Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Enyway nikatika jitihada nitoe kichwa wapige na kiwili wili
Wasiwasi ndio akili...
Be Careful.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enyway nikatika jitihada nitoe kichwa wapige na kiwili wili
Nimekuelewa mkuu huwenda ikawa Ni mkakati maalumu mnk wengine waliomba msamaha Hadi barabarani wkt CEO anapita kujidani ktk kampeni yake nakumbuka makamu mwenyekiti wa sas huku kwao Arusha aliomba msamaha sna San mbele ya CEOUmafia ni zaidi ya mihemko.... Kitu ambacho ujui ni kwamba ili upate ubaya wa kumshughulikia mbaya wako dhihirisha ubaya wake kwa wengine ili wenye kuona waseme kweli ni mbaya ili baadaye kummaliza kwake kusemwe alikua na maadui wengi.
ukitumia mihemko no mission you will succeed
Yanii nitajitahidi niimalizeUtamaliza kweli
Maisha yalinipiga huko kitaaULIKUA WAPI SIKU ZOTE
Ashanipiga tofali, nilimwambia huu Uzi mbona umeutoa JF, akanichapa blockKimenifurahisha mhusika anadai ndio mimi!!
Yaani hii ni account yake!!
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] Aisee na anakula hela za watu kabisaa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] lengo linajulikana..... [emoji1787][emoji1787] Am not stupid!!
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Hawatuwezi hao!!!we endelea tu!!!Very sad!! Enyway nikatika jitihada nitoe kichwa wapige na kiwili wili!! Sawa mungu ni mwema !![emoji23][emoji23][emoji23]
This jumamosi tunaendelea na the lost pages in CEO Diary, nayo akopy!! [emoji41][emoji41][emoji41]
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Huyo deep informer ni balaa!Nimependa ulivyoiwasilisha..ila huyu aliekua assistance ana mipasho sii kitoto..
Usiizingatie sana lakini?He oppened his eyes, he looked tired, He tried to waved his left hand, it was kama anataka kusema nao neno but alikuwa hawezi!! His wife came close and hold his left hand, his son and doughter also came and stood behind their mother! They both in tears, watching their very sick father! then slowly He closed his eyes!
A moment of silence ....................
the machine stoped bping!! Daktari na manesi haraka wakaingia, wakawatoa nje mama na watoto, walijaribu kufanya evrything they can but the CEO WAS NO MORE the suffering came to an end!
( [emoji115][emoji115][emoji115] Pendael24 Hii scene imenisikitisha dahh!!!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24])
Sawasawa kakaake!!Usiizingatie sana lakini?
Nakazia hapaHuyo jamaa kiazi sana, ana tabia flan za kike sana. Hapo basi kichwa kimekua kikubwa kwamba anajua twitter hamna wanaofatilia jamii forums, anaona watu wote ni mapimbi.
Mtoto mzuri kama wewe unatokaje bilabila.?Mmmm!! hapo mie bila bila!... fasihi nyngine bana!!! ngoja niende zangu!!!!........
Dah jmosi mbali Yoga.Very sad!! Enyway nikatika jitihada nitoe kichwa wapige na kiwili wili!! Sawa mungu ni mwema !![emoji23][emoji23][emoji23]
This jumamosi tunaendelea na the lost pages in CEO Diary, nayo akopy!! [emoji41][emoji41][emoji41]
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
BIBI UMEIBUKA PANGONI apo kwanza nichekeeee!Andika ueleweke, mafumbo yanini? Awamu ya kuogopana imeenda na maji. Kuwa muwazi ueleweke. Unaandika mafumbo mpaka mwenyewe unajichanganya. Si weka wazi tu majina na lichokikusudia kuandika.
Shule zingine za Tanzania ni majanga, mitihani kuanzia chekechea mpaka sasa mtu mzima na shughuli zako, mitihani imekukaa kichani unatupa sisi mtihani. Hizo ndio shule za kusomea ujinga, mmefinyangwa-finyangwa na mitihani mpaka bongo zimejitia loki, Funguka.
Kuna kipande kingine hajakisimulia, kinaumiza kuliko hiki, hicho kipande ni cha old CEO alivyoenda kumuona. Akazuiliwa akauliza hata mimi? Akajibuwa ndio hata wewe huruhusiwi kuingia. Na kweli hakuingia. Kati ya watu waliondoka duniani na maumuvu makali ni the late CEO.He oppened his eyes, he looked tired, He tried to waved his left hand, it was kama anataka kusema nao neno but alikuwa hawezi!! His wife came close and hold his left hand, his son and doughter also came and stood behind their mother! They both in tears, watching their very sick father! then slowly He closed his eyes!
A moment of silence ....................
the machine stoped bping!! Daktari na manesi haraka wakaingia, wakawatoa nje mama na watoto, walijaribu kufanya evrything they can but the CEO WAS NO MORE the suffering came to an end!
( [emoji115][emoji115][emoji115] Pendael24 Hii scene imenisikitisha dahh!!!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24])
Faiza ni SamiaBIBI UMEIBUKA PANGONI apo kwanza nichekeeee!
sie wenzio tunaona raha kusoma kwa mafumbo hivyo! we nenda jukwaa la mapishi