NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Tupo salama kama sio wa kitengo na hutoi Siri za wenyewe!!Mawazo hayapigwi Rungu!Ndio mjue hampo salama sana kama mnavyojisahau humu. Inategemea na upande tu.
SiHivi mzee wa kutafuta Mafekecheo mtoto ya mjini akiamua kuhamia kampuni ya TLP au NCCR je kampuni kampuni yake ya awali itaweza kuwa tena nguvu?
Kwanza mkuu nimefurahi sana kukuona tena kwenye hili Jukwaa, uliopotea sana.Ishu sio kuhamia !ishu ni deep state wanataka nini hasa!!kama wanataka Dola iende huko inaenda!!
Si
Hahahaha, ndio Ile au Kuna nyingine?Kauli mbiu🤣🤣
Tulipigwa snaa mauongo ndani ya uzi huu😅Hahahaha, ndio Ile au Kuna nyingine?
Hahahaha,hii tamthiliya inaendelea December 25 ,2025 ,watu wanamsubiri SEASON 2Tulipigwa snaa mauongo ndani ya uzi huu😅
Hivi ikitokea mtu katekwa na watekaji aidha majambazi au magaidi, hao watekaji wakatoa tamko lao, kwamba "mtu wenu tunae, ila tutamuua kama hamtatimiza matakwa yetu ndani ya muda fulani"
Baada ya muda uliowekwa kupita mnamuona yule mateka mtaani mzima wa afya na hana wasiwasi (anadunda tu)
Hii inamaana gani, je ndugu wa mateka walitekeleza matakwa ya watekaji? Ama;
Mateka alitoroka mafichoni? Ama,
Ndugu wa mateka walimkomboa ndugu yao kwa kukabiliana na mateka.? Ama
Watekaji walirainishwa kwa maneno wakaingia huruma wakamuachia mateka au,
Watekaji waligaili wakaamua kuachana na mpango wao.
Mwaka wa nne sasa karibu tokea la kutokea litokee, kupitia uzi huu tulijifunza mengi sana na nje ya huu uzi kwenye uhalisia tumejifunza mengi pia.
Ngojea tuone siku ya kumbukizi nini kitajiri.
Ikikumbukwe matoa mada alisema ni sehem ya burudani tu za kwako changanya na uzi huu wala hutosumbukaMwaka wa nne sasa karibu tokea la kutokea litokee, kupitia uzi huu tulijifunza mengi sana na nje ya huu uzi kwenye uhalisia tumejifunza mengi pia.
Ngojea tuone siku ya kumbukizi nini kitajiri.
Ukifuatilia huu uzi, Yoga alishasema lazima jirani yetu ashinde hivi vita kwanza, maana kushinda hii vita ni kumshinda yule adui yake ambaye Yoga anasema ndiye anayetafutwa... Interesting! Mie nasoma tu, though I have my own ways na imani binafsi kuwa Tanzania njema ni established fact (in a present continuous term), hakuna wakupindua meza ije mvua liwake jua, regardless of who is at play!Conflict of interest in people's lives and national resources
Kilichomkuta yule mjomba na wenzake ni uzalendo uliotukuka na kuto kuogopa nyau akitishiwa kwasababu ni mtu mzima(higher patriotic maturity level)
"Wazuri hawafi" haya maneno yapige reverse na ndio uhalisia hata uki-refers scenario tofauti tofauti popote pale.
Na kwa kilichotokea kule Congo(Rwanda Congo na USA) Hi kitaalamu tunaita game over.
Labda tusubili kama kuna comeback kwa sekunde zilizobakia to 90