Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Nimependa tu unavyojituma kufahamu mambo. But uwe tayari kuupooza moyo wako.

Hii riwaya inaniumiza sana moyo kiasi cha kuwaza kwamba kama ningekuwa na uwezo, ningewapiga risasi baadhi ya wadau wa kampuni hususani wastaafu waliostaafu wasiotaka kustaafu.

Nimebaki na maumivu yangu. Mungu asikie kilio changu ili kupunguza kama si kuondoa midemko.
Pole sana mkuu ulimwengu huu hakutakiwi visasi kabisa, ukitawala kwa upanga utakufa kwa upanga.
Kwa maovu aliyoyafanya yalimtosha kuondolewa kwani sanduku la kura alishalibana akikimbilia atawale maisha yake yote.
Kwa hiyo kwa uhuni wake alikutana na wenzake wahuni zaidi. ambao kwetu Sasa tunapumua
 
Pole sana mkuu ulimwengu huu hakutakiwo visasi kabisa, ukitawala kwa upanga utakufa kwa upanga.
Kwa maovu aliyoyafanya yalimtosha kuondolewa kwani sanduku la kura alishalibana akikimbilia atawale maisha yake yote.
Kwa hiyo kwa uhuni alikutana na wenzake wahuni zaidi. ambao kwetu Sasa tunapumua
Mi nashangaa anavyopambwa kama malaika aisee... yaan utasema hana maovu yoyote yale

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kuna wezi pia wenye asili ya kikongo walitaka kuondoka na jiko la kisasa la old CEO lkn wakawekwa ndani
Old CEO ana mtindo mmoja matata sana wa kuchagua jiko zuri ila ana mtandao kabisa wa kupita madukani kuangaza majiko mazuri au yaitwa "window shopping".

Kisha kuna yale majiko yanohitaji "after service maintenance" hayo huamishiwa nje ya nyumba kwa muda.

Hii kwa kiasi fulani imeleta matatizo sana kwenye hekalu lake .

Hii ni kama ile ya mzee mmoja hivi aitwae Juma Mapilau ambae aliambiwa na mchonga atafute jiko nae akaingia pale mtaa fulani hivi uliopo uswahilini na kupata jiko matata lakini halikuwa jiko zuri na lilimsumbua sana yule mzee.
 
Nimependa tu unavyojituma kufahamu mambo. But uwe tayari kuupooza moyo wako.

Hii riwaya inaniumiza sana moyo kiasi cha kuwaza kwamba kama ningekuwa na uwezo, ningewapiga risasi baadhi ya wadau wa kampuni hususani wastaafu waliostaafu wasiotaka kustaafu.

Nimebaki na maumivu yangu. Mungu asikie kilio changu ili kupunguza kama si kuondoa midemko.
😂😂😂wewe una kamoyo kadogo hakawezi imili mikiki ya hapa duniani sasa umeumizwa na hii simulizi, je sisi tulojuwa CEO is no more afu huwezi fungua domo kumwambia hata rafiki wiki ya kwanza ilipita ya pili ndo wanatangaza si ungekufa na hasira kabisa?.

Na ukitaka kulipa kisasi funga mdomo wako, kula nao sahani moja miaka ipite watu wa jiachie fanya yako. Ukitaka kulipiza kisasi wakati una maumivu basi utaumizwa.

Nb nasisitiza hii simulizi tu😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23]wewe una kamoyo kadogo hakawezi imili mikiki ya hapa duniani sasa umeumizwa na hii simulizi, je sisi tulojuwa CEO is no more afu huwezi fungua domo kumwambia hata rafiki wiki ya kwanza ilipita ya pili ndo wanatangaza si ungekufa na hasira kabisa?.

Na ukitaka kulipa kisasi funga mdomo wako, kula nao sahani moja miaka ipite watu wa jiachie fanya yako. Ukitaka kulipiza kisasi wakati una maumivu basi utaumizwa.

Nb nasisitiza hii simulizi tu[emoji23][emoji23]
Salut luckyline yaani saluti
 
Old CEO ana mtindo mmoja matata sana wa kuchagua jiko zuri ila ana mtandao kabisa wa kupita madukani kuangaza majiko mazuri au yaitwa "window shopping".

Kisha kuna yale majiko yanohitaji "after service maintenance" hayo huamishiwa nje ya nyumba kwa muda.

Hii kwa kiasi fulani imeleta matatizo sana kwenye hekalu lake .

Hii ni kama ile ya mzee mmoja hivi aitwae Juma Mapilau ambae aliambiwa na mchonga atafute jiko nae akaingia pale mtaa fulani hivi uliopo uswahilini na kupata jiko matata lakini halikuwa jiko zuri na lilimsumbua sana yule mzee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu ulimwengu huu hakutakiwi visasi kabisa, ukitawala kwa upanga utakufa kwa upanga.
Kwa maovu aliyoyafanya yalimtosha kuondolewa kwani sanduku la kura alishalibana akikimbilia atawale maisha yake yote.
Kwa hiyo kwa uhuni wake alikutana na wenzake wahuni zaidi. ambao kwetu Sasa tunapumua
Unatakiwa kupimwa akili. Unapumuaje kwa lita ya mafuta ya kupikia sh 8000 kutoka 3500? Sabuni mche 4000 kutoka 2500? Petrol lita 3000 kutoka 2000? Mfuko wa UREA 120,000 kutoka 55,000? DAP 150,000 kutoka 75,000?

Mabadiliko haya makubwa ni ndani ya mwaka mmoja tu.

Bila shaka wewe ni mnufaika wa genge la wahuni.
 
Back
Top Bottom