Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Deep informal alielewa his assignmen well! Alijua jinsi the big boss anapendwa kutukuzwa so he ensured that kumtukuza is done 100 %[emoji1]

So kulikuwa na meeting kati ya the new boss na the old old boss, hii meeting ilikuwa inahusu tender ya invester mmoja mgeni toka west africa kutumia moja ya plots za kampuni kuwekeza kwenye kampuni kama bond ya uwekezaji wake!

This man from west africa alikuja alone with his private jet na assistant wake mmoja tu kunegotiate the deal! Aliitaka hii plot since iko sehem mzuri na inapotential kwa biashara yake ya saruji [emoji23]

Hii plot ili wahi kuchukuliwa na CEO wa 2010 - 2015 kutoka kwa CEO wa 2000 - 2005 tena in bard terms! So the meeting ilikuwa kwanza kurudisha ownership ya plot hiyo kwa the old CEO wa 2000 - 2005 then yeye ndio asign deal na tajiri from west africa kitu kilicho mkera sana the CEO of 2010 to 2015! Maana plot hiyo aliifanya kama yake!

So wakati meeting preparation zinaendelea our deep informal kumbuka yeye ndio planner wa event yote pale headqutors! Alichofanya katika zile protocal za kupokea wageni moja ya askari aliwekwa ndani specific kuhakikisha when The old CEO atakapo fika headquators basi anatimiza wajib wake

Huyu askari alikuwa na kitu inaitwa polonium 210, hii kitu huwa inatiwa kidogo tu kwenye chai, water or juice na always humuondoa mtu in between 25 to 30 days since amepewa! The guy anderstood the asignment!

The old CEO loved coffee, nahapo ndio nyudo ilipo pigiwa! So wakiwa wanamsubiri tajiri from west africa, agent anatimiza kazi yake. Mkutano baadae unakwenda vizuri, makubaliano yanakamilika na kinachobaki nikutia siganture tu!

Sasa bwana......., the old CEO katoka vizuri headquators six days after the meeting akaanza kutokujiskia vizuri[emoji22] akampigia simu kijana wake kumwambia toka ametoka hapo makao makuu he was not fine!! Kijana akaamua kumpeleka hospitali for full check up.

The doctor alifanya checkup was one of the secret agent kwenye cycle ya CEO wa 2010 - 2015 dawa za hapa na pale kuchengesha muda tuuuuuu, stage two hiyoooo ikaingia things got sereous, after 16 days he was no more![emoji22]

One man down ......one man down........... I repeat one man down........... !!!!!


New boss could not suspect enything since tukio limechezwa kwake na anapaamini 100% so he trusted doctors reports kumbe something big was on the way!!

Kwenye target board one mtoa kibri kwa our new CEO has gone! few to come!! These guys bana walikua sereous na jambo lao [emoji23][emoji23][emoji23]

New boss kwakuwa aliyemtoka ni mentour wake, na alisha kuwa CEO wa kampuni kama yeye, so alitaka mazishi makubwa, mazuri na ya heshima kumuenzi boss wake wazamani! So he called the his planner, kumbuka planner ndio deep informal!

After the successfullnes of the first mission now comes the second mission!!


Ukiskia kuuna ndege wawili au zaidi kwa jiwe moja ndio hii sasa!

Deep infomal akachora ramani zoote za remained target watako fika mazishini nyumbani kwa the late CEO. Ramani ikatua kwa the KING MAKER, vijana waka kaaa na kusuka the whole plan!

Targets kweli wakaenda ispokuwa mmoja tu. kilicho wakuta huko hao wengine no one noticed, baada ya kurudi, mmoja baada ya mwingine nikurudisha jezi kwa kipa[emoji23][emoji23][emoji23]

Now the new boss felt something un usual was goin on!! But it was tooooooooo late![emoji2957][emoji22]

Kashtuka he is alone,

Unamjua aliye baki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].......
Nakuja..... Nalala kwanza ........
Polonium 210 una homa wewe
 
Kwahiyo Mkuu kabla ya december riwaya itakua imefika mwisho?
Halafu pia mkuu!ujue hata kama Born town katumika kwenye mission Sio yeye binafsi kama yeye!!Bali wenye nchi watakua wamemshirikisha mchongo HUO!!Tumia akili anaandika kuwa the state has no feelings towards individual but Loyal to the nation!!!Pia kama Late CEO angekuwa na backing ya the state Nadhani asinge be eliminated ni kwasababu alihatarisha usalama wa jamuhuri!!!Nadhani Mzee wa Sawa sawa ali be eliminated kisa Laana ya Abdu jumbe ndio màana wenye state hawakutaka atangazwe mshindi kwa miaka mingi Sana ya ushindi wake wa chaguzi!!Pia ile dokumenti ambayo ilikuwa sealed aliopewa na mzee wa sawa sawa haikutoka kwa Born town coz asingeweza kuifanya attractive vile kum impress Mzee wa Sawa sawa bali state yenyewe!!!Mawazo huru tu hayo wala nisitiliwe shaka!!!!
 
Story inasisimua imeandikwa kisomi kweli kweli imenibidi nirudie mara mbili ili nielewe hakika jf ina watu, tusomeshe watoto wajameni.
Usinambie hii kitu ndo unaijuwa kwa mara ya kwanza? Duniani hakuna siri watu wake wa karibu na the late ceo walivyoanza kufa siri ndo zikaanza kutoka hata huku mitaani baadhi ya watu tulijua hii mipango lakini ndo hivyo huna cha kufanya unamwambia nani? Mtu anakwambua mapema ceo kafa meza pin.

Kama mimi nilijua mapema ceo kafa wiki kabla ya tangazo , nikiingia humu jf watu wanauliza ceo yuko wapi? Nashindwa kusema maana ilikuwa ni hatari kusema. Hakuna siku zilizonitesa kama hizo wiki mbili ceo kashakufa watu hawana taarifa.
 
Kuna makundi humo kwenye kampuni na Kuna hatari kubwa, Ila sisi wengine tunafurahi maana wakitakaga hayo madaraka hufanya ukatili mkubwa sana kwa wengine. Wacha wamalizane, pengine tunaweza fika sehemu nzuri Kama nchi
Hatuwezi kufika sehemu nzuri kwani wakati hayo yanaendelea kampuni huharibiwa na nyani. Kisha kama hivi bei za vitu zinakwenda juu na hakuna wa kucontrol.

Halafu ukumbuke ni haohao ndo wamiliki wa mashirika ya uzalishaji na biashara kwenye hiyo kampuni, so wanajifanyia wapendavyo coz CEO yuko bize to maintain position.

Kifupi the old CEO alipeleka kampuni pabaya na bado anaihangaisha kampuni hiyo usiku na mchana kwa kuweka viongozi anaowataka na atawaua wasiomtii.
 
Katika maisha kuwa makini Sana na vitu unavyo kula .
Ila Old CEO ameipenda Sana Dunia akidhani ataishi milele .
Vyakula ni hatari sana ila the late ceo na team yake walimalizwa na powder ilowekwa kwenye zile documents. Kumbuka late ceo hawezi zisoma peke yake lazima na watu wake wa karibu wakaondoka kwa mgongo wa corona.

Inshort hii movie ilibidi ichezwe kwenye kipindi cha corona ili watu waamini kuwa ni Corona, ni mipango tu.

Corona ni mpango wa mataifa makubwa kutimiza matakwa yao. Kwenye hii vita ya urusi na Ukraine unaisikia corona tena?
 
Inaendelea.......

60 days before the dark days ........


(Flash back)

Some one called the boss na kumwambia your in danger, some people are planning to take you out! Hawako nafuraha ya hiki unacho fanya! Boss kama kawaida yake kujiamini sana, anadai yeye anaprotection ya kutosha, and if, alisalimika last time akiwa kama cashier wa kampuni ni urongo na upuuzi akiwa the CEO kuwa termineted!!

The boss anaamua kuongeza udukuzi kwa adui zake, lengo awaumbue kumbe they knew and walimpa alichotaka asikie but behind the corridor unyeti wa mambo unaendelea

Kosa kubwa ni kumundermine the old boss A.K.A the king maker!! So the old boss alijua kuna the old CEO kabla yake ambaye ndie alimtengeneza huyu CEO wa sasa. Hata wakati wa mapendekezo tha CEO aliinsisit huyu CEO apewe nafasi kuinusuru kampuni!! Na inavyo onekana huyu ndie behind the scene director wa the existing CEO

They called a meeting, involving one of his closest top security friend from the company! And then come up with targets chart board! Ile bord ilikua ikimuonesha the new boss nasubordnates wake wooote wanaompa kiburi



Wakati huo, big boss nayeye akiwa ajui akaona am cut off totaly old boss in the company, aka select new secretary akamuondoa the old one, then na new public relation officer, wote wakiaminika hawakuwahi kuwa ndani ya kampuni!! Maswali kwa wafanyakazi wa chini walio dhani wana opportunity ya kuchukua hizo nafasi yakaanza but hofu iliyafanya yapoteee

The top security navijana wake wakaidentify targets wao na kupewa go aheard, but before anything kulikuwa na a very deep informer direct kutoka kwenye meza ya new boss!![emoji16][emoji16]

bwana weee!!
Wakaanza na yule old CEO, pitanaye in a way no one noticed!

Big boss was shorked and hakuamini! He was told he died from a normal death! One thing he didnt know is that, inside the office kuna mtu alikuwa anatoa taarifa kwa the old boss, na huyu mtu ni mtu wake wa karibu sanaaa!

The new boss ameshaangaika kumjua huyu mtu but amefail several times. Huyu mtu ndio alitoa time table ya the old CEO anaye aminiwa na new CEO wapi watakutana so that the agent responsible for the assasination can do his job!! [emoji849][emoji2957]

Huyu mtu ndie anaetoa taarifa kwa the old CEO timetable nzima ya the big boss, anakula nini, amelala saangapi, anafanya nini, anawaza nini na maamuzi yake ni yepi, sababu mtu huyu alitokea kuaminiwa sana na the big boss in town[emoji16][emoji16]




So how did they terminate mzee muibua kipaji cha CEO[emoji41][emoji22]......................

Who is the deep informal...... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lovely
 
Back
Top Bottom