Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Umafia ni zaidi ya mihemko.... Kitu ambacho ujui ni kwamba ili upate ubaya wa kumshughulikia mbaya wako dhihirisha ubaya wake kwa wengine ili wenye kuona waseme kweli ni mbaya ili baadaye kummaliza kwake kusemwe alikua na maadui wengi.
ukitumia mihemko no mission you will succeed
Nimekuelewa mkuu huwenda ikawa Ni mkakati maalumu mnk wengine waliomba msamaha Hadi barabarani wkt CEO anapita kujidani ktk kampeni yake nakumbuka makamu mwenyekiti wa sas huku kwao Arusha aliomba msamaha sna San mbele ya CEO

So naanza kuhisi pengine labda Ni mkakata mahusuzi tu
 
Kimenifurahisha mhusika anadai ndio mimi!!

Yaani hii ni account yake!!

[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] Aisee na anakula hela za watu kabisaa

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] lengo linajulikana..... [emoji1787][emoji1787] Am not stupid!!

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Ashanipiga tofali, nilimwambia huu Uzi mbona umeutoa JF, akanichapa block
 
Very sad!! Enyway nikatika jitihada nitoe kichwa wapige na kiwili wili!! Sawa mungu ni mwema !![emoji23][emoji23][emoji23]

This jumamosi tunaendelea na the lost pages in CEO Diary, nayo akopy!! [emoji41][emoji41][emoji41]

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Hawatuwezi hao!!!we endelea tu!!!
 
He oppened his eyes, he looked tired, He tried to waved his left hand, it was kama anataka kusema nao neno but alikuwa hawezi!! His wife came close and hold his left hand, his son and doughter also came and stood behind their mother! They both in tears, watching their very sick father! then slowly He closed his eyes!

A moment of silence ....................

the machine stoped bping!! Daktari na manesi haraka wakaingia, wakawatoa nje mama na watoto, walijaribu kufanya evrything they can but the CEO WAS NO MORE the suffering came to an end!

( [emoji115][emoji115][emoji115] Pendael24 Hii scene imenisikitisha dahh!!!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24])
 
Usiizingatie sana lakini?
 
Andika ueleweke, mafumbo yanini? Awamu ya kuogopana imeenda na maji. Kuwa muwazi ueleweke. Unaandika mafumbo mpaka mwenyewe unajichanganya. Si weka wazi tu majina na lichokikusudia kuandika.

Shule zingine za Tanzania ni majanga, mitihani kuanzia chekechea mpaka sasa mtu mzima na shughuli zako, mitihani imekukaa kichani unatupa sisi mtihani. Hizo ndio shule za kusomea ujinga, mmefinyangwa-finyangwa na mitihani mpaka bongo zimejitia loki, Funguka.
BIBI UMEIBUKA PANGONI apo kwanza nichekeeee!

sie wenzio tunaona raha kusoma kwa mafumbo hivyo! we nenda jukwaa la mapishi
 
He oppened his eyes, he looked tired, He tried to waved his left hand, it was kama anataka kusema nao neno but alikuwa hawezi!! His wife came close and hold his left hand, his son and doughter also came and stood behind their mother! They both in tears, watching their very sick father! then slowly He closed his eyes!

A moment of silence ....................

the machine stoped bping!! Daktari na manesi haraka wakaingia, wakawatoa nje mama na watoto, walijaribu kufanya evrything they can but the CEO WAS NO MORE the suffering came to an end!

( [emoji115][emoji115][emoji115] Pendael24 Hii scene imenisikitisha dahh!!!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24])
Kuna kipande kingine hajakisimulia, kinaumiza kuliko hiki, hicho kipande ni cha old CEO alivyoenda kumuona. Akazuiliwa akauliza hata mimi? Akajibuwa ndio hata wewe huruhusiwi kuingia. Na kweli hakuingia. Kati ya watu waliondoka duniani na maumuvu makali ni the late CEO.
Kilichokuwa kikimuumiza zaidi sio alichofanyiwa, ni jinsi mchezo ulivyochezwa bila yeye kujua kajakujua ashachelewa.
 
Back
Top Bottom