So tarehe ikapangwa, mwenyekiti akapewa feed back, preparation zikaanza kufanyika kuelekea kwenye meeting husika!! This is huge!!
The old CEO was very happy kuskia habari hii njema! Since heplaned all this all the way along!! akawaachia kazi vijana wake wamalize mchezo!
Unamkumbuka kijana aliyepewa kazi yakumfanya mwenyekiti wa kampuni pinzani aombe meeting na the targeted CEO[emoji57][emoji57]
Huyu ni assistant wa mwenyekiti, lakini kimuundo nikama anaushawishi mkubwa sana ndani ya kampuni husika!! Iinspite of him kuwa assistant anaambition ya kuwa owner pia wa kampuni hii!!
So he wantend to play the game well ili at the end of the day achukue uskani!! Huyu aliwahi kuwa kwenye kampuni flani ambayo ni very big company mshindani mkuu zaid wa existing company ya the targeted big boss CEO!
Alifukuzwa Kwenye kampuni hiyo kwa kusnich taarifa za kampuni husika akiwa na lengo hilo hilo ambalo analitaka sasa! Kupindua uongozi[emoji849][emoji57][emoji57]
So the old CEO used him that time, na he was using him in the moment!!
Baada ya kutoa taarifa kwa the old CEO alipokea notification haraka kutoka kwa vijana wa the old CEO afike moja ya hotel kubwa ufukweni mwa bahari kwa maelekezo zaid!
One thing the old CEO was good at , ni kuplay the game all along without being noticed!! You know why and how!! He is a well trained spy and a mafia kitambo sanaaaaaaa!! And he has connections[emoji51][emoji51][emoji30][emoji30][emoji30]
So kwa kijana mtumiwa the Funny thing is, alijua yeye anashiriki kama mtoa taarifa kumbe jamani! [emoji13][emoji13][emoji13] He was the one setting the trap without knowing!!
Kijana akaenda kwenye meeting kama notification alivyomwelekeza! he met one of the guys from the other team, akamwambia kwenye hiyo meeting kuna hiz documents mpatie mwenyekiti wako hizo ndio akazipresent kwa the CEO!
Akaambiwa if these docent will be well received, na biashara kufanyika, we apromiising you a best possition in the company!!
Kijana aka smile akazipokea documents zile with exitemt. Ali dream of his position since at the moment ni mtu tu mwenye ushawishi in the company but hana maslahi ya kueleweka
Document zilikuwa zinaonyesha mapendekezo ya how wanaweza fanya joint hizo za kibiashara, kulikuwa na document za aina mbili, one ni bundle of summary ya the whole joint venture, na bundle la pili zilikuwa ni well detailed expalanations on how these two companies may unite and work together and have huge profit in the future!!
So kijana akapewa a litlle bit presentation ya kilichomo mule ili nayeye akatoe presentation kwa mwenyekiti, ingawa pia mwenyekiti alikuwa na prepared issues zake za kumwambia CEO
So he took the documents in bags, nakala mbili, one for them na nyingine ni refernece kwa CEO zikiwa seald!
Kijana aliondoka and He went and present the whole issue kwa mwenyekit! Ile presentation ilimgusa sana mwenyekiti nakumsifia sanaaaa kijana kwa good preparation and presentation!!
Funny thing hakujua muandaaji wa documents zile sio huyo kijana[emoji12]
Tarehe ikafika mwenyekiti na team yake waka chukua flight mpaka nyumbani kwa the boss! Wakapitia protocal zoote na wakawa veryfied kuonana na the CEO maana ulinzi ulikuwa mkali balaaa!! [emoji849][emoji849][emoji849]
So ikafika chance these two wakakutana!! Wakaongea for almost four hours, mwenyekiti akamkabidhi nakala ya documents CEO zille seald akamsihi azisome!! Kama kuna sehemu hakuelewa kupitia document zile kuna a very good detailed expalnation ataelewa!!
The meeting was very succesfull!! Kila upande ulitoka na statement ya furaha!! The future was bright[emoji849][emoji849][emoji849] kumbe the future was dark!![emoji12][emoji12]
So mwenyekiti alibaki na nakala zake and CEO alibaki pia na nakala zake!! Wakati mwenyekiti anarudi, akaamua apitie document zile hasa zile zenye detailed explanation!! Boss akawa anajisomea taratibu.
kafika town vizuri tu!! Ila within two weeks!! Hali ikabadilika! He was Rushed to the hospital but in few days majonziiiiiiii! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
The news came back to the CEO, he was shoked mbaya sana!!
Aksed him self how?? Mbona hii kama ile ya wanzo?? he felt vita imemfuata kwake!! Aliandaa statement ya kuguswa na ondoko la mwenyekiti but deep down akaona huu sasa ujinga huu!! He decided kutoka kwake na kurudi town ili aanzishe mashabulizi mwenyewe sasa[emoji51][emoji51][emoji51]
So akawasha gari zake from his home to town, njiani anajiandaa kwenda akapata wazo la kuchukua zile documents alizopewa na mwenyekiti azipitie ili akifika town kwa kujali uhusiano mwema awaite representatives wa kampuni hiyo awape pole na wafikie terms[emoji22][emoji22]
He oppened the documents na kuzipitia pitia mdogo mdogo! But also decided to call kijana wake ampe updates on what is goin on!! Kijana akamsihi boss usije kwanza mambo sio mambo!!
Boss akasema nooo!! Am coming!! I will run the whole opration myself kama umeshindwa!!
Kafika mjini salama!! chakwanza akamuita deep informal!! Akamtuma amuite the old CEO wazungumze!!
Baadae Akamwita kijana wake, akamwambia a trace the phone calls za huyu (deep informal) kwakuwa amempa maelekezo amuite old CEO akitaka amtume akamwakilishe kwenye summit flan ya all companies nje ya nchi!!
Alitaka kujua wataongea nini kwenye simu hizo!! So wakaprepare vijana kufanya ya fuatayo
Mosi :- kutrace movements za informal
Pili :- kurecord all convos!!
Kumbe time was not on their side!! These peope were very smart and carefully!! waliweza kujua plan za team B mapema na kuchukua tahadhari!!
Two days zikakata wthout hard evedence, the ol CEO akachenga kuwa anashida ya kifamilia but atafika soon!! One week ikawa imekata harakati zikiendelea,
Sasa bwana CEO chest pain zikaanza[emoji22][emoji44][emoji44][emoji44] na ganzi flani hivi zisizo eleweka throught his body especially upande wakushoto!! Akalalamika lalamika kwa mwandani wake wakashauriana!!
Akamuita dactari wake, (yule daktari aliye shughulika na kipenzi chake three monthes ago[emoji857]) The doctor after reciving a call from the CEO!! he knew picha limeanza!! So he notified the old CEO. The old CEO called his team!! And said "the first symptoms have begun, stage three should be initiated"
Bwana bwanaaaa!! Mpango wa smooth transfer of power ukaanza!! Since they all know what they have done so far and what is about to go down.................[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Deep Informal akapigiwa simu! "You need to get out of the company from today, find any activitiy ukafanye out of the company hakikisha haupo hapo kwenye kampuni kwa siku kadhaa until we tell you so! [emoji849][emoji849]
The CEO is now sick!! ........
The deep informal is told to stay out!...
Kwanini??, Docta naye je ......
Best and sad part....... Badae!!
[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]