miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Mbona hata maji ghali[emoji23][emoji23] hill yanapatilana yanapotea. Sequa ndo kabisa hayapo sokoni wiki imepita... kilimanjaro haisogei siku hiziBasi hujafuatilia hii riwaya, km hakuna amani baada ya Mwendazake JF haikua hivi, Facebook, Twitter au chungulia Ukraine, DRC, Afghanistan, Msumbiji.
Kuhusu Bei NI kweli kichefuchefu, lkn km soda Bei juu kunywa maji, km petrol tufuta baiskeli, lkn sio kuchinjana na viroba kukutwa Ruvu juu
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app