Dark days 17/03/20...

Page 2

Dad, i think we need to take this boy sereous! He is talking about your education, convinsing people that you dnt have experience and bad enough he is saying that your reserach is a fraud dad! Just let me do something!

Ok! Yes nimemsikia, i dnt think it will be right for you to be envolved in this matter, there are people dealing with him!

That was like mara ya nne mr branch manger was calling his (dad) late CEO demanding go ahead to discipline this boy anaye onekana kama ana mhumiliate baba ake!!

Huyu kijana..........

Tuendelee au??

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Sasa nimeelewa thread ya Tumia akili kwamba:mstaafu aliekwisha kustaafu LAKINI hataki kustaafu anastaafishwa!!yaani the state inataka kushusha heshima ya old CEO Ili apoteze umaarufu na achukiwe na jamii Ili kuiua influence yake kwenye jamii yaani anapakwa mavi anuke Ili astaafishwe rasmi na kuondoa influence yake kwenye serikali yake!!NIMEAMINI STATE HAINA ADUI WALA RAFIKI WA KUDUMU!!HATA KATIBU MSTAAFU WA TCD AMECHAFUKA HAFAI KWAMBA ALISHIRIKI KUM ELIMINATE MWENYEKITI WAKE!!!!AISEH HONGERENI THE STATE KWA KAZI NZURI SANA!!!
 
Tuendeleee
 
Endelea hadithi unajua utungaji sana
 
Mungu wangu Mungu mkubwa hebu endelea nahisi mwili wote umelegea, natafuta Pop 🌽
Nasubiria usiitupe hii part 2
 
Leo mbona speed ya comment ndogo, hizi episode mbili wengi hazijawafurahisha?
Nimechelewa Mkuu mm nimeambulia moja tu lost page na. 3 ya kijana tajiri aliyechaniwa nguo, hiyo nyingine ya nyuma NI post na. ngapi tukiacha hii ya Branch manager akiomba kazi na kukataliwa, nimeona Kuna vituo vya Alizeti naomba namba ya post km ni episode 2 zimetoka
 
Tuendelee
 
Na staafishwe tu hata hao aliokuwa anacheza nao kombolela nao wafundishwe majukumu yao waache usaliti.
 
Mkuu mbona vituo vya Alizeti siyo episode? Yalikuwa majibizano ya watu kuhusu the son of Mr born town, au mimi na wewe tumepitwa? [emoji848][emoji848]
 
Ndio tuendelee!!
 
Mkuu mbona vituo vya Alizeti siyo episode? Yalikuwa majibizano ya watu kuhusu the son of Mr born town, au mimi na wewe tumepitwa? [emoji848][emoji848]
jamaa yangu member Memento kanitisha kusema zimetoka episode 2 watu hawachangii naona sikumuelewa yoga leo katoa moja tu na ya pili ndio tunaisubiria natafuna pop 🌽
mniTAG maana kuna vipanga wanazipitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…