Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Uzi umeshavamiwa na wajuaji wa kundi la the late CEO wanataka marekebisho kibao
sijui hiyo April mosi itaingia saa ngapi, tushushiwe nondo
asubuhi tunaanza na F/Day
Mkuu acha watu wawe huru kama ww unavyotaka uhuru. Yes, haukumpenda the late CEO, acha wanaompenda nao watoe maoni yao, sio kila ukipendacho lazima wote wakipende...acha ujuaji sana!
 
Mojawapo ya mtu influential ndani ya TISS au mwenye ushawishi kwenye top state organizations ndio anaweza pata classified info za crandestine operation kama hii. Na lazima kuwe na some information lagging kwenye story nzima, huwezi jua wapinzani waliambiwa nini, ukajua DAB aliambiwa na kufanya nini, ukajua story ilianzaje na kuishaje. Confession hufanyika na mtu mmoja aliyehusika kwenye part yake, secret service hawaambiani role ya kila mmoja. Nenda popote duniani mission yoyote ngumu ikivuja kuna story inakosekana kuunganisha.

Then mission ngumu huwa ni one way, huitaji kutumia Polonium-210 zaidi ya mara moja au kuipa msaidizi wa aina nyingine kama umeshajua ya kwanza ilikuwa successful, na hiyo sio sumu ya kumuondoa head of state unless uwe very careless na matokeo, ikifanyika autopsy kinyume na ulivyotarajia unapata matokeo tofauti. Polonium yenyewe ina dalili ambazo huyo deceased hakuwa nazo, hakunyonyoka nywele wala mwili kuwa fainted.

Presidential security sio wazembe kama ilivyoonyeshwa hapa. Hakuna individual mmoja anayeruhusu mtu kupita au kutokaguliwa, inahitajika wawepo vilaza wa hali ya juu sana kumruhusu mtu bila kukaguliwa. Hata akipangwa mlinzi mmoja, bado sio jukumu la single individual kuamua. Ni jukumu la protocol, unless ungesema aliyeshiriki ni mke au mtoto wa mhusika somehow naweza kubali. Then chakula cha mkuu hakiguswi na mtu, huwezi mimina chai hapo ukasubiri atoke sijui chumbani anywe, mambo sio rahisi kama unavyodhani.

Mtu mwenye nafasi kama yako kuna mwandiko anakuwa nao, sio huu wa kutumia emoji nyingi na kutumia lugha ambayo tunajua agent hawezi kuwa kama huyu. Kuna mambo mengi sana yana makosa ila tuishie hapa. Huu ulinzi anaopewa head of state unaoonesha hapa unaweza zidiwa na hata alionao CEO wa CRDB
No hard feeling
 
Huu Uzi mbona UNANICHANGANYA?mleta mada yanayoongelewa kila upande anayajua vizuri,Hadi yaliyoongelewa kwa Siri na Yule mwarabu wa Doha mleta mada anajua in details🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔mmmmh Hapana Kuna kitu hakiko sawa hapa......
kwani msimuliaji wa stori za mapenzi anakuwepo kila yanapofanywa mapenzi?
 
konda =Branch Manager,
Daftari = Chuo cha diplomasia;
Kabati= lupango;
Mpenda democrasia = Mkwe wa Mzee aliyefiwa na Mkewe na juzi katembelewa huko Arusha na alikuwa waziri wa fedha na gavana
Sema sema = mpuuzi mmoja wa singida na mbinafsi sana, kila siku risasi
Niendelee!!!
basi umejiona inteligent!! baki kuwa msomaji tu
 
Mkutano Mkuu haukua Na lengo la kubadilisha kitabu, ulikua Na lengo la kurudisha watu Wa tabasamu. Muvi inaandaliwa uchaguzi Wa baadae mwaka huu. Hapo Kutatokea cheche. Mkurugenzi Mpya sio mjinga kihivyo japo wamemuweka mtu kati lakini vitufe vipo mikononi mwake. Nafasi itajitokeza tu halafu atabadili upepo hawataamini. Bado rungu la ukurugenzi ni kubwa mno hata kama kazungukwa Na mbwa mwitu. Kila mtu anaprice yake kasoro Simba halisi wa kabila la Yuda. Halafu Mkuu Wa Walinzi yupo upande Wa mkurugenzi so bado anasapoti kwenye bodi. Ila nyuzi zinanyofolewa haraka mno. Hii ni riwaya tu.
 
Heeeee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu acha watu wawe huru kama ww unavyotaka uhuru. Yes, haukumpenda the late CEO, acha wanaompenda nao watoe maoni yao, sio kila ukipendacho lazima wote wakipende...acha ujuaji sana!
kwanini na wewe usitunge ya kwako tuje tuisahihishe, tumeshaambiwa ni riwaya unaleta ujuaji kuliko (yoga) mwenye Hadithi vyote acha vijadiliwe mkuu
 
Ilikuwa hivi

Nasikia maumivu Kwenye kifua mwite msaidizi.
Msaidizi anakuja mara anagundua hali c hali wanaitwa mabingwa jopo la watu saba wawili wakitoka mzee nakijwa haraka inaamuliwa airlifting

Itaendelea....
itaendelea lini? hii inafanana na Ile ya mikoa ya korosho late CEO moshi ulipofuka ndani ya Cruiser wakamrush na airlifting
 
Mkutano Mkuu haukua Na lengo la kubadilisha kitabu, ulikua Na lengo la kurudisha watu Wa tabasamu. Muvi inaandaliwa uchaguzi Wa baadae mwaka huu. Hapo Kutatokea cheche. Mkurugenzi Mpya sio mjinga kihivyo japo wamemuweka mtu kati lakini vitufe vipo mikononi mwake. Nafasi itajitokeza tu halafu atabadili upepo hawataamini. Bado rungu la ukurugenzi ni kubwa mno hata kama kazungukwa Na mbwa mwitu. Kila mtu anaprice yake kasoro Simba halisi wa kabila la Yuda. Halafu Mkuu Wa Walinzi yupo upande Wa mkurugenzi so bado anasapoti kwenye bodi. Ila nyuzi zinanyofolewa haraka mno. Hii ni riwaya tu.
Mbona inasemekana mkuu wa walinzi wa kampuni keshaanza likizo ya kustaafu?
 
watu wanasema YOGA ni mfanyakaz aliyetumbuliwa alipokuwa tiss ndo maana ana mwaga tu ubuyu[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23] wacha weee!! Mie Kesho asubui nipo kazini kama kawaida!! Ingawa sio huko ulipo pataja [emoji23][emoji23][emoji23] blue monday!

Nakusalimu kwa jina la jamuhuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha kazi iendelee!![emoji9]

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom