JPM HAKUULIWA sasa wwe jidanganye hapa na speculation zako. Kama kufa walikuta wengi tu, mzee wangu ana 60+ kwenye taasisi aliopo yeye pamoja na senior directors wote walilazwa ICU na mitungi ya gesi n.k sasa naye angekufa ungesema kauawa kisa tu circle yake walikuwa ICU mmoja baada ya mwingine?
Kama ni Covid iliua wengi tu, pale UDSM imeondoka na ma doctor wengi sana tu sasa why iwe special kwa JPM kwamba akifariki basi kauawa??
Take it from me, defibrillator ilishaanza hitilafu toka 2017 na Alisha collapse akiwa Pemba na akiwa ametoka Lindi mbona hamkusema alikua anataka kuuawa?
Acheni speculation mnashusha hadhi ya JF