Dark days 17/03/20...

Alichelewa kujua ina maana wanausalama wake walikua wap kama ndio hivyo bas alikosea sana kuwa underestimate adui zake
 
Alichelewa kujua ina maana wanausalama wake walikua wap kama ndio hivyo bas alikosea sana kuwa underestimate adui zake
Sio KILA USALAMA ni Daktari!!serikali ingesomesha madaktari bingwa wa moyo wengi wangemgundua Hata jukwaani tu na wangeanzisha Hata nyuzi za ku alert HUMU na hatua zingechukuliwa na angepona!!Lakini elimu ya kukariri hii na maneno ya kisiasa tupu hamna kitu watakufa wengi!!
 

Naona Buyobe kule twitter amekopi na kupest bila kutoa credit afu akaishia kunilima block 🤣🤣🤣

View attachment 2175931
Jamaa huyu kama yupo humu JF anatia aibu sana kajiwekea CODES zake hata haziendani
nimemwambia aache kuhamisha Riwaya ya mwenzakekwa copy & paste sijui atani BLOCK hata km yupo humu ni aibu kwa mwanamume
 
Inawezekana ndio yoga
Hey! I am not him!! Acha kijana wa watu apate ugali kupitia my creation!! Na asambaze ujumbe pia[emoji23]

By the way nimeghairi badala ya jumamosi kesho na drop a very interesting chapter naomba apewe taarifa akopy nayo!!

Good for him!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Vip inaendelea au ndo imeisha?
 
kumbe haka kajamaa kachafu hivi!!!
kanakula jikoni miaka yote na kanapata harufu za mapishi yote, huko zambarau kamejificha tu, Leo kanamsifia New CEO amsamehe kocha wa timu pinzani aliyelimwa red card miezi 8 kumbe kananeemeka
Ndio maana sijawahi mpenda huyo jamaa ni mnafiki sana, hawa opposition kibongo bongo huwa wanakula na state house kupitia siasa za majitaka.

Wanaanzishaga kelele ikizidi wanatulizwa na khaki envelopes. Maisha yanaenda na ndio ambavyo waliishi na Old CEO. The late CEO alipokuwa dereva alikataa huo mchezo na aka cut off pay ndio kelele zote na propaganda kuwa ni adolf hitler anaua opposition.
 
The new CEO anademka hadi kusikodemkika. Mungu hamfichi mnafiki.

Sasa ni wazi, amefeli vibaya. Haiwezekani kuwa wote waliofukuzwa na the late CEO walionewa na kwamba waliowekwa na late CEO hawafai.

Muda utasema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…