Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Sawa ni hivi old CEO ana kijana wake, ambaye naye sasa hivi anafuata nyayo za mshua yuko mjengoni, msaidizi wake wa jikoni(mke) wa old CEO, jiko humaanisha mke . Kijana inasemekana ana vituo vya mafuta.

Aliyeuliza swali alitaka kujua je huyu kijana wa old CEO ni mtoto wa huyu mama ambaye ni mke wa old CEO ambaye naye pia yuko mjengoni kutokea Jimbo la kusini mashariki wa Tz? Jibu ni hapana.
Anhaa dah nimekusoma.....old CEO kwenye suala la Imani yake kuwa na uwezo WA kumiliki majiko mpk manne..kweli amelizingatia
 
mimi na amini katikati ya binadamu kuna malaika tunaishi nao na hushuhudia yote ( mema n mabaya ) binadamu tuyatendayo
Kikubwa tuishi kwa hofu ya Mungu.
Ndo nilichojifunza kwenye riwaya hii
Mwenzangu umejifunza nini??
 
yoga Hivi mama yake na yule mtoto anaejaza visima vya alizeti kila kona hadi vichochoroni ni nani? Maana inasemekana mama yake sio yule alowekewaga pini kipindi fulani mabegi yake yasipite.
Nimesoma simulizi nyingi kwenye vitabu jibu kama linakuja afu linakataaa
mama ake alishafariki.kijana yeye na dada ake dr s wao mama ni mtu wa bwagaheart.na anawadogo wengine bwagaheart
 
old ceo mke wake wa kwanza (marehemu) alizaa nae watoto wawili.kijana naibu na dr wa meno. wakaachana nadhani miaka ya 90 hv.ndo akaolewa mwalimu.nae ana watoto 5 na old ceo.
km kwa Ndoa sawa, lkn ujananj ana mkubwa wao hao wenye Alizeti, wakati akifanya Makao Makuu ya club yao ya kijani alipata mtoto (mirija akijifanya pilot wa Ndege) Mama yake yupo kitongoji Cha Makole, Kuna watoto wengine wa namna hiyo singidani enzi hizo moto
 
Back
Top Bottom