Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Naona news za buana haa mym zimenyofolewa, na naamini atakuwa kala BAN. Ila ninachoshukuru watukanaji na dhihaka wa hayati Dkt Magufuli naona wameufyata baada ya kuona upepo is not on their side. Sijui watakuja na nini tena maana the damage ya political career yao is huge tena very huge in terms of people ni multitudes hatred.
Hivi Jiwe anakuwaje anapata wafuasi? Kuna watu ni wapumbavu aisee
 
Kuna ID's humu za miaka ya 2010-2014 zina like comments tu hadi zinaogopesha[emoji16]
Mkuu
Uzi huu ni wa kijasusi na Wana jambo lao wanataka kutufikishia!
Wanatuchora na kutucheka huko pm!
Nimewahi onywa kisa kuchangia huu uzi!
Pia muonyaji akaniambia nikumbuke natumia public internet kuingia humu!
Nikajua we aren't alone in this!!
 
Mkuu
Uzi huu ni wa kijasusi na Wana jambo lao wanataka kutufikishia!
Wanatuchora na kutucheka huko pm!
Nimewahi onywa kisa kuchangia huu uzi!
Pia muonyaji akaniambia nikumbuke natumia public internet kuingia humu!
Nikajua we aren't alone with this!!
Kwa hiyo nawe huo mkwara mbuzi ukakuogopesha?
 
Mkuu
Uzi huu ni wa kijasusi na Wana jambo lao wanataka kutufikishia!
Wanatuchora na kutucheka huko pm!
Nimewahi onywa kisa kuchangia huu uzi!
Pia muonyaji akaniambia nikumbuke natumia public internet kuingia humu!
Nikajua we aren't alone with this!!
Heee.... Pamoja na hayo JPM ni zawadi ya kipekee Mungu alitubariki tanzania, watu wa aina yake hawazaliwi kila siku, jamaa aliipenda nchi kutoka moyoni na sio kama hawa wasaliti na waigizaji walamba asali
 
Funga mdomo wako wewe sukuma gang, alikuwa zawadi kwako na familia yako ambao hamjielewi
 
Anapendwa kuliko hata wewe ulie hai.

Ukitaku kujua anapendwa kiasi gani, waweke picha yake igombee urais afu hiyo picha igombee na kiongozi yeyote aliye hai ambae wewe unampenda kuliko jpm siku hiyo utajificha shimoni.
Jiwe anapendwa na wapumbavu pamoja na masikini ambao hawajielewi wala kujua nini kinaendelea duniani. Nipe mfano wa mtu wenye weredi na akili ambaye anamkubali Jiwe
 
Pole sana. Dkt Magufuli anapendwa mno kwa taarifa yako. Ukitaka kuona umaarufu wa Dkt Magufuli nakushauri nenda pale kariakoo halafu anza kumkashifu au panda daladala uanze kumkashfu Dkt Magufuli, kitakachokutokea tujulishe
Umeona jinsi ulivyo mjinga na masikini. Sikatai ana wafuasi tena wengi, lakini ni watu wa aina gani? Wengi ni kama dizaini yako.
 
Back
Top Bottom