miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji23][emoji23][emoji23] wameshupaza shingo kweli wanataka kutulazimisha tuumie kama wao. Haiwezekaniyaani yoga sijui atamwaga saa ngapi jumamosi, maana nimeshaona vipepeo vyeusi /wasiojulikana wameshauvamia uzi hawataki ukweli wanaona ni ndoto ya mchana mshumaa ulivyoteketea kwenye kampuni na hautakumbukwa asilani.
nimeandaa box la popcorn
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app