Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Inaendelea.......

60 days before the dark days ........


(Flash back)

Some one called the boss na kumwambia your in danger, some people are planning to take you out! Hawako nafuraha ya hiki unacho fanya! Boss kama kawaida yake kujiamini sana, anadai yeye anaprotection ya kutosha, and if, alisalimika last time akiwa kama cashier wa kampuni ni urongo na upuuzi akiwa the CEO kuwa termineted!!

The boss anaamua kuongeza udukuzi kwa adui zake, lengo awaumbue kumbe they knew and walimpa alichotaka asikie but behind the corridor unyeti wa mambo unaendelea

Kosa kubwa ni kumundermine the old boss A.K.A the king maker!! So the old boss alijua kuna the old CEO kabla yake ambaye ndie alimtengeneza huyu CEO wa sasa. Hata wakati wa mapendekezo tha CEO aliinsisit huyu CEO apewe nafasi kuinusuru kampuni!! Na inavyo onekana huyu ndie behind the scene director wa the existing CEO

They called a meeting, involving one of his closest top security friend from the company! And then come up with targets chart board! Ile bord ilikua ikimuonesha the new boss nasubordnates wake wooote wanaompa kiburi



Wakati huo, big boss nayeye akiwa ajui akaona am cut off totaly old boss in the company, aka select new secretary akamuondoa the old one, then na new public relation officer, wote wakiaminika hawakuwahi kuwa ndani ya kampuni!! Maswali kwa wafanyakazi wa chini walio dhani wana opportunity ya kuchukua hizo nafasi yakaanza but hofu iliyafanya yapoteee

The top security navijana wake wakaidentify targets wao na kupewa go aheard, but before anything kulikuwa na a very deep informer direct kutoka kwenye meza ya new boss!![emoji16][emoji16]

bwana weee!!
Wakaanza na yule old CEO, pitanaye in a way no one noticed!

Big boss was shorked and hakuamini! He was told he died from a normal death! One thing he didnt know is that, inside the office kuna mtu alikuwa anatoa taarifa kwa the old boss, na huyu mtu ni mtu wake wa karibu sanaaa!

The new boss ameshaangaika kumjua huyu mtu but amefail several times. Huyu mtu ndio alitoa time table ya the old CEO anaye aminiwa na new CEO wapi watakutana so that the agent responsible for the assasination can do his job!! [emoji849][emoji2957]

Huyu mtu ndie anaetoa taarifa kwa the old CEO timetable nzima ya the big boss, anakula nini, amelala saangapi, anafanya nini, anawaza nini na maamuzi yake ni yepi, sababu mtu huyu alitokea kuaminiwa sana na the big boss in town[emoji16][emoji16]




So how did they terminate mzee muibua kipaji cha CEO[emoji41][emoji22]......................

Who is the deep informal...... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Natharia tu hizo, yeyote anaweza kutunga

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Kabla ya uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anaye mtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi ya fanyike

Baada ya uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu yakuuwa teams!

Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kumkontrol kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.

Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadirika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa offisi!

Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote yamtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslai ya mtoa kijiti kwenye kampuni!



mbaya sana, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni yakwake na bila yeye haiendi!


New boss Alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wakumpangia! Hataki maelekezo na kwanza halekezeki!

Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ninani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!

Haikua habari njema saaaana kwa mwenye kijiti before 2015 na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time![emoji2957]

Alichokifanya nikuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kumnotify ironically kuwa anajua wanacho mjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au amejisucrifise yupo tayari kwa lolote!

Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zina zimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stake holders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wazamani wanatupwa nje ya ukuta!

Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wakuhakikisha hilo linakamilika!


The old boss akakaachini akafikiria akaona kama huyu four years tu kanifanya hivi je 20 years to come??[emoji849][emoji1787]


Muda ukakwenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes! [emoji22][emoji7]

Big boss kajichanganya during campaings, kapigwa tukio, after uchaguzi wa kampuni only three monthes katema ndoano!

Assistance wake kaitwa chemba, maelekezo kapewa chukua kijiti, fanya reform mambo yanapaswa kurudi kama zamani!

Assistance kuangalia hali ilivyo, kaanza kurudisha the old stracture kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is onother CEO!!

Let see will the new boss stick to the plan? Or............


Itaendelea..............[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]


Guess the company!??[emoji23][emoji23][emoji23]
Kidumumuuuuu......
 
Acheni kumsingizia na kumpaka tope mstaafu wetu Msoga. Vitu vingine tumieni akili, hivi inaingia akilini amuache miaka yote 6, halafu am terminate akiwa amebakiza miine? Ni upotoshaji, acheni ku make conspiracy theories kwa mzee Msoga.

Acheni apumzike. Ni kweli Jiwe alikuwa mgonjwa na ndio maana kuna rumors kuwa aliomba mpaka upako kabla hajafa, na alijijua kuwa alikuwa mgonjwa.

Narudia, acheni mzee apumzike msimpake shombo.

Na stori za hivi zipo nyingi sana kila mtu anaongea anachojua. Kwenye tukio lolote lile ni lazima conspiracy theories zinakuwa nyingi sana. Acheni hizo bhana,muacheni mzee msoga apumue, msimuonee mzee wa watu.

#StopConspiracyTheories
 
So tarehe ikapangwa, mwenyekiti akapewa feed back, preparation zikaanza kufanyika kuelekea kwenye meeting husika!! This is huge!!

The old CEO was very happy kuskia habari hii njema! Since heplaned all this all the way along!! akawaachia kazi vijana wake wamalize mchezo!

Unamkumbuka kijana aliyepewa kazi yakumfanya mwenyekiti wa kampuni pinzani aombe meeting na the targeted CEO[emoji57][emoji57]

Huyu ni assistant wa mwenyekiti, lakini kimuundo nikama anaushawishi mkubwa sana ndani ya kampuni husika!! Iinspite of him kuwa assistant anaambition ya kuwa owner pia wa kampuni hii!!

So he wantend to play the game well ili at the end of the day achukue uskani!! Huyu aliwahi kuwa kwenye kampuni flani ambayo ni very big company mshindani mkuu zaid wa existing company ya the targeted big boss CEO!

Alifukuzwa Kwenye kampuni hiyo kwa kusnich taarifa za kampuni husika akiwa na lengo hilo hilo ambalo analitaka sasa! Kupindua uongozi[emoji849][emoji57][emoji57]

So the old CEO used him that time, na he was using him in the moment!!

Baada ya kutoa taarifa kwa the old CEO alipokea notification haraka kutoka kwa vijana wa the old CEO afike moja ya hotel kubwa ufukweni mwa bahari kwa maelekezo zaid!

One thing the old CEO was good at , ni kuplay the game all along without being noticed!! You know why and how!! He is a well trained spy and a mafia kitambo sanaaaaaaa!! And he has connections[emoji51][emoji51][emoji30][emoji30][emoji30]

So kwa kijana mtumiwa the Funny thing is, alijua yeye anashiriki kama mtoa taarifa kumbe jamani! [emoji13][emoji13][emoji13] He was the one setting the trap without knowing!!

Kijana akaenda kwenye meeting kama notification alivyomwelekeza! he met one of the guys from the other team, akamwambia kwenye hiyo meeting kuna hiz documents mpatie mwenyekiti wako hizo ndio akazipresent kwa the CEO!

Akaambiwa if these docent will be well received, na biashara kufanyika, we apromiising you a best possition in the company!!

Kijana aka smile akazipokea documents zile with exitemt. Ali dream of his position since at the moment ni mtu tu mwenye ushawishi in the company but hana maslahi ya kueleweka

Document zilikuwa zinaonyesha mapendekezo ya how wanaweza fanya joint hizo za kibiashara, kulikuwa na document za aina mbili, one ni bundle of summary ya the whole joint venture, na bundle la pili zilikuwa ni well detailed expalanations on how these two companies may unite and work together and have huge profit in the future!!

So kijana akapewa a litlle bit presentation ya kilichomo mule ili nayeye akatoe presentation kwa mwenyekiti, ingawa pia mwenyekiti alikuwa na prepared issues zake za kumwambia CEO


So he took the documents in bags, nakala mbili, one for them na nyingine ni refernece kwa CEO zikiwa seald!

Kijana aliondoka and He went and present the whole issue kwa mwenyekit! Ile presentation ilimgusa sana mwenyekiti nakumsifia sanaaaa kijana kwa good preparation and presentation!!

Funny thing hakujua muandaaji wa documents zile sio huyo kijana[emoji12]


Tarehe ikafika mwenyekiti na team yake waka chukua flight mpaka nyumbani kwa the boss! Wakapitia protocal zoote na wakawa veryfied kuonana na the CEO maana ulinzi ulikuwa mkali balaaa!! [emoji849][emoji849][emoji849]

So ikafika chance these two wakakutana!! Wakaongea for almost four hours, mwenyekiti akamkabidhi nakala ya documents CEO zille seald akamsihi azisome!! Kama kuna sehemu hakuelewa kupitia document zile kuna a very good detailed expalnation ataelewa!!

The meeting was very succesfull!! Kila upande ulitoka na statement ya furaha!! The future was bright[emoji849][emoji849][emoji849] kumbe the future was dark!![emoji12][emoji12]


So mwenyekiti alibaki na nakala zake and CEO alibaki pia na nakala zake!! Wakati mwenyekiti anarudi, akaamua apitie document zile hasa zile zenye detailed explanation!! Boss akawa anajisomea taratibu.

kafika town vizuri tu!! Ila within two weeks!! Hali ikabadilika! He was Rushed to the hospital but in few days majonziiiiiiii! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

The news came back to the CEO, he was shoked mbaya sana!!

Aksed him self how?? Mbona hii kama ile ya wanzo?? he felt vita imemfuata kwake!! Aliandaa statement ya kuguswa na ondoko la mwenyekiti but deep down akaona huu sasa ujinga huu!! He decided kutoka kwake na kurudi town ili aanzishe mashabulizi mwenyewe sasa[emoji51][emoji51][emoji51]

So akawasha gari zake from his home to town, njiani anajiandaa kwenda akapata wazo la kuchukua zile documents alizopewa na mwenyekiti azipitie ili akifika town kwa kujali uhusiano mwema awaite representatives wa kampuni hiyo awape pole na wafikie terms[emoji22][emoji22]


He oppened the documents na kuzipitia pitia mdogo mdogo! But also decided to call kijana wake ampe updates on what is goin on!! Kijana akamsihi boss usije kwanza mambo sio mambo!!

Boss akasema nooo!! Am coming!! I will run the whole opration myself kama umeshindwa!!

Kafika mjini salama!! chakwanza akamuita deep informal!! Akamtuma amuite the old CEO wazungumze!!

Baadae Akamwita kijana wake, akamwambia a trace the phone calls za huyu (deep informal) kwakuwa amempa maelekezo amuite old CEO akitaka amtume akamwakilishe kwenye summit flan ya all companies nje ya nchi!!

Alitaka kujua wataongea nini kwenye simu hizo!! So wakaprepare vijana kufanya ya fuatayo

Mosi :- kutrace movements za informal
Pili :- kurecord all convos!!

Kumbe time was not on their side!! These peope were very smart and carefully!! waliweza kujua plan za team B mapema na kuchukua tahadhari!!

Two days zikakata wthout hard evedence, the ol CEO akachenga kuwa anashida ya kifamilia but atafika soon!! One week ikawa imekata harakati zikiendelea,

Sasa bwana CEO chest pain zikaanza[emoji22][emoji44][emoji44][emoji44] na ganzi flani hivi zisizo eleweka throught his body especially upande wakushoto!! Akalalamika lalamika kwa mwandani wake wakashauriana!!


Akamuita dactari wake, (yule daktari aliye shughulika na kipenzi chake three monthes ago[emoji857]) The doctor after reciving a call from the CEO!! he knew picha limeanza!! So he notified the old CEO. The old CEO called his team!! And said "the first symptoms have begun, stage three should be initiated"

Bwana bwanaaaa!! Mpango wa smooth transfer of power ukaanza!! Since they all know what they have done so far and what is about to go down.................[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]


Deep Informal akapigiwa simu! "You need to get out of the company from today, find any activitiy ukafanye out of the company hakikisha haupo hapo kwenye kampuni kwa siku kadhaa until we tell you so! [emoji849][emoji849]


The CEO is now sick!! ........
The deep informal is told to stay out!...

Kwanini??, Docta naye je ......


Best and sad part....... Badae!!


[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Mkuu malizia hii stori mapema maana vipepeo weusi washaanza kuuzengea uzi huu soon unawezwa ukafungwa au kufutwa
 
Acheni kumsingizia na kumpaka tope mstaafu wetu Msoga. Vitu vingine tumieni akili, hivi inaingia akilini amuache miaka yote 6, halafu am terminate akiwa amebakiza miine? Ni upotoshaji, acheni ku make conspiracy theories kwa mzee Msoga.

Acheni apumzike. Ni kweli Jiwe alikuwa mgonjwa na ndio maana kuna rumors kuwa aliomba mpaka upako kabla hajafa, na alijijua kuwa alikuwa mgonjwa.

Narudia, acheni mzee apumzike msimpake shombo.

Na stori za hivi zipo nyingi sana kila mtu anaongea anachojua. Kwenye tukio lolote lile ni lazima conspiracy theories zinakuwa nyingi sana. Acheni hizo bhana,muacheni mzee msoga apumue, msimuonee mzee wa watu.

#StopConspiracyTheories

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] jamaniii asichafuliwe
 
Back
Top Bottom