ARGAN MARA
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,020
- 2,716
Nimeunganisha dot dot kwenye huu uzi wako nimetambua lengo la huu uzi na wapi unatokea na ndo maana ata apa aujafutwa kwasabau walioko nyuma yako ndo wanaoulinda na kuudhamini ili lengo lao liweze kutimia sema nini me naona aina maana kwasababu yalimeishatokea mlikuwa wapikuyasema kabla ayajatokea