Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Nilikuwa Gerezani kwa zaidi ya miezi 3 nikiwa nakabiriwa na kesi ya Uhujumu uchumi katika Gereza na Geita. Tulikuwa na utaratibu wa kuamuka saa 11asubuhi tusali Sala ya asubuhi Kisha kusikiliza BBC Swahili news. Taarifa zilikuwa zimeshafika kwa kupitia maasikari wa zamu wa usiku. Mnyampala aliwasha radio na kupiga makofi akisema "Enyi sikilizeni Rais wenu kafa". Mnyampala huyu alikuwa anamiaka 3 Gerezani Kama mahabusu kwa kesi ya Uhujumu uchumi uliofanyika katika Harimashauri ya Nyangw'ale mkoani Geita. It's really 17/3/2021 is a Dark Day". Gereza lililipuka na sauti mchanganyiko za shangwe na huzuni. Miezi 6 baadae niliachiwa kutoka Gerezani baada ya DPP kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi yangu kwa maana haikuwana tija kwa taifa.
Duh pole sana
 
Pole babu
 
Na ilikuaje yule Dr asla akajiuzulu baada ya mr Culture kumpokea mr Bright?
Alijua tayari kala mipesa ndio maana akabadili gia angani na ni kama pia drasla aliusoma mchezo wote na haikuwa ajabu dr akapewa ubalozi nje ya nchi na hata majuzi tu kamsema born town na mtoto wake kuhusu ngada na umafia wao
 
Labda itakuwa ni wale akina Ubalozi Mafiga, late Kijakazi, late mkuu wa ghala la Pesa, Lodi Lof wa kimakonde, Mzee Usinitishe wa huko Kisiwani, na etc
Halafu wee uwe na adabu eti Lodi Lofa wa Kimakonde toka nchumbiji,Mzee maalimu unsinitishe kutoka kisiwa cha karafuu, ila mkuu wa ghala hakuwa timu mwendazake sema yeye alikuwa na siri nyingi za uchotaji za bwana born town na genge la wahuni wenzake
 
Alijifanya mbishi eti hakuna corona.
Akaogopa kwenda majuu eti atauawa
Akazidisha jeuri, kiburi na ubaguzi
*
*
*
Kilichofuata ni wimbo wa Taifa TBC then futi 6 chini aridhini
Yote hayo ni sababu ya ushirikina Mkuu.
Aliamini changamoto zote zilizokuwa zikiukabili U CEO wake majibu yapo kwenye ushirikina.
Ndio maana uliona alivyopingana na viongozi wake wa dini hasa kwenye suala la Corona pamoja na kutumia mbinu za kishetani kuwakabili asiowapenda.
Mwacheni akae huko aliko, mnavyo mkumbuka mnaibua wasiwasi asije akafufuka tena.
 
Halafu wee uwe na adabu eti Lodi Lofa wa Kimakonde toka nchumbiji,Mzee maalimu unsinitishe kutoka kisiwa cha karafuu, ila mkuu wa ghala hakuwa timu mwendazake sema yeye alikuwa na siri nyingi za uchotaji za bwana born town na genge la wahuni wenzake
.
 
Hivi late CEO ndiyo yule baada ya kufatiliwa kuhusu PhD yake akamuua mfatiliaji? Pia nasikia uraia wake una utata.
huyo hawezi kukujibu ndio walewale waosha vyombo nyumbani kwa Dr mwendazake, kahojiwa tu PhD kamuua kijana wa watu, bado kamvunja Mr culture mguu kabla ya Uchaguzi, Kuna watu Wana roho mbaya bora kuwatanguliza ingawa tutafuata lkn kidogo tunapumua
 
Kijana msema sana

Ila walimtandika mishale mingi sana yule jamaa, yaani mpaka Nduli John Walker hakutegemea na kuamini kama kijana ataweza kusurvive tena na tena.

Mungu alivyo wa ajabu na kukataa kupangiwa majukumu yake akamchagua yeye Bwana Nduli ili akapumzike mapema na kuliponya taifa la Tanganyika, japo nasikia bado hajapata kibali cha kuanza kuongoza Malaika kwa sababu visa yake ya kuingia peponi imekataliwa.
 
Back
Top Bottom