Basi apo unajiona wa maana mwenyewe kwamba umeongea bonge la pointi yani unavyojiona. Mbshhh ushubwada mtupuHakuna cha code, ni upuuzi na ujinga tu kuongea kwa mafumbo vitu vinavyojulikana wazi. Wajinga kama wewe ndiye muonao kama vile kuna "bonge la "conspiracy", ni ujuha tu.
Waste of time.
Nimecheka kwa saut ujuwe ππππWanamuitaga Mr. Born town mzee wa fitnaπ ndani ya smile zito
We mtu wa mataifa, ni nani kakulazimisha kusoma?Hakuna cha code, ni upuuzi na ujinga tu kuongea kwa mafumbo vitu vinavyojulikana wazi. Wajinga kama wewe ndiye muonao kama vile kuna "bonge la "conspiracy", ni ujuha tu.
Waste of time.
Sasa unalalama nini bibi weeHakuna cha code, ni upuuzi na ujinga tu kuongea kwa mafumbo vitu vinavyojulikana wazi. Wajinga kama wewe ndiye muonao kama vile kuna "bonge la "conspiracy", ni ujuha tu.
Waste of time.
hahaaa brother the stone keeps dreaming on its uniqueness feature unless placed on fire to experience own weaknessMojawapo ya mtu influential ndani ya TISS au mwenye ushawishi kwenye top state organizations ndio anaweza pata classified info za crandestine operation kama hii. Na lazima kuwe na some information lagging kwenye story nzima, huwezi jua wapinzani waliambiwa nini, ukajua DAB aliambiwa na kufanya nini, ukajua story ilianzaje na kuishaje. Confession hufanyika na mtu mmoja aliyehusika kwenye part yake, secret service hawaambiani role ya kila mmoja. Nenda popote duniani mission yoyote ngumu ikivuja kuna story inakosekana kuunganisha.
Then mission ngumu huwa ni one way, huitaji kutumia Polonium-210 zaidi ya mara moja au kuipa msaidizi wa aina nyingine kama umeshajua ya kwanza ilikuwa successful, na hiyo sio sumu ya kumuondoa head of state unless uwe very careless na matokeo, ikifanyika autopsy kinyume na ulivyotarajia unapata matokeo tofauti. Polonium yenyewe ina dalili ambazo huyo deceased hakuwa nazo, hakunyonyoka nywele wala mwili kuwa fainted.
Presidential security sio wazembe kama ilivyoonyeshwa hapa. Hakuna individual mmoja anayeruhusu mtu kupita au kutokaguliwa, inahitajika wawepo vilaza wa hali ya juu sana kumruhusu mtu bila kukaguliwa. Hata akipangwa mlinzi mmoja, bado sio jukumu la single individual kuamua. Ni jukumu la protocol, unless ungesema aliyeshiriki ni mke au mtoto wa mhusika somehow naweza kubali. Then chakula cha mkuu hakiguswi na mtu, huwezi mimina chai hapo ukasubiri atoke sijui chumbani anywe, mambo sio rahisi kama unavyodhani.
Mtu mwenye nafasi kama yako kuna mwandiko anakuwa nao, sio huu wa kutumia emoji nyingi na kutumia lugha ambayo tunajua agent hawezi kuwa kama huyu. Kuna mambo mengi sana yana makosa ila tuishie hapa. Huu ulinzi anaopewa head of state unaoonesha hapa unaweza zidiwa na hata alionao CEO wa CRDB
thats what we call pattern of thinking and reasoningNo... Money is not the root of all evil.... But people who worship money and other material possessions are the roots of all evil.
Wewe wakiguswa wa dini yako unakuwa kama punguani.Great minds discuss ideas, average minds discuss events, poor minds discuss people.
Unazeeka vibaya.Great minds discuss ideas, average minds discuss events, poor minds discuss people.
come on jonnah wewe ni smart saana.huu mchezo hautaki hasira maana una hasara kubwa.hivi huoni kitu hapa? kama unakumbuka ujio wa KIGOGO basi hupaswi kushangaa connection ya story.read between lineUkosefu wa uwezo wa kufikiri kwa mapana. Do you think yoga is alone? Definitely not.
Mwache faiza wangu.. nampendagaa[emoji23][emoji23]Sasa unalalama nini bibi wee
Unajibu ujinga kwa ujinga?
We mtu wa mataifa, ni nani kakulazimisha kusoma?
Kwani nimemshika? Nisije mfanya akafungulia nini? πMwache faiza wangu.. nampendagaa[emoji23][emoji23]
Usije mfanya akafungulia.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kipenzi cha wengi yuko katika mfungo wa Ramadhani. Sasa endelea niibe ugoro nikuwekee kwenyw uji[emoji23]Kwani nimemshika? Nisije mfanya akafungulia nini? [emoji23]
Hhhhhh kwann mamiiπNimecheka kwa saut ujuwe ππππ
Uzee ni dawa, siyo ugonjwa.Unazeeka vibaya.
Kumbuka hili:Wewe wakiguswa wa dini yako unakuwa kama punguani.
Wewe jibu huo ujinga, achana na mimi.Sasa unalalama nini bibi wee
Unajibu ujinga kwa ujinga?
Wewe uzi kama hautaki usomwe na wengine tumia private messages.We mtu wa mataifa, ni nani kakulazimisha kusoma?
Dhumuni usome yakuingie ujibu. Na umefanya hivyo. Message delivered, mission accomplished.Basi apo unajiona wa maana mwenyewe kwamba umeongea bonge la pointi yani unavyojiona. Mbshhh ushubwada mtupu
Alaaa!! kuumbe fasihi niliyo wafundisha zamani zile ndo manzileta humu!.......Sanaa andishi sasa nimekuelewa siku ile nilikuwa na njaaa!!! jamani njaa mbaya sana!........Kampuni yakufikirika hii !! ardhi yake ni ya kufikirika pia waru wake ni wa kufikirika!!Guess the company!??
Okay nabonyeza ngapi ili na mimi awe kipenzi changu? Weka alkasusiKipenzi cha wengi yuko katika mfungo wa Ramadhani. Sasa endelea niibe ugoro nikuwekee kwenyw uji[emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app