Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Acheni kumsingizia na kumpaka tope mstaafu wetu Msoga. Vitu vingine tumieni akili, hivi inaingia akilini amuache miaka yote 6, halafu am terminate akiwa amebakiza miine? Ni upotoshaji, acheni ku make conspiracy theories kwa mzee Msoga.

Acheni apumzike. Ni kweli Jiwe alikuwa mgonjwa na ndio maana kuna rumors kuwa aliomba mpaka upako kabla hajafa, na alijijua kuwa alikuwa mgonjwa.

Narudia, acheni mzee apumzike msimpake shombo.

Na stori za hivi zipo nyingi sana kila mtu anaongea anachojua. Kwenye tukio lolote lile ni lazima conspiracy theories zinakuwa nyingi sana. Acheni hizo bhana,muacheni mzee msoga apumue, msimuonee mzee wa watu.

#StopConspiracyTheories
Tulia wewe huna la maana
 
Hivi dini na siasa zinaingiliana sana mkuu???!! Amuache mama ana haki kikatiba labda wamfanyie figusu kama kawaida ya politics haya yanayoendelea chini kwa chini yanaogopesha kwakweli!!
Ukiona mtu anafanyiwa figisu juwa nae kuna sehemu aliwahi kufanya figisu. What goes around...............

Dia twende na mwendo wa code, hii ni riwaya😉
 
Back
Top Bottom