Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Hili andiko maudhui yake yanafanana na Uzi wa yule Jamaa aliyesema kwamba Samia atatawala mwisho 2023.Swali la maana hapa ni kwanini huyo Kikwete anataka SAMIA 2025 asigombee??
mkuu uko sawa akilini?

au ni KVANT ya 9 sasa hapo?

hili gazeti la sani haliusiani na ulichoandika.

na hao wahusika hawamo humo.


😳😳😳😳
 
Hahaha duuh ila kumbuka yule pamoja na kwamba ni mtoto wa vibarazani lakini ni mwanajeshi mstaafu tena luteni kanali na siyo watoto wa vibarazani wote wanaweza uanajeshi! So yuko tofauti na wale wakaa vibarazani wengine wanaoshinda wamevaa misuli!
Kudadeki!!! Atakuwa anachekaga sana akipitia komenti kama hizi.
 
Na kwa Nchi kama Tanzania ambayo watu wake ambao tupo kama marehemu,RAIS ana uwezo wa kuchukua hata nusu ya fedha alizokopa let's say SAMIA achukue nusu ya zile 1.3 na hata Wananchi wasifanye chochote na ana uwezo wa kumuagiza Governor wa B.O.T akachukue hela yoyote anayotaka.

Sasa kwa nini uli risk position yako kwa kitu ambacho unaweza kukopata kirahisi,labda kama ana nia ya kweli ya kuikomboa Tanzania upya kama Nyerere.
Mkuu unaandika vitu gani? Naona neno mara RAIS, mara Samia, hao wanahusiana vp na hii simulizi?
 
Hili andiko maudhui yake yanafanana na Uzi wa yule Jamaa aliyesema kwamba Samia atatawala mwisho 2023.Swali la maana hapa ni kwanini huyo Kikwete anataka SAMIA 2025 asigombee??
Mkiambiwa acheni kuzoea High Life mnakuwa wakali.... hii post yako ina uhusiano wowote na hii simulizi? Au ni tangazo la biashara?
 
yoga NI gwiji wa riwaya, fiction story km zile za James Hardly Chase au vile vitabu vya Misiba kanimaliza pale alipoingia jumba la pesa kumtafuta msaidizi wa CEO enzi ya The late alikuwa mshika noti. Jengo lift na walinzi liko vilevile kwenye hii story hata kiti alichokuja kalia jamaa na kugusa mpaka kaenda lazwa. Na kwa vile kabila lake msaidizi ni waoga hatimaye kamgeuka CEO na kutoa kumpa Old CEO
Mtunzi ni gwiji na ana access kubwa katika Kampuni
If you can't fight them, join them! Msaidizi wa new CEO yuko sahihi kwa mustakabali wa maisha yake na hiyo inaweza kumsaidia pia kujua machache yaliyo nyuma ya pazia. Na simulizi hii inaonesha pia kuwa karma haijawahi kumwacha mtu salama ...new CEO anatendewa na msaidizi wake kile alichomtendea mwenzie alivyokuwa msaidizi japo sidhani kama itafikia kiwango chake.
 
yoga NI gwiji wa riwaya, fiction story km zile za James Hardly Chase au vile vitabu vya Misiba kanimaliza pale alipoingia jumba la pesa kumtafuta msaidizi wa CEO enzi ya The late alikuwa mshika noti. Jengo lift na walinzi liko vilevile kwenye hii story hata kiti alichokuja kalia jamaa na kugusa mpaka kaenda lazwa. Na kwa vile kabila lake msaidizi ni waoga hatimaye kamgeuka CEO na kutoa kumpa Old CEO
Mtunzi ni gwiji na ana access kubwa katika Kampuni
100/100 mkuu! Muandishi anatisha sana. Kuna watu ni vichwa hatare!
 
New CEO sas HV hanajidhihirisha kuwa ile nafsi imempwaya San San na uweledi pia Hana kbsa ajui kuendesha kampuni kbsa Ana penda San kubembeleza wafanyakazi wa kampuni na anapenda kuonekana Yuko upande wa wafanyakazi .wkat inaonekana wasi wasi kuwa Yuko kwa upande wa walichonacho ambao hata hawafiki watu elfu 50000

New CEO Hana credibility Wal efficiency ya kuendesha kampuni hii kwa weledi Mkubwa nafikiri kila mtu ambaye Yuko ktk bodi ya kampuni anataka nafsi hyo aoneshe utofauti ingawa new CEO anajuwa kbsa watu Ni wengi wanaotamani hyo nafsi ya uCEO mpk imepelekea kuwaondoa baadhi ya maafisa watendaji wa idara nyeti Kam ardh na sheria kuondokewa ktk nafsi zao kwa Sababu inasemekana wamekuwa mwiba mchungu kwa kampuni hii kumdis CEO


New CEO sas HV amaekuwa na majibu ya shombo na ambayo hajali kutamka kweny public na kusababisha watu kukasirishwa na kauli zake za kibabe .mfno juzi aliojiwa na chombo kimoja Cha habr cha nnje alimjibu mwandishi kwa ubabe na hasira Kali bila kujali kuwa Yuko atarushwa live Kam vile anajibizana na mwanae sebleni kwake Yuko tu emotional San

New CEO muda wote Ni kumcritisize late CEO kuwa kila alilofanya nae ilikuwa siyo sahih wakt muda wote wtk wote walikuwa nae Kam msadizi mkuu wa r.i.p CEO inasikitisha San kuwa new CEO hawazi kukah siku week bila kumajadili late

New CEO amearibu uchumi wetu wa kampun kwa matamko yake tu yenye ukakasi ambayo hajui kuwa wkt mwingine matamko tu la CEO Ni sheria kwa utekelezwaji

New CEO Hana plann b anachowaza yey nikurudi Katika nafsi yake 2025 ajui lolote laweza kutokea kwake na kushindwa kuwa CEO Tena

New CEO anaendeshwa Kam rimoti ajui lolte kila kitu knafanyika kwake Ni kuulizaa watu wake waliomuweka pale

New. CEO ameajiru new HRM human resources manager wa kumshauri Nani amrejeshe nan amtoe au kubadilisha kazi
Kaz ya hrm hyu Ni kuahakikisha kuwa team yote iloyofukuzwa na late CEO bas warudishwe ktk nafsi yao kikamilifu pmj na kwmaba baadh yao waliingizwa ktk uchunguzi wa tuhuma wanazokabiliana nazo

New CEO ajitafakari sna jins anavyopeleka. Kampuni hii uhai wa kampuni Ni wa kutiliwa mashaka San dhid ya utawala wake
 
Late ceo tarehe 1, APRIL ameonyesha furaha iliyo pitiliza kwangu mimi hiyo sio picha nzuri kuna kitu nyuma ya pazia hakiko sawa...new ceo yeye uso wake ulitawaliwa na majozi huku akiwa anailazimisha furaha...sijui kuna nini kimejificha kati ya wawili hawa
 
Hili andiko maudhui yake yanafanana na Uzi wa yule Jamaa aliyesema kwamba Samia atatawala mwisho 2023.Swali la maana hapa ni kwanini huyo Kikwete anataka SAMIA 2025 asigombee??
Pale unapotumika kunfanyia mtu ubaya juwa na wewe uko mbiona kufanyiwa ubaya.hii ni general rule with no exception.
 
Back
Top Bottom