Kama hii ni fictions kwa mpangilio wa matukio, muda, watu na uhalisia basi
yoga si mtu wa kawaida.
All in all hii hadithi itakuja kutoa funzo kuwa ktk maisha usifanye jambo bila kupima matokeo yake kwako na kizazi chako. Mwl Nyerere hayupo lakini watoto hadi wajukuu zake wanaishi kwa amani kwa kujitafutia riziki kama Watanzania wengine wakibakia na heshima kuu ndani na nje.
Tuwaombee sana hekima viongozi wetu, hizi manipulations always hazina mwisho mzuri! Kuna levels ukifika shukuru Mungu maana ni assurance ya wewe na kizazi chako kuishi VIP life. No needs za too much wealth hadi una cross the line.