Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Hakuna cha code, ni upuuzi na ujinga tu kuongea kwa mafumbo vitu vinavyojulikana wazi. Wajinga kama wewe ndiye muonao kama vile kuna "bonge la "conspiracy", ni ujuha tu.

Waste of time.
Basi apo unajiona wa maana mwenyewe kwamba umeongea bonge la pointi yani unavyojiona. Mbshhh ushubwada mtupu
 
Mojawapo ya mtu influential ndani ya TISS au mwenye ushawishi kwenye top state organizations ndio anaweza pata classified info za crandestine operation kama hii. Na lazima kuwe na some information lagging kwenye story nzima, huwezi jua wapinzani waliambiwa nini, ukajua DAB aliambiwa na kufanya nini, ukajua story ilianzaje na kuishaje. Confession hufanyika na mtu mmoja aliyehusika kwenye part yake, secret service hawaambiani role ya kila mmoja. Nenda popote duniani mission yoyote ngumu ikivuja kuna story inakosekana kuunganisha.

Then mission ngumu huwa ni one way, huitaji kutumia Polonium-210 zaidi ya mara moja au kuipa msaidizi wa aina nyingine kama umeshajua ya kwanza ilikuwa successful, na hiyo sio sumu ya kumuondoa head of state unless uwe very careless na matokeo, ikifanyika autopsy kinyume na ulivyotarajia unapata matokeo tofauti. Polonium yenyewe ina dalili ambazo huyo deceased hakuwa nazo, hakunyonyoka nywele wala mwili kuwa fainted.

Presidential security sio wazembe kama ilivyoonyeshwa hapa. Hakuna individual mmoja anayeruhusu mtu kupita au kutokaguliwa, inahitajika wawepo vilaza wa hali ya juu sana kumruhusu mtu bila kukaguliwa. Hata akipangwa mlinzi mmoja, bado sio jukumu la single individual kuamua. Ni jukumu la protocol, unless ungesema aliyeshiriki ni mke au mtoto wa mhusika somehow naweza kubali. Then chakula cha mkuu hakiguswi na mtu, huwezi mimina chai hapo ukasubiri atoke sijui chumbani anywe, mambo sio rahisi kama unavyodhani.

Mtu mwenye nafasi kama yako kuna mwandiko anakuwa nao, sio huu wa kutumia emoji nyingi na kutumia lugha ambayo tunajua agent hawezi kuwa kama huyu. Kuna mambo mengi sana yana makosa ila tuishie hapa. Huu ulinzi anaopewa head of state unaoonesha hapa unaweza zidiwa na hata alionao CEO wa CRDB
hahaaa brother the stone keeps dreaming on its uniqueness feature unless placed on fire to experience own weakness
 
Wewe wakiguswa wa dini yako unakuwa kama punguani.
Kumbuka hili:

Waumini katika fadhili zao, huruma na kuhurumiana ni kama kiwiliwili kimoja. Wakati kiungo kimoja kinapoumwa, mwili wote huitikia kwa kuamka na homa.

1649501361446.png
 
Guess the company!??
Alaaa!! kuumbe fasihi niliyo wafundisha zamani zile ndo manzileta humu!.......Sanaa andishi sasa nimekuelewa siku ile nilikuwa na njaaa!!! jamani njaa mbaya sana!........Kampuni yakufikirika hii !! ardhi yake ni ya kufikirika pia waru wake ni wa kufikirika!!

ila huyo CEO alikuwa mjinga kupitiliza huwezi kupewa ulaji uwe na dharau kiivo!
 
Back
Top Bottom