kustaafu kama wengine??
Kundi hili likakutana na kundi la team late CEO, shida ikawa wanaagenda moja, lakini wanatofautiana nani awe CEO, agenda yao ni kumg'oa born town na new CEO in 2025, sasa linapokuja suala nani awe CEO mwaka huo shida ndio inakuwa kubwa, kila kundi lina mtu wake!!
So wakakubaliana kuwa suala la who is goin to be CEO waliache kwanza, ila kumtoa new CEO 2025 na born town ndio iwe kipaombele!
They came with a plan! Moja nikuunda a new group under the name of late CEO, hii group ipambane kuchukua u CEO wakampuni in 2025 na group hii itapambana na na mr new culture group na hii group ya new CEO mr born town group ambayo ndio alikuwa late CEO
Group hii itatembelea properganda za late CEO, Maana alifanikiwa kuwakamata customers kibao kwa properganda zake haswa wale aliotokanao ukanda mmoja!
Upande mwingine wa muungano wao wabaki ndani ya born town grop nakuanzisha kampeni ya kuonyesha uovu wa group kwenye kuiendesha kampuni! Baadhi ya members wakachaguliwa kuwa front liners! Kazi yao ni kufanya profile demage ya company leaders ambao wako infavour of mr born town na sio maslahi ya kampuni!
Hawa walijiapisha hata kama wasipopewa urepresentative tena 2025 kupitia group hiyo ya born town haina shida ila kufikia huo mwaka, jambo lao lazima liwe limekamilika! Na wakinyimwa watakwenda kwenye group walio anzisha tayari three years before 2025 CEO elections!!
Born town alipata taarifa hiz, his enemy walikuwa wanaongezeka kila siku! Badala ya kupungua!! So alikua na mambo mawili moja ni ku msimamia new CEO atimize mambo yake and at the same time alipaswa a deal na hili group!!
So Sababu ya connection na resorces alizonazo it was not that difficult for him to control both groups but what he didnt know...
mzee, a close frind to him!! A person whom made him who he is to day!! A person amemsaidia kwenye kumuondoa late CEO, aperson who is running the show behind the scene had a plan for him!!
And the plan is to ensure he is gone gone! Yaani gone kabisaaaa!
So who is mzee and Why mzee is mad at born town?? Who is unknown?? Why is mzee reporting to unknown????
[emoji26]From dark days....... And now Road to 2025!!
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
.Naona Tumia akili amekuja hivi
Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii
Wakuu 'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza. Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna...www.jamiiforums.com
.Tumia akili kule ameaga jumla! Huku pia kuna kuagana jumla. Unaweza kufikiri kuwa mbona siri zinatoka before execution kumbe leads zote ni fake isipokuwa the only message planned to leak ni "matokeo".
Nafikiri 2023 to 2024 vitazuka political wars ambazo pengine hatujawahi kushuhudia. CCM itapita kwenye tanuru itayoamua hatma yake. Chadema's fate ipo mikononi mwa Mbowe kama ata play smart na current situation.
[emoji6]Black cat= PAKA a.k.a mtu mrefu..kama ndio huyu bas mkuu umeamua tu mumpa umuhimu..huyu hana lolote hana chochote...internal issue za pale kwake tu zinatosha kumfanya sleepless..sasa uthubutu huo wa ku plan kui subdue nchi yote hii anautoa wapi wakat hapo congo tu kajimbo kamoja tu kujimegea kamemshinda licha ya support ya mabwana zake cia usa na france..yaan ki nchi disorganized kama drc kadunda kujimilikisha as per plan ndio aje atu mudu tz...will never happen ever
[emoji1360]Plan DRC ni kuidestabilize milele isitawalike...lakini ile Katanga province yoote kuja mapolini mpaka Goma mapolini huko kuna mining activities zinaendelea with giant mining companies bila kugushwa na yeyote...yule jamaa na yule jamaa kazi yao ni kuivuruga kila siku iwe kusuruhisha migogoro...na anyone inpower try to touch maeneo yao will be eliminated.....Unajua who is big boy aka the son aka the successor aka the said DNA but not.... akina nani walimplant na kukaa pale...?
Watu wanapita kwenye holes, and the holes are there...its long term plan inaitwa "confuse them and solve your problem.."...tayari ukisoma hata huu uzi utagundua kule mwanzo ndio Taifa lilipochanganywa na local rivals fighting each others now while the enemy is not there,...kuna mtu alimtengenezea holes huyo jamaa na huyo jamaa hana rafiki walipogeukana jamaa tayari ana plan ya kutimiza dream zake....(owning the east africa big farm) kutimiza project za mabwana zake while makin the small pond giant than the sea, this have got nothing to do for the big fishes in 1st world once their project done and the farm is under utilization..
Hizi nyuzi zitakuja nyingi sana, na watu jamii hii watakuja wengi sana its called "Confuse and making them believe while the truth is in dark" ukweli uko gizani kwa wanaoishi gizani...inaonekana wakati ni sasa kutimiza wa kupush button ili in 10 - 15yrs shamba lilimwe...Lets act smart...
.Kuna watu wanaandaa pliers na kamba humu and they are so desperate to know who this person is
Halafu approach za kishamba sana
Wenye taaluma hizo tumetulia ila wanahangaika wenye kadi [emoji23][emoji23]
[emoji880]FLASH BACK!
Mimi mzee ananiamini!! ananipenda na ananisikiliza..........
Mimi naongea na mzee moja kwa moja!!
Na nina kuhakikishia mzee anataka kampuni yetu isipate usumbufu kutoka kwa hawa wajinga wajinga,
Nimesha mwambia mr new culture achague moja this year ni either aje tukae mezani awe na sie au tumfute kwenye ramani!!
Na na kuambia ntamfuta nakwambia!! Subiri ouone...........
Huyo alikuwa ni mini - branch manager, kijana mtiifu kwa late CEO, kijana tishio na kipenzi wa late CEO. Kijana aliyepata madaraka makubwa sana yaani kuwa mini-branch manager wa kampuni huko kaskazini from no where!!
Alipata wadhfa huo only becouse alikuwa anafanya yale late CEO alikuwa anayataka! Kijana alijipatia umaarufu kwa kuwa alikuwa clearly anawanyanyasa business partners wa kampuni under born town in the title kuwa wanaihujumu kampuni!
Aliwanyanganya fedha na akipenda hata mabinti zao yote aliyafanya in the name of late CEO kwani jina la late CEO lilitisha kila kona ya kampuni
Kijana huyu aligelezea what branch manager makao makuu alikuwa anafanya! Walikuwa kama mapacha hivi mambo yao!! Walijiamini sana kwakuwa walikuwa wamefunikwa na koti la late CEO! mini branch manager Nayeye alikuwa na task force yake na kiji office maalum cha kushughulika na wale wote wako against na late CEO!
alianzisha kikundi chake ambacho kilikuwa kinapokea maelekezo kutoka kwa branch manager wa makao makuu yakiwa kama maelekezo kutoka kwa late CEO.
One thing late CEO alikuwa anafanya, as long as kuna branch manager yoyote au mini - branch manager yoyote yule anawachachafya team born town kwenye branch yake, kwake ilikuwa ni furaha, hakujali wala kutaka kusikia kingine, alitoa big up adharani kukubaliana na matendo hayo bila kujua wengine walikuwa sio team born town bali ni victims tu! Vita nivita ukiskia suporter wa adui wanalia kwako ndo furaha!
Huyu kijana alipenyezewa taarifa kuwa mr new culture na born town ni the same page behind the scene, Naukweli ni kwamba kwa muda huo haonwatu haziivi na late CEO!Alijua kuwa kama akifanikiwa kumdhibiti vizuri mr new culture basi lazima awe promoted kuwa branch manager kamili!!
So aliazisha oparation zake za kumshughulikia mr new culture, physically, economically, soccially and politically yote ni aaminiwe zaid na late CEO!
Na alimshugulikia kweli kweli jambo lilio mpa furaha sana late CEO! aliienjoy sana kusikia mr new culture anatandikwa na kijana wake! Na alifurahi zaid aliposikia kijana alikuwa akideal effectively na vijana wa mr new culture!
Kijana na team yake walitumia orpotunity hiyo ya kupendwa na kuaminiwa kufanya mambo mengine behind the scene ya ajabu sana ambayo yalifumbiwa macho simply becouse alikuwa akimfurahisha tu late CEO! Haya mambo yalikuja kumgusa directly born town!!
Iko hivi, kijana alikuwa anapenda sifa, nikawaida kwake kufika sehem ya starehe kunywa, kula kisha asilipe! Na ukimsumbua sana anakutisha kukuondoa duniani!
So one day akiwa na convoy yake aligusa pasipo gusika!! Na kuingia directly kwenye targets za born town!! Ipo hvi
Kuna business partner wa born town likuwa anapiga sana deal za madini! Bahati nzuri he was so smart cycle yake mtandao wake ulikuwa mzuri kiasi cha system ya kampuni kutokumjua!!
So one day business partner wa bornntown alikuwa na mzigo wake na ulipaswa kusafiri kutoka ukanda huo wa mini branch manager kuelekea nje kabisa ya kampuni!! Kila kitu kilikuwa sawa ispokuwa kijana mmoja aliyejua mchongo mzima kuamua tu kuuvujisha kwa sababu hakuwa treated sawa na mtoto wa business partner!
Iko hivi, Kuna deal nyingi sana za madini ya kampuni kuskika yalikuwa ya kampuni lakini hayajawai kuwa registered kwenye ofisi za kampuni yakiuzwa nankampuni nyi gine! Nahata ya kiuzwa kampuni haipati profit yoyote!
Main dealer wa hiz issues ni business partner wa mr born town mr tembo!!
Huyu jamaa nje ya kudeal na ishu za tembo sana deal zake zingine ni hizo ishues za madini! Na ameset system ambayo ni ngumu sana kumconect directly, yaani ni invisible!! Hata ishu za tembo kujulikana nikama ilitokea error ambayo iliondoka na watu kimya kimya!
Iko hivi every member of mr born town ana kitengo chake cha kucollect funds kwenye kampuni!! Na wametawanyika ipasavyo, hakuna mahala hutowakuta!!
Sasa huyu informer baada ya kuwa na mgogoro na mtoto wa business partner, aliamua kumwaga ugali na mboga kwa mini branch maneger kuwa kuna mtu anamzigo na unapaswa kusafiri kutoka nje yakampuni! Na estimetion za mzigo husika ni bilion kadhaa! Na as anareceive that leak mzigo uko njiani unaaza mwendo!!
Baada ya taarifa hii, mini branch manager nikama alipandwa na mzuka maana late CEO alushatoa maelekezo hakuna jiwe lolote kutokanje ya kampuni! Sasa kwa thamani ya jiwe hilo kama kweli akilidhibiti kwake nibonge la ujiko!
Basi bwana Kijana na team yake wakaamsha gari, ilikuwa saa 11 za jioni ! Kwa kuwa mtoa leak aliwapa ramani nzima kuwa wanatokea wapi, wanapitia wapi, so kijana akawahi kutega maeneo muhumu.
Kwakuwa washapata details za muhimu, ni gari gani, namba zipi and etc
Kijana aliigawa team yake mara tatu, moja ilirudi nyuma kabisa kuitafuta gari husika kule inako toka ili kuifuata kwa nyuma na nyingine ilikuwa inaisubiri round about ya barabara kuu ya kuingia mji mkuu kaskazini, na nyingine ikawa inatega njiapanda ya kutoka mikoa ya kaskazini na hiyo ndio gari na yeye mini branch manager alikuwemo!!
Sasa Gari iliyokwenda kuifuatilia target car ilibahatika kuiidentfy ile gari so iligeuza chap ikatoa signal kuwa gari wameiona njiani! Na chap wakatoa taarifa kuwa wameiona gari na wako nyuma yake wanaifuatilia!!
Walikuja nayo hadi mji mkuu wa kaskazini kisha wakachukua barabara ingine wakawa ka wameiacha hivi, ile gari nyungine iliyokuwa ikisubiri mji mkuu kaskazini ikafuata maelekezo ya wapi wapite ili waipaye then wakaiona kisha wakapose kwa nyuma na wakaendelea kuifuatilia silently!!
Ndani ya target car kulikuwa na jamaa wa tatu! Kijana yaani mtoto wa pekeee wa business partner wa born town ambaye analink na mzee tembo, dereva mmoja na kijana mwingine ambaye yeye ni mlinzi binafsi wa kijana wa business partner!
Ndani ya gari walikuwa na fedha m20, na mzigo husika!! Toka mwanzo wa safari kijana mlinzi binafsi alikuwa makini sana! Alikuwa akifuatilia kila kinachoedelea pande zote za gari. Huyu kijana aliwahi kuwa mfanyakazi wa kampuni tena idara nyeti ya security na baadae akanyakuliwa na mzee tembo kisha kwenda kupelekewa kuhakikisha deal zake upande wa madini ya kampuni zinakwenda sawa! Yaani alikuwa ninmtu wakusimamia namna madini yote yanapopatikana yanatokaje!
So akiwa pale mbele walipishana na gari aina ya nissan patrol nyeupe, na wakati wanapishana alibahatika kumuona dereva wa gari na kumtambua kutokana na uzoefu wake! hakusema kitu alikaa kimya kwanza kufuatilia nini kitaendela
Baadaa ya dakika kama 15 hivi alipotazama kwenye side mirrors aliiona ile gari kwa nyuma yao! palikuea na gari ndogo aina ya toyota spaicio iliyokuwa inawafuta then nissan patrol wakiongozana kuelekea mjimkuu kaskazini!! Akaendelea kuifuatilia akitaka kuhakikisha kama itakuwa inawafuata au la!
Kupitia uzoefu wake bada ya dakika kama 10 hiv aligunduabile gari ile ilikuwa inawafuata, aka chukua simu yake chap chap, akatuma sms! Kwenda kwenye namba flani hivi! Akaandika "change of plans, meeting point , astra B4"
Meseji ikawa delivered upande wa pili, chap vijana wa wili wakiwa kwenye pick up, chafu chafu hivi imebeba nyasi nyiiingi kama za malisho wakawasha gari yao wakaelekea "astra B4", mmoja alikuwa na begi la mgogongoni limechoka choka tu! Wakapaki upande wa pili wa bara bara wa gari kurudi kule wanakotoka hawa wanao kuja!
Walipoingia mji mkuu wa kaskazini ile nissan patrol ikapotea then within five minutes nyuma yao ikaingia gari aina ya V8 land cruser, chap kijana aka tumia side mirror kusoma namba!
Akaingia kwenye mfumo wa kampuni kujua nani mmiliki wa ile namba, majibu yakaja ile number ni ya toyota porte!! Akajaribu tena kuitrce ikaja namba ile ni ya toyota porte! Akajaribu tena ikaleta toyota porte! Chap Kijana akajiongeza kuwa ile plate number sio ya gari ile, akajua hawa niwengine na wanaendelea kuwafuatilia!
Kijana akatuma sms kwenye namba ile tena! "Status", akajibiwa, "on meeting point" chap akageuka siti ya nyuma akamwambia kijana anayemlinda, " sikutaka kukuambia chochote but tuna fuatiliwa toka zamani sana, unaona hiyo gari inatufuata ilikuwepo nyingine naona yenyewe itakuwa imetangulia, chukua huo mzigo kwenye bag weka kwenye mfuko wandani wakoti hela ziache humo humo kwenye bag, there is a change of plan"
kijana akashtuka sana hofu ikamwingia akaambiwa atulie! Hakuna shida kila kitu kiko planned!
Kijana securty akamwambia dereva endesha gari kuelekea jengo la kampuni maarufu la umeme wa jua , Ilo jengo lipo barabarani kabisa kuelekea kutoka nje ya mji mkuu kaskazini karibu na mataa yakuongozea magari!
Akaambiwa akifika pale apaki kwenye parking then wao watashuka kisha watarudi na safari itaendelea! Dereva akatiimaelekezo, kulingana nahali ya hewa makoti makubwa kuvaliwa ukanda huo nikawaida tu, so walipofika pale kijana akaweka amesha vaa koti na ame uficha ule mzigo kwenye koti lake kubwa, hilo koti lime tuna tuna kiasi huwezia jua kama mtu ameweka kitu au hajaweka kitu!!
Wakashuka pale faster then wakaingia ndani ya jengonla kampuni ya umeme wa jua , njiani kijana akawa anamwelekeza kijana wa business partner kuwa aeleke mens toilet uoande wa kulia atamkuta mtu mle ndani! ampe huo mzigo!
moja kwa moja walipoingia ndani kijana akaelekea mens toilets, alipofika tu ndani alimkuta yule kijana mmoja kati ya wawili waliokuja na pick up anamsubiri kesha clear toilets ziko safe kwa ajiliyao!!
kijana wa business partner akatoa ule mzigo akampa yule mwingine! chap akauchukua na chap akautia kwenye begi mgongoni kisha akatoka nje yaani ilikuwa ni fasta sana na akatoka kama vile hamjui yule alioingia mule ndani! Wakati huo ile gari V8 ikawa ime paki mita chache kutoka kwenye lile jengo wakisubiri kuona nini kinaendela na taarifa wakawa washatoa kule njia panda!!
Wakaulizwa wameshuka na begi,wakasema no wameshuka watu wa wili na dereva bado yumo kwenye gari!! Pale pale Yule kijana aliyebaki kwenye pickup akapokea sms, " carry over" kijana akawasha gari akaondoka zake, kwa aliye kuwa nje alijua ni pickup tu ya nyasi ilikuwa imepaki na sasa inaondoka zake, yule kijana na mzigo akatokea mlango mwingine, akapita njia za uchochoroni wakakutana na ile pickup inamsubiri akaingia chap na safari ikaanza kwa kufuata plan nyingine kabisa!!
Kijana akatoka mens toilet akapita reception kumpitia yule mlinzi wake wakatoka wakaingia kwenye gari na safari ikaanza! Baada yadakika kama 6 hivi ile gari V8 ikaonekana nyuma yao! Kijana yule wa security akamwambia yule kijana wa business partner hii gari umeikumbuka, kijana akatazama nyuma akaiona! Akamwambia yes nimeikumbuka!
Akamwabia mzigo ukosalama na utavushwa kwa plan nyingine, akamwambua alihisi watafuatiliwa toka wanaadaa safari kwani kuna mazungumzo aliyasikia kuna mtu anataka tushikishwa adabu!!
Kule njia panda wakawa wanasubiri kwa hamu!! Baada ya kusikia ile gari imeanza tena safari! Na Wakati huo huo ile gari yenye nyasi inazidi tokomea mbali zaidi!!
walipofika pale njia panda wakakutana gari mbili zinawasubiri na ile v8 nyuma yao zikawa tatu! Wakashushwa wote chini mpaka dereva! Kijana wa mini branch manager akaingia kwenye ile gari yenye mzigo na msafara ukaanza wa zaidi ya lisaa limoja kuelekea nyumba moja huko iliyoko migombani mafichoni!
Sasa ujinga wa mini branch manager tamaa ikawa imemuingia, yeye anawaza lile jiwe tu! Sio tena late CEO! Walipofika kwenye ile nyumba yule dereva na yule kijana wa securty wakiwa wamfungwa macho wakawekwa room nyingine na huyu mtoto pekee wa partner wa born town akawekwa chumba cha peke yake!!
Wakaipekua ile gari kwanza yoote na wakachukua lile begi wakakuta kuna 20 milioni tu ila jiwe halipo!
Kijana akabaa kweli kweli, akaenda kwenye room ya mtoto wa business partner, akamwambia anataka lile jiwe alokuwa anatorosha lasivyo shughuli inaishia pale!
Kijana baada ya kumtambua mini branch manger kwa uwoga ikabidi kusema ukweli kuwa nikweli jiwe walikuanalo ila walishalivusha wakiwa mji mkuu kaskazini na kwa muda mliotufikisha huku, litakuwa lisha fika mbali!
Baada ya kusikia hivyo mini branch manager akabaha akawa mkali akawa aamini! akawaita team yake kuwapa taarifa nawao wakabaha zaid! Wakaanza kutembeza kipigo kizito!!
Accidentaly wakati kipigo kinaendelea na katika kutishina bastola kichwani, ghafla ikafayatuka kweli na ikawa risasi imempata mtoto wa business partner kichwani! Na pale pale dogo akaanguka akatapatapa kisha story yake ya maisha ikaishia pale!!
Baada ya ilo tukio wote wakawa wamechanganyikiwa, baada ya discussion fupi uamuzi ukafanyika kuwa wote inabidi washutiwe tu! Yaani dereva na yule security, Na ndicho kilifanyika!
Wiki moja baada ya kijana kupotea, business partner alijua kuwa kijana wake alikuwa ubducted na aliye mu abduct ni mini branch manager! Ila status ya alive or dead akawa haijui
Akamtaarifu mzee wa tembo, mzee wa tembo akamtaarifu born town!! Resorces zukawa collected Wakaanza kutrace the whole issue!
wakaconfirm kuwa kijana alisha tembea mbele za haki, na aliye mtembeza ni mini branch manager na kundi lake!!gari ilitiwa moto na miili haijulikani iliwekwa wapi!!
Business partner hasira zilijaa akataka kufanya tukio mzee wa tembo na born town kwa kuwa they know what was about to happen walimtuliza na kumpromise a very huge revenge! na kwa namna ilivyo kuwa kwa wakati huo hawakuwa na namna maana mini branch manager alikuwa under high protective enviroment ya late CEO,
Ulikuwa uwezi hata kumsogelea kirahisi! so baada ya late CEO kuficha moto kati ya watu waliumizwa ni minibranch manage, ni alilia live live yaani! na alilia sana! Why?? becouse alijua alichokifanya na sasa kinga yake haipo tena na alijua revenge is on the way!!
***********************************************
Anonymous: Hellow .....
Born town: Yes! Born town speaking!
Anonymous: I know who you are huna haja ya kujitambulish !! Just know your now our target
Born town: What?
Anonymous: Yes Your now our target!
Born town: Wewe nani??
Anonymous: Iwe leo au kesho au kesho kutwa, next year, your going to die a silent death!!
Simu ikakatwa!!
**********************************
Whats goin on who is this man??
Born town: Hellow??
CEO : Yes mr born town good evening?
BORNTOWN:Are you in war with me again??
CEO :What??
BORN TOWN :Are you in war with me again?
CEO: No..no i dont know unasema nini!
BORN TOWN : Okey!
simu ikak katwa!!
****************************************
Tanzanite: hellow
Anonymous: yes sir
Tanzanite : how was it?
Anonymous : he called the CEO!
Tanzanite: good! Did you notify the CEO before
Anonymous: yes sir i did!
Tanzanite: good!
Simu ikakatwa!
***********************************
And the saga continues!!
[emoji117]Nini kilimkuta mini branchmanager ?
[emoji117]Nini kinaendelea kuhusu branch manager?
[emoji117]Is born town going to survive this time?
[emoji117]Who is anonymous? And who is unknown?
[emoji117]What is the plan to take down born town?
Till next time!!
See you!! Ntakuwa offline kwa muda
Amso sooooorry!!
Goodbye!! Love you all!!
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
2015 simlaumu kukubali, lkn 2020 kukubali kwendelea naye anastahili lawama.Hii yote inatokana na kabila lililomkuza kuamini mwanamke si kitu kwaiyo aliamini atamcontrol kwa kila kitu japo alijua nae ni jipu kulingana na msemo wa late CEO
Umekalilishwa.Si busara kuelezea kitu au jambo ambalo haulijui vizuri.
Biblia imeandikwa na Mungu kwa ajili ya Mwanadamu, ambaye ni wewe. Si Muisraeli wa kimwili, bali Muisraeli wa kiroho, ambaye ni wewe.
Agano la kale loote linaelezea historia na namna Mungu alivyomuahidi mwanadamu kuwa atakuja kumkomboa dhidi ya maovu yaliyofanyika kwa adamu wa kwanza, ya kuuza utawala na madaraka yoote aliyopewa na Mungu, kwa adui yule mwovu ambaye unamuita ibilisi au shetani.
Kuanzia visa vya Ibrahimu, Yakobo, Nuhu, Musa, na manabii wengine wote vina MAANA kwako mtu wa sasa...ndio maana bado vipo na vinatumika.
Yesu alikuwepo tangu kuanza kwa ulimwengu, na amekuja duniani kwa namna nyingi mno, kwa kupitia vitendo na ishara mbalimbali ndio maana agano la kale ni MUHIMU sana.
Agano jipya ni muhimu kwa sababu linakuweka sawa KIIMANI...na kukuandaa na ujio wa kristo kwa mara ya pili. Ndioo umepata wokovu kwa IMANI, na pia unaishi kwa NEEMA.
Haya mambo kama hauelewi, omba sana Mungu akufunulie, na ujifunze kwenye masomo, elimu na mafundisho ya kibiblia.
Kila neno lililoandikwa kwenye biblia kiroho lina maana yake.
La sivyo utatoka kapa, na utashindwa hata kulifikia lile kusudio la Mungu aliloliweka juu yako.
Kwa ufupi: BIBLIA NI USER MANUAL YA MAISHA YAKO YA ULIMWENGU WA MWILI NA KIROHO
Unaandika pumba. Huna ulijualoNdugu yangu kuna watanzania ambao walishaamka toka zamani na wanajua wanataka nini. Kuhusu sehemu fulani kupendelewa nenda kachunguze. Kuna shule kibao katika mkoa wangu zimejengwa mna wananchi wenyewe. Kuna wananchi wamejitolea mashamba kwa ajili ya shule toka miaka hio. Hizo juhudi za wavuja jasho zilizoleta mafanikio huku zipo wapi. Huku watu wanazaa kwa mpango toka miaka ya 70. Toka miaka ya 70 mtu anajua uwezo wangu wa kusomesha familia ni kiasi fulani cha watoto. Kwa nini jamii isiendelee ? Maendeleo hayaji kwa pupa yanakuja kwa mipango na malengo ya muda mrefu. Kama Jamii inakaa kuisubiria serikali ya Tanzania kufanikiwa itachukuwa muda sana.
JPM ndiye Rais wa kwanza aliyeleta ukabila wa waziwazi, naomba uniletee Rais ambaye alijaza mawaziri wengi kwenye baraza la mawaziri kuliko JPM ? Mama anaiga na kuendeleza yale ya JPM maana Kizimkazi ndiyo Chato mpya na Wazanzibari ndio Wasukuma wapya. Hakuna Rais aliyepasua nchi kama JPM. Ila kinachoniuma zaidi alio wabeba walikuwa wanafiki na hawakuona maono yake. Hela walizoiba ziilishia kwa wanawake na magari ya kifahari. JPM alianzisha mradi wa viwanja vya NHC Chato vilikuwa na kila kitu maji, umeme na barabara. Wasukuma hamkumpa Support. Rome was not built in one day. Kuna waziri wa Utalii alipiga billion 2 juzi juzi analalamika twitter alitapeliwa na kijana wake kwenye biashara ya kuuza na kununua mazao. Una Billioni mbili halafu biashara bora ya kuifanya kwako ni ya kuuza nakununua mazao. Are you serious ? Hii ndio maana ya mtu kuwa na akili ya buku lakini ana laki mfukoni.
Asante sana hii inaonesha umeelewa na umepata cha kujifunza. Unasema mtu anapambana na ufisadi wakati hakuna waziri au mwanasiasa aliyeshtakiwa mahakamani wafanyabiashara ndio waliokuwa wanateswa .Kina Home shopping Centre, Mo Dewji na Bhanj Logistics bado walikuwa wanamiliki bandari kavu kipindi cha JPM na jamaa alikuwa anapata Gawio.Unaandika pumba. Huna ulijualo
AlishakufaYoga last activity 24 Dec 2024. yoga umeenda wapi mkuu?