Dark days 17/03/20...

Umenifariji sana mkuu. Asante sana
 
Ahukumiwe kwa uovu wake, apongezwe kwa mazuri yake.
Hakuna balance yoyote kwa mwenda...ke maovu yalimlemea pesa ya kampuni alijigawia bila vikao, watu walifukuzwa bila malipo eti vyeti feki wakati yy alihojiwa akamuua ben8
Kila siku kutumbua hakujua Kuna familia wanaumia
Bei yy ndiye alidanganya eti umeme 27,000, hata kwa kwa k game na M7 sio hivyo naona muhamie huko mnaoumia
bora wajanja walimuwahisha na wengine tutafuata lkn angalau amani ipo Sasa hata humu JF
 
Vyetu feki una hasira bora ulitumbuliwa nawe utakufaaaa😏😏😏😏😏
 
[emoji23][emoji23][emoji23] watanzania wengi wanapenda kudaganywa aisee. Wanapenda sympathize saanaa aisee. Wanachosha. Na hawakubali kwamba wameshafiwa. Kila mtu atembee na ya moyoni mwake.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Yeye cha uDr alikipata wapi nani kamtunuku huo uDaktari
kavunja Ndoa kibao za watu kapeleka kwake ,...
Kufa tutakufa lkn bora katangulia
acha riwaya iendelee msitulazimishe kulia wakati tuna furaha
Leo ijumaa ujue? Beba chaja yako na vaa vizuri mkuu. Tukutane viwanja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1635]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
You made my day !!
 
basi sawa.
 
You are very Correct...
"Ukijihusisha na lisilokuhusu ni lazima litakuhusu"
 
Mtazamo wako ni Sahihi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…