Uko wapi? ......
Niko maeneo ya nyumbani! ......
Habari ya jioni? .......
Salama kabisa! Ujambo......
Aisee sijambo, sema kuna mda niliambiwa upo ukumbini ila ukawa umepotea!.........
Yes! Nilitoka nilipata dharula binafsi kidogo! ......
Sawa basi leo tuna meeting jioni baada ya kukamilisha hili la mzee tembo kuwa assistant chair man wa group! I think tutafanyia kwangu! ...
Sawa ntajitahid kuwahi!....
Mzee alikata simu kisha kurudi nyumbani kwake haraka kwenye makazi ya viongozi wa kampuni!
Yeye nikiongozi wa kampuni special task! Ni mzee mzoefu alianza kazi kama branch manager miaka kadhaa iliyo pitia na amehudumu na ma CEO watatu na huyu sasa wanne !!
Ni mzee msiri sana! Na amekuwa akifanya kazi kama mtu wa security muda mrefu akijificha kwenye post mbalimbali, ni mzee ambaye anaijua kampuni in and out! Maana amekuwa karibu na ma CEO wote watatu kwa ukaribu sana!!
Amekuwa mshauri wao na alimpenda sana mr born town na alimsaidia kwenye mambo mengi sana! Waliaminiana sana!! Kabla yakuja kujua intention yake kwenye kampuni ni ipi! Ukimtoa head security wa kampuni huyu ni head security behind the scene! Popote penye shida huwa wakwanza kuing'amua na kutafuta suluisho!!
So chap kwa haraka akarudi nyumbani kujiandaaa kwa ajili ya meeting ya jioni! It was all gang memembers meeting. Sms ikaingia kwenye smart phone yake!! Chake your emails!
Haraka akachukua tablet yake akaingia kwenye inbox upande wa email!! Akaifungua kusoma akakuta ni email from new CEO fowarded by kijana wake na ilikuwa ni email amabayo tayari alikuwa ameaccept kusaidiwa kumtembeza born town!
Wakati alipomaliza kuongea na CEO alimpa card iliyokuwa na adress ambayo kama atakuwa ameridhia basi atume ujumbe kupitia adress hiyo!! So alipotuma ilikwenda kwa kija wa mzee then baada ya kuifanyia michakato kadhaa ndio inakuwa fowarded kwa mzee
So we are gethered here to discuss the future of our group and this company! Tumetoka mbali sana mpaka kufikia hapa!! Leo tunakutana sababu We have a very big problem!!
The plan was In 2025 , mr february alitakiwa awe our new CEO, but secretly our new CEO wanted to remain inpower till 2030 and she was tryng to fight us behind our backs akijitengenezea njia until mzee here discover her plans and gave me the report and i dicede to face her my self!
Baada ya kum face She promised me that she wont do it again, but the demage from her plan is still on! Few of our favorite investors from USA have pull their investment! They were very important alies!! We have lost them, and loosing investors means decrease in our income!!
We all know that every month tunapokea a huge interest from contracts we signed on behalf of this company!!
So I have instructed her since she made chaos in our investment she need to go out and bring back our investors! And I promissed her if she will undo what amefanya i guarenteed her to be the CEO until 2030!
Sasa That decition nimesikia imeleta kelele miongoni mwetu!! Some of you, mnacomplain sana behind the scene, kwakuwa tupo wote leo hapa, naona niwatu wawili tu hawapo, any one who is against that decition is free to talk am listening!!
Yes!!
I think its your decition and not our decition or our plan!! Our plan was my son was to become the CEO in 2025 and then your son follows in 2035 But what i can see ni umeamua tu kuvuruga utaratibu thats not fair!! Tuna kurespect as our chair man but sometimes when we plan things you dont have the mandete to replan them!
Tumekuwa tukifollow all your plans bila kukukatalia but in this big no! Biiiiiiiig no! I want my son to be the CEO! THATS ALL!!!
Other member walikuwa kimya, wakisikiliza kilichokuwa kinaendelea! Born town akiwa amekaa kwenye moja ya coach miguu ikiwa imekunja nne alikuwa akiendelea kumsikiliza mr februarys father!
Okey!! Mzee do you have any thing to say!!? Born town alimkaribisha mzee!
Yes i have!! Kwanza we need to know team late Ceo they are also coming after us! They know what we have done but they dont have proof!! Thats first,
second is....... its sad kama tunaanza kukatika sisi wenyewe kwa wenyewe huku ndani, while our enemies are outside waiting for us that is weekness!
We need to resolve that!
I think hoja hapa isiwe 2025 hoja iwe 2030 nani awe CEO if it is mr february or mr born tow son! Or mr born town son can be the CEO and mr february can be the PM or any other way arround!! We have a war coming , a strong one we need to stay focus as long as the CEO is with us now lets worry about what late CEO team is cooking and not fighrt against our self!
And for your information the loved branch manager by the late CEO is also cooking something in our group! i dnt know what he is cooking but soon ntakuwa na taarifa zote na nta waupdate!!
february's father alikuwa kama haelewi hivi!
Guys mnajua mimi nimewavumilia sana! Mr zizia mmemrudishia branches zake zote za masuala ya comunication! wenzangu karibiawote wamepata waliyo yataka why me? Why me?? I have been loyal to this group why aren't you loyal to me?
Born town akasimama huku akiwa ana smile akamsogela mzee,
listen umemskia mzee hapo we have a very huge enemies coming after us!hatuitaji kugombana tuungane kwanza kumpoteza adui aliye mbele yetu! I promise you before 2025 you will get what you need!! Sawa mzee!! Sawaaaaa??!!
Okey!!
So that is done!! So mzee nafikiri you need to alert your team we need info on late CEO team and branch manager in one week! Also tuna changamoto mtaani raia wanalalamika sana kuwa maisha yamewakmata, our new CEO nikama anapata ugumu flani hivi!! The image of our group nikama inachafuka chafuka sana! Do We need to do something?
Mr zizia unalolote la kusema?
Yes! I think we dont have to do anything! We have lost a lot! Let them be bwana! These high prices watazizoea tu! After all They cant do any thing! Niwazuri sana kweye kuongea, tena sanaaaa but we all know they wont do anything Na kwakuwa wanaongea sana kwenye social media, and i own those networks we will increase bundle prices kuwapunguza online!
Ikifika 2024 kama kawaida tutalegeza prices za bidhaa zetu they will forget and life will go on!!we need to generate more money as fast as we can in these two years or we will suffer alot!!
Sorry mr chairman, naomba nimkatishe kidogo, ni Sawa nimeelewa sana alichokisema mr zizia but kuna haja yakutafuta jambo la kumuweka good image new CEO!! Unless other ways hili group la late CEO litapata umaarufu mkubwa sana na tutapata changamoto sana!!
Mr born tow akamjibu Kuhusu ilo group, tunaimplants tayari!! Soon tutapata taarifa wht are their next move! Lakini wote tunajua kazi ya spining na kucritisize ni ya mr new culture! Sasa toka mr new culture atoke cell nikam amebadilika sana!!
Nikama ataki kabisa assocoation with us I think nayeye awe under survialence nikama kuna jambo kubwa anaplan kulifanya 2025
mzee yeye alikuwa pale aki note evrything na kuchangia na kuplan as if hana jambo lake behind the scene yeye na CEO. Bada ya ile meeting mzee alitoka nakurudi nyumbani alipofika alielekea ofisini kwake tena! alichukua simu yake na kumpigia moja ya vijana wake!!
We need to meet! Kuna mgahawa uko karibu na my office, saa nne asubui uwe pale! Kijana akasema cool i will be there! Why saane, sababu population ndani ya mgahawa ule ilikuwa sio kubwa sana mida hiyo! Baada ya hapo akachukua onother nokia phone mpya akatia line then akaandika zile zile number
Uknown: Hellow!
Tanzanite: yes tanzanite speaking
Unknown: yes tanzanite tell me
Tanzanite: the facilitator is in!! Mission activated
Ukonwn: are you sure?
Tanzanite : yes i am!
Uknown: good!! It was nice to know you my friend, may god protect you and bless you, whatever happen just know we will be remebered!
Tanzanite: thanks comrade! It was also nice to work with you! Till next timein this world or after!
Uknown: salute! And good night my fried!
Simu ilikatwa mzee alikuwa kama anatetemeka hivi, akiwa pale kwenye kiti! kwa mujibu wa plan yao that was their last day to comunicate!
Na Walifanya hivyo ili mbeleni wasije kujeopardise the whole mission! Mr Uknown ndio finencer wa the whole mission! Hakutaka mudawake wote alioutumia kuplay dead kuset the whole mission, almost 5 years anaset the whole plan na kumkonvice mzee kujoin team yake kumuodoa born town mission iharibike na lengo halijatimia
Lakini Waliagana moja kwa moja sababu mmoja ni mgonjwa na mwingine ni mzima but the way wamesetup their mission nilazima huyu mzima alambe mchanga and it doesnt matter wawe hai au wamekufa the plan will exist na target lazima ang'oke!!
So mzee aliinama pale kwa muda akitafakari what was about to happen, alijipa moyo that he got nothing to loose since age imekwenda, familia iko well of! Na aliona that mission is the only way itamfanya apumzike kwa amani kwani alishiriki kutenda dhambi yaani kuunda kitu ambacho kinawaumiza watu kwa maslai yake binafsi!! Aliona hii mission kwake nikama redemption!! Ikikamilka itamfanya kuwa huru!
**************************************************
New CEO woke up to find a hint on her table kuwa investors waliokuwa wanalitaka lile eneo la utalii la kampuni kwajili ya kujega hotels wapo sereous
pesa yake yaani mgao wake washaweka kwenye one of her new account in malaysia! What she need nikuhakikisha the so called wavamizi wote wa eneo husika wanaondolewa!
So she called her assistant na kumorder akalifanyie hilo kazi na branch manager wa eneo husika alisimamie kwa umakini! Kitendo hicho cha kuwaondoa wazawa wa eneo hilo kili zaa mjadala mkubwa na mkali sana on social media!
Scandle iliKuwa ni CEO ameuza eneo la kampuni, na kuna uwekezaji mkubwa unakuja kufanyika!! Hivyo waliopewa kuishi pale watoke!
mr born town kama kawaida akaja na plan ya ku spin the whole scandle, maaana kama investment ile ita feli, trust dhid yakenkwa investors wake inazidi kuporomoka!
akampigia kijana wake assistant wa new CEO akamwambia akawambie akina new CEO na team yake kuwa yule mtu aliye kuja kutoka europe kuja kumsaidia kuibrand upya company name upande wa utalii ambae alimtembeza maeno yote ya utalii ya kampuni amesha kamilisha kazi yake!!
New CEO inabidi aende europe kutangaza picha hizo media zote zinapaswa kupromote hiyo safari na si vingenvyo hiyo itasaidia kufunika scandle iliyokuwa inatrend ya kuwaondoa wale jamaa wanao ishi kwenye eneo la kampuni
New CEO akapokea maelekezo kama kawaida, but before safari alitaka kukutana na mzee kujua what is the plan!!
Mzee aliamka asubui pata maji, kisha akaelekea ofisini!! Then akafanya majukumu yake kama kawaida, ilipofika saa nne alitoka taratibu kuelekea kwenye mgahawa aliokuwa ame panga kukutana na kijana wake!
Mzee aliingia pale chap aka kaaa kwenye kiti! Mfumo wa mgahawa ule viti vyake wanakaa watu wanne yaani wawili kulia wawili kushoto wakiwa wamegeukiana yaani wanatazamana na meza ipo kati kati! Mzee alipofika alienda kukaa akitazama alipo toka! Nyuma yake alikuwa kijana aliyepanga kukutana naye!!
Mzee akaagiiza juicy ya parachichi with no sugar! Baada ya kama dakika tatu za kufanya scaning eneo zima mzee aliegemea kwenye kiti kisha akamsemesha kijana! I will leave this envelope here on my seat inside there is a flash driver na list of all targets in the system!
Remember No one is to survive!!
mzee akasimama kuelekea counter kupay his bill! wakati huo kijana very fast akanyanyuka nakuchukua ile bahasha then akatoka nje na kuondoka zake!!
Mzee akiwa bado pale simu ikaita, kucheki ni new CEO was calling!!
good night!
Sent from my CPH1909 using
JamiiForums mobile app