Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Ishu sio kuhamia !ishu ni deep state wanataka nini hasa!!kama wanataka Dola iende huko inaenda!!

Si
Kwanza mkuu nimefurahi sana kukuona tena kwenye hili Jukwaa, uliopotea sana.

Mkuu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI wewe unaimani na DS ya Tz?

kusema mimi sina imani na DS kwani naona kana kwamba KJ anawazidi vitu vingi DS.
 
Mwaka wa nne sasa karibu tokea la kutokea litokee, kupitia uzi huu tulijifunza mengi sana na nje ya huu uzi kwenye uhalisia tumejifunza mengi pia.

Ngojea tuone siku ya kumbukizi nini kitajiri.
 
Conflict of interest in people's lives and national resources

Kilichomkuta yule mjomba na wenzake ni uzalendo uliotukuka na kuto kuogopa nyau akitishiwa kwasababu ni mtu mzima(higher patriotic maturity level)

"Wazuri hawafi" haya maneno yapige reverse na ndio uhalisia hata uki-refers scenario tofauti tofauti popote pale.

Hivi ikitokea mtu katekwa na watekaji aidha majambazi au magaidi, hao watekaji wakatoa tamko lao, kwamba "mtu wenu tunae, ila tutamuua kama hamtatimiza matakwa yetu ndani ya muda fulani"

Baada ya muda uliowekwa kupita mnamuona yule mateka mtaani mzima wa afya na hana wasiwasi (anadunda tu)

Hii inamaana gani, je ndugu wa mateka walitekeleza matakwa ya watekaji? Ama;

Mateka alitoroka mafichoni? Ama,

Ndugu wa mateka walimkomboa ndugu yao kwa kukabiliana na mateka.? Ama

Watekaji walirainishwa kwa maneno wakaingia huruma wakamuachia mateka au,

Watekaji waligaili wakaamua kuachana na mpango wao.
Mwaka wa nne sasa karibu tokea la kutokea litokee, kupitia uzi huu tulijifunza mengi sana na nje ya huu uzi kwenye uhalisia tumejifunza mengi pia.

Ngojea tuone siku ya kumbukizi nini kitajiri.

Na kwa kilichotokea kule Congo(Rwanda Congo na USA) Hi kitaalamu tunaita game over.

Labda tusubili kama kuna comeback kwa sekunde zilizobakia to 90
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mwaka wa nne sasa karibu tokea la kutokea litokee, kupitia uzi huu tulijifunza mengi sana na nje ya huu uzi kwenye uhalisia tumejifunza mengi pia.

Ngojea tuone siku ya kumbukizi nini kitajiri.
Ikikumbukwe matoa mada alisema ni sehem ya burudani tu za kwako changanya na uzi huu wala hutosumbuka
 
Conflict of interest in people's lives and national resources

Kilichomkuta yule mjomba na wenzake ni uzalendo uliotukuka na kuto kuogopa nyau akitishiwa kwasababu ni mtu mzima(higher patriotic maturity level)

"Wazuri hawafi" haya maneno yapige reverse na ndio uhalisia hata uki-refers scenario tofauti tofauti popote pale.

Na kwa kilichotokea kule Congo(Rwanda Congo na USA) Hi kitaalamu tunaita game over.

Labda tusubili kama kuna comeback kwa sekunde zilizobakia to 90
Ukifuatilia huu uzi, Yoga alishasema lazima jirani yetu ashinde hivi vita kwanza, maana kushinda hii vita ni kumshinda yule adui yake ambaye Yoga anasema ndiye anayetafutwa... Interesting! Mie nasoma tu, though I have my own ways na imani binafsi kuwa Tanzania njema ni established fact (in a present continuous term), hakuna wakupindua meza ije mvua liwake jua, regardless of who is at play!
 
Back
Top Bottom