Hivi inawezekana kweli mtu hujaitwa mwizi ukaanza mwenyewe kukana kuwa mimi sio mwizi? nakumbuka siku mwendazake alipokuwa anaagwa kule kwao jamaa alijitetea sana mara oh mimi na mwendazake tulikuwa damudamu mara oh nilipewa kiwanja nijenge hapa mara oh si muliona ile picha nilipiga na mama wa mwendazake ile iliyotrend mtandaoni, na blah blah nyingi.... sielewi kwanini alikuwa amejishuka sana tofauti na wengine.Old CEO fitina nyingi sana huyu mzee, sio mafia au masonic kweli huyu??
Ukute Yuko kamati kuu ya kuhakikisha satanic law of fives inafanya kazi.
Ila sote tutakufa na Mungu yupo atatenda sawa na mapenzi yake.
Lete vitu, Acha majibizano[emoji23][emoji23][emoji23] wacha weee!! Mie Kesho asubui nipo kazini kama kawaida!! Ingawa sio huko ulipo pataja [emoji23][emoji23][emoji23] blue monday!
Nakusalimu kwa jina la jamuhuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha kazi iendelee!![emoji9]
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Mmh wacha weeee uko gud gud in creating stories.tunanyunywa chai hivi hivi au tusubiri na vitafunwa vya corona?Haya ni maoni binafsi ila JPM alikua analindwa sana sio tu kimwili ila kiroho pia. Nakumbuka aliwahi tupiwa "Bomu" ile tu kabla ya kuapishwa baada ya tambiko zito bahari ya Hindi huko. Ssa mtu kma yule unadhani nani angemsogelea??
Tokea kampeni wote mliona alivyokua amechoka sana. Mashine ilishaanza visa toka 2017 na Alisha collapse mara kadhaa kabla ya 2021 so naamini HAKUULIWA ila mtambo ulipata hitilafu kma tu mtambo wa mcheza soka Daley Blind ulivyopata hitilafu akiwa uwanjani!!
Tuache speculation
Hataki kuamini na bado anaifuatilia mwanzo mwishoHakuna mahali popote pale mleta story amemlazimisha mtu kuamini......so kama we ndo unataka kuamini itakuwa we ndo kijiwe chenyewe.
I smell fishy that day.[emoji2]Hivi inawezekana kweli mtu hujaitwa mwizi ukaanza mwenyewe kukana kuwa mimi sio mwizi? nakumbuka siku mwendazake alipokuwa anaagwa kule kwao jamaa alijitetea sana mara oh mimi na mwendazake tulikuwa damudamu mara oh nilipewa kiwanja nijenge hapa mara oh si muliona ile picha nilipiga na mama wa mwendazake ile iliyotrend mtandaoni, na blah blah nyingi.... sielewi kwanini alikuwa amejishuka sana tofauti na wengine.
Kulindwa kiroho ndio nini?Haya ni maoni binafsi ila JPM alikua analindwa sana sio tu kimwili ila kiroho pia. Nakumbuka aliwahi tupiwa "Bomu" ile tu kabla ya kuapishwa baada ya tambiko zito bahari ya Hindi huko. Ssa mtu kma yule unadhani nani angemsogelea??
Tokea kampeni wote mliona alivyokua amechoka sana. Mashine ilishaanza visa toka 2017 na Alisha collapse mara kadhaa kabla ya 2021 so naamini HAKUULIWA ila mtambo ulipata hitilafu kma tu mtambo wa mcheza soka Daley Blind ulivyopata hitilafu akiwa uwanjani!!
Tuache speculation
HATIMAE yoga nimekutana nae leo kwenye foleni akienda kazini..hongera sana fanya kazi maana CEO wa kwanza wa taifa hili alisema kazi ni msingi wa maendeleo.[emoji23][emoji23][emoji23] wacha weee!! Mie Kesho asubui nipo kazini kama kawaida!! Ingawa sio huko ulipo pataja [emoji23][emoji23][emoji23] blue monday!
Nakusalimu kwa jina la jamuhuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha kazi iendelee!![emoji9]
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
JPM HAKUULIWA sasa wwe jidanganye hapa na speculation zako. Kama kufa walikuta wengi tu, mzee wangu ana 60+ kwenye taasisi aliopo yeye pamoja na senior directors wote walilazwa ICU na mitungi ya gesi n.k sasa naye angekufa ungesema kauawa kisa tu circle yake walikuwa ICU mmoja baada ya mwingine?Kulindwa kiroho ndio nini?
Corona iliuwa viongozi wepi wakubwa before 1 May 2020?
Kuanzia hiyo tarehe hesabu miezi 10 tu angalia circle ya watu waliofariki mpaka kifo cha Magu,
Aiseeee mnafanywa wajinga sana.
Wapi nimetaja corona?? Nimekwambia defribillator ilikua Ina hitilafu tokea 2017!!Mmh wacha weeee uko gud gud in creating stories.tunanyunywa chai hivi hivi au tusubiri na vitafunwa vya corona?
Simba Hoyee na Chadema ni Mpango wa Mungu!basi umejiona inteligent!! baki kuwa msomaji tu
Umeanza vizur kwenye cardiac arrhythmia ukaja kuharibu kwenye mazindiko alaf hii ni stori mkuu mbna unasoma umekunja sura ivo?Wapi nimetaja corona?? Nimekwambia defribillator ilikua Ina hitilafu tokea 2017!!
Yaani Mkapa afe kwa polonium? Kwamba matambiko hayawezi kumshtua?? Hawa Marais wamezindikwa sana hamjui tu huwezi kumdhuru kipuuzi hivyo.
JPM alikufa kwa hitilafu ya defribillator na nemshakupa mifano ya watu kma Daley Blind mchezaji wa Ajax. Kwanini mnaleta ujuaji wakati facts ziko wazi?
Hii ni hadithi tu, wakiifananisha na matukio ndipo shida inapoanza...JPM HAKUULIWA sasa wwe jidanganye hapa na speculation zako. Kama kufa walikuta wengi tu, mzee wangu ana 60+ kwenye taasisi aliopo yeye pamoja na senior directors wote walilazwa ICU na mitungi ya gesi n.k sasa naye angekufa ungesema kauawa kisa tu circle yake walikuwa ICU mmoja baada ya mwingine?
Kama ni Covid iliua wengi tu, pale UDSM imeondoka na ma doctor wengi sana tu sasa why iwe special kwa JPM kwamba akifariki basi kauawa??
Take it from me, defibrillator ilishaanza hitilafu toka 2017 na Alisha collapse akiwa Pemba na akiwa ametoka Lindi mbona hamkusema alikua anataka kuuawa?
Acheni speculation mnashusha hadhi ya JF
Hii ni hadithi tu, wakiifananisha na matukio ndipo shida inapoanza...Umeanza vizur kwenye cardiac arrhythmia ukaja kuharibu kwenye mazindiko alaf hii ni stori mkuu mbna unasoma umekunja sura ivo?
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
zito kabwelaWapi nimetaja corona?? Nimekwambia defribillator ilikua Ina hitilafu tokea 2017!!
Yaani Mkapa afe kwa polonium? Kwamba matambiko hayawezi kumshtua?? Hawa Marais wamezindikwa sana hamjui tu huwezi kumdhuru kipuuzi hivyo.
JPM alikufa kwa hitilafu ya defribillator na nemshakupa mifano ya watu kma Daley Blind mchezaji wa Ajax. Kwanini mnaleta ujuaji wakati facts ziko wazi?
Yes ni fiction na ndio nikitaka hilo liwekwe wazi ila sio kuleta speculation kuwa kauawa. Marais mpka kuuawa sio kizembe sana wanalindwa sana kimwili na pia kiroho kwa matambiko mazito.Umeanza vizur kwenye cardiac arrhythmia ukaja kuharibu kwenye mazindiko alaf hii ni stori mkuu mbna unasoma umekunja sura ivo?
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Hii ni simulizi lakini umelazimika kuiweka kwenye ualisia unataka watu wakuelewe vipi? Mleta simulizi kuna sehem kamtaja jpm? Wewe sasa mara mkapa mara jpm haya yote umeyatoa wapi?Yes ni fiction na ndio nikitaka hilo liwekwe wazi ila sio kuleta speculation kuwa kauawa. Marais mpka kuuawa sio kizembe sana wanalindwa sana kimwili na pia kiroho kwa matambiko mazito.
So hta hyo polonium ingeshtukiwa ukiwa Bado kilometer 10..... Ndio maana naamini JPM au BWM kuuawa sio simple vilee.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wacha wee!!HATIMAE yoga nimekutana nae leo kwenye foleni akienda kazini..hongera sana fanya kazi maana CEO wa kwanza wa taifa hili alisema kazi ni msingi wa maendeleo.
Nipooooo!!! [emoji16][emoji16]Uko wapi huyo Yoga ? Embu njoo uendelee na next chapter[emoji16]