Dark days 17/03/20...

Brother kwa sasa hupaswi kuamini yoyote hata awe kiongozi mkubwa kiasi gani wa dini.
Udanganyifu umekuwa mkubwa mno!
Fikiria mtu ulizingatia tahadhari ya nabii ukauza nyumba yako na kuhamia kibaha huko leo ungekuwa unajisikiaje?
 
Mkuu Pendaelli ni kweli kama mtu ulimsikiliza mtu kwa maneno ya ujanja ujanja wake bila kumpima kwenye mizani ya Neno la Mungu halafu ukauza mali zako, ukakimbia Dar unaweza kuachana na imani, ukaamua kuambatana na uganga na mizimu, na unaweza kulipa kisasi kwa aliye fanya uongo, km hutaongozwa na utu wa ndani.
 
[emoji1787] Nabii yupo Mang'ula anakula kambaletu, anyway tarehe bado zipo validi.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Du! hekima iliyotukuka kiwango cha maglev.
 
Unfortunately ama Mungu ameatuacha tuelekee kwenye upotofu au sisi wenyewe tumeshindwa kutumia kwa usahihi nyenzo zilizopo kwa usahihi kuzijua habari za Mungu.
 
Mmmh 😟
 
Kampe ela ya kula Kwa kuongeza views usikute huyo Member aliyekujibu Hapo juu ndiye nabii wa ishara mwenyewe.Nchi ngumu sana hii.
Mimi nipo Zanzibari, yeye huduma yake ipo Dar na Tanga, na ningekuwa Mimi ndiye huyo Nabii nisingetoa aslimia hizo nilizompa, ningejipa asilimia karibu na 100
 
Unfortunately ama Mungu ameatuacha tuelekee kwenye upotofu au sisi wenyewe tumeshindwa kutumia kwa usahihi nyenzo zilizopo kwa usahihi kuzijua habari za Mungu.
Ni watu kushindwa kuwa wasomaji wa Neno la Mungu na kulijua, na kama ulivyosema baadhi ya watu kushindwa kutumia kanuni na mwongozo kulingana na Neno, pia kupenda short cut,
Badala ya kutumia Maombi binafsi, Neno, Jina la Kristo Yesu na Damu yake,
Watu wako busy na vitambaa vya upako, maji, mafuta, keki na takataka zote.
 
Nitaisoma vizuri asubuhi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…