Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Ok nakuacha tangu sasaWewe jibu huo ujinga, achana na mimi.
Mwee!! Kweli PUUUA kabisa.Dhumuni usome yakuingie ujibu. Na umefanya hivyo. Message delivered, mission accomplished.
Hata ikiwa sikio kabisa. Nafahamu hapo nimekupiga chenga ya mwili, nafahamu namna ya kuwatesa kiaina.Mwee!! Kweli PUUUA kabisa.
Eti kuwatesa 🤣🤣😂😅😆🤣. Kwa iyo mwenyewe unaona unatutesa???. Kweli kichwa yako imejaa mayi.Hata ikiwa sikio kabisa. Nafahamu hapo nimekupiga chenga ya mwili, nafahamu namna ya kuwatesa kiaina.
Message delivered. Mission accomplished.Eti kuwatesa 🤣🤣😂😅😆🤣. Kwa iyo mwenyewe unaona unatutesa???. Kweli kichwa yako imejaa mayi.
Sawa kichwa mayi.Message delivered. Mission accomplished.
Utatemewa ugoro leo[emoji23][emoji23]Okay nabonyeza ngapi ili na mimi awe kipenzi changu? Weka alkasusi
Unampa mileage bure huyo ustazati
Wamekutuma au kimbelembele chako? Kwahiyo waovu wa dini yako pia unawatetea?Kumbuka hili:
Waumini katika fadhili zao, huruma na kuhurumiana ni kama kiwiliwili kimoja. Wakati kiungo kimoja kinapoumwa, mwili wote huitikia kwa kuamka na homa.
View attachment 2181541
Basi tuuu jmn 😊Hhhhhh kwann mamii😅
Uislam una hukumu zake. Hatetewi wala haonewi mtu ndani ya Uislam.Wamekutuma au kimbelembele chako? Kwahiyo waovu wa dini yako pia unawatetea?
ww nyumban kwako sjui kama kuna ndugu wanakutembelea! labda wanafiki tuUislam una hukumu zake. Hatetewi wala haonewi mtu ndani ya Uislam.
Wanakuja tena kwa gharama kubwa sana.ww nyumban kwako sjui kama kuna ndugu wanakutembelea! labda wanafiki tu
Una mental illnessAcheni kumsingizia na kumpaka tope mstaafu wetu Msoga. Vitu vingine tumieni akili, hivi inaingia akilini amuache miaka yote 6, halafu am terminate akiwa amebakiza miine? Ni upotoshaji, acheni ku make conspiracy theories kwa mzee Msoga.
Acheni apumzike. Ni kweli Jiwe alikuwa mgonjwa na ndio maana kuna rumors kuwa aliomba mpaka upako kabla hajafa, na alijijua kuwa alikuwa mgonjwa.
Narudia, acheni mzee apumzike msimpake shombo.
Na stori za hivi zipo nyingi sana kila mtu anaongea anachojua. Kwenye tukio lolote lile ni lazima conspiracy theories zinakuwa nyingi sana. Acheni hizo bhana,muacheni mzee msoga apumue, msimuonee mzee wa watu.
#StopConspiracyTheories
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]