Dark days 17/03/20...

"Redemption Song"
---
"nental ' = Mental[emoji736]
Rekebisha hilo neno kabla FaizaFoxy Hajaona.
---
Bibi kifimbo cheza yule[emoji1787][emoji1787][emoji1787]si unamkumbuka.mzee kifimbo cheza na baragashia yake na msuli aliofunga mkwiji na bakora

Sasa bibi kifimbo cheza anakuja na baibui [emoji2][emoji1787]
 
ufukunyuku ni kwamba late ceo alimtumia wakora bontown,,wamchomoe akashtukia!tena siku chache baada ya kifo cha LOFA.
hata LOFA alichomolewa kimtindo na late ceo ambapo sababu alianza kuwashwa.
mission accomplished lofa akapigwa polorium kwenye kikao kile pale dom..
bontown alijua game ilivyokuwa hivyo akakaa red handed whenever worst case scenario!
kumbuka late ceo assasination team yake ni mambulula watupu wote ni mashahidi.
wakamtokea bontown wafanye MURDER LOOKS LIKE ACCIDENT.
kitu walifanywa sio cha nchi hii.
late ceo alikuwa na plan nyingi ili apate ufalme wa milele..lakin alizungukwa na SUCKERS watupu wasiokua wazuri kwenye medani.
kitu alichofanyiwa alikuwa anakiona na anakijua.ANTICIPATE DEATH yaani anaoneshwa inner cicle yake inapukutika huku akijua the next target ni yeye na escape route is narrow.
 
Hiyo inner circle iliopukutika ni akina nani tofauti na KMK?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…