Dark days 17/03/20...

Kabisa mkuu. Ebu fikiria riwaya kama hii watu tulikuwa tunalala zetu usingizj hadi ndoto juu, tunapanga mipango yetu, tunatembea barabarani, vichochoroni usiku na mchana wala hata hugeuki nyuma kujua nani anakufuatilia, kumbe upande mwingine watu hawalali.

Ndio maana tunashauriwa kuna mambo kama hayakuhusu bora kuachana nayo. Kuna siri unaweza kuzijua ukaishia kuwa chizi.
 
Kweli JF ni kisima cha maarifa. Ninazidi kupata elimu hapa.
 
Umechora hekima ya juu sana sana hapa.

Nje ya ufahamu wetu wa kawaida Sio kuzuri hata kidogo. Ni taabu na mateso tu. Haswa ukikosa Utulivu, hekima na busara... Maarifa yanayotesa na kuharibu vichwa vya wengi.
 
Kama hii ni fictions kwa mpangilio wa matukio, muda, watu na uhalisia basi yoga si mtu wa kawaida.

All in all hii hadithi itakuja kutoa funzo kuwa ktk maisha usifanye jambo bila kupima matokeo yake kwako na kizazi chako. Mwl Nyerere hayupo lakini watoto hadi wajukuu zake wanaishi kwa amani kwa kujitafutia riziki kama Watanzania wengine wakibakia na heshima kuu ndani na nje.

Tuwaombee sana hekima viongozi wetu, hizi manipulations always hazina mwisho mzuri! Kuna levels ukifika shukuru Mungu maana ni assurance ya wewe na kizazi chako kuishi VIP life. No needs za too much wealth hadi una cross the line.
 
Huyo Nyerere bado aiiuawa. Siru ni nyingi. Ishi tu lakini hakuna wema duniani.

Lile genge limemkamata new CEO, linapandisha bei za vitu litakavyo. Ungekuwa wewe ndo CEO ungewavumilia tu? Wanakupangia huyo awe RC au DC kwa kuwa ni mtoto wa mchepuko wake. Huyu awe waziri kwa kuwa kwenye wizara hiyo tunaweza kupiga dili.

Believe or not, hii dunia hata utende wema, wa kukudharau na kukusaliti watakuwepo tu.
 
na hata ishu ya uvoko aliwatesaaa sijui walimhonga kumshona mdomo.

kuna yule late mama bishop mwenye mauwa waridi kichwani mengi ilikuwaje akawekwa kwenye kampuni akiwa km spesho chairs. halafu hata hakuinjoi akatwaliwa.
Yule mama mleta wachumba zetu kwa kutumia kimbunga upepo alitakiwa awe kwenye kampuni maana kampuni na nyumba za yesu ni mapacha, hawa watu wenye nyumba za masiha wana wafuasi wengi ukitaka kuongoza vizuri kampuni lazima mle wote sahani moja.

Naenda library kusoma simulizi zingine wenda nikajua kwani aliwahi kwenda kwa baba mbinguni kuimba mapambio.

Tuendelee kusoma riwaya mbali mbali majibu yako humu humu duniani.mbunguni kuna kazi moja tu kuimba na kusifu
 
Ndo maana hata watu wengine hutumia sana hekima na tahadhari pale utoapo maoni kwani kuna wengine wana kazi maalum ya kuketi hata hapa JF na kung'amua nani anaandika.

Kisha hufikia hitimisho kuwa huyu ni threat au sie kulingana na mahali wanapong'amua yuko located.

Huo ndo msingi wa fasihi andishi ya mleta mada.
 
Swala la kutawala milele walikuw wanamsingizia ilikuwa ni njama yule jamaa mwenye tabasamu zake.vijana wake wa habari ndo walisambaza hiyo ishu ili raia wamchukie late CEO
 
Lakini kwa matukio yanoendelea kwa sasa hii DS saa hii imekuwa "too corrupted" yaingilika kirahisi.

Wengi wanapungua wabakia vijana ambao hawana mwongozo mzuri.

Wamrudisha vipi kwenye bodi ya kampuni mtu ambae huko nyuma mmemchunguza na kubaini ubadhilifu ulozidi kipimo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…