myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Ya kawaida tu...Usiogope
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kawaida tu...Usiogope
Hapana siwatetei hata kidogo ninaangalia maslahi mapana ya Taifa huko tuendako tusije tukajiletea laana.why are you using excessive energy to defend these killers? looks like you have assumed the role of yoga
Paka ashikishwe adabu ,yampasa kujua sasa wale waliochonga kinyago wameamua kukibomoa baada ya kujifanya kinataka kuwatisha.Shida ni Huyo paka kuja kukaa sebuleni kwetu.born town ashinde tu
Naam! You nailed. The blessings of Almighty God be upon you my brother.That is what we call FREEDOM OF EXPRESSION.
Hapa ndio pana shida...nimeshauri sana kwamba hekima na busara viangaliwe na kutumika kabla hatujafikia huko.Vasco haweki kukaa pembeni unless he's eliminated. Ana power kubwa sana, ameweza kuiweka kampuni kwenye kiganja. Awe eliminated tu, sema dhambi ya kueliminate maceo huwa ni endelevu, ukimmaliza huyu, anayekuja anakumaliza.
The word.pk has killed many Rwandese in foreign lands suspected of opposing his style of leadership, if not dealt with properly, he could extend his evil hands in our company.
Duh, we nae ni mzito asee!Wakuu Naombeni Code ya KP !!
Alphabet ya 11 + alphabet ya kwanza + GAMEWakuu Naombeni Code ya KP !!
Shukrani sana mkuu lol kumbe yule nae yumo mchezoni dah!!!!Alphabet ya 11 + alphabet ya kwanza + GAME
Hatareeeh sana.Shida ni Huyo paka kuja kukaa sebuleni kwetu.born town ashinde tu
hahahaha.ceo wa jirani na kule nakoendaga kwenye vurugu.mrefu mwembamba.Ndio mie ni kilaza mnooo!!
mtu chake njoo unipe code huku!!
Late ceo nafasi ya kuwa CEO Bora kuliko wote hakuwa nayo sababu ya uwezo wake mdogo, nilichoona watu walikua na matarajio makubwa tu, ni Kama Sasa watu walivyo na matarajio makubwa kwa current ceo ikiwa uhalisia wanaujua au wameamua.Late CEO alikuwa na nafasi kubwa ya kuwa CEO bora kuliko wote. Sijui nini kilimchanganya. Mwisho wa siku amekuja kuonekana wa kiwango cha chini sana hadi Born Town anaonekana wa maana.
Kuna kitu wengi naona mnakikwepa either kwa bahati mbaya au kwa makusudiNdio maana mliunda kikosi kazi ili muuwe biashara za watu eeeeh?
Pale TRA wapo wengi walichukia kikosi kazi kukaa pembeni... Kamuulizie H. Sali.. Yupo analia na mshahara tuu baada ya kikosi kazi kuvunjwa... Watu walikuwa na uhakika wa mpaka million mbili kwa siku... Za Rushwa.... Mnavamia wafanyabiashara wakubwa kwakuwa mna go ahead (ruhusa ya Jiwe) mnawaambia toa kiasi hiki TRA.. Na mimi nipe kiasi hiki... Bila hivyo jiandae kwenda Kisutu na nitahakikisha hakuna dhamana.....
Ilikuwa wakati wenu kutesa... Sasa yalishapita hayo...
Hilo swali gumu sana, kama hawatakutukana, watupuuza tu.Kuna kitu wengi naona mnakikwepa either kwa bahati mbaya au kwa makusudi
Kwanza naakubaliana na mabaya yaliyofanywa na kikosi kazi kwa kuwa mm pia niliwahi kupata shida nao.
Lakini kabla ya kikosi kazi Cha jiwe, enzi za awamu ya nne TRA walikua hawachukui rushwa kwa watu? Walikua hawakaamati watu na kuwapeleka mahakamani?
Je sasa hivi awamu ya Samia, TRA hawachukui rushwa?
Unajua wengi mnashindwa kuelewa hawa wanasiasa ni watu wa aina gani, mnawapenda na kuwageuza kuwa malaika.Mimi unafikir nakubaliana na ccm hata kwa bahati mbaya jinsi wanavyoendesha hii nchi? Hapana. Natamani reformation kubwa sana lkn siyo kwa kuuana. Hicho kisasi chake achaaa. Nakuambia hicho kisasi ysikitamani. I know there are smart ways to deal with this. Ila siyo kwa kuua. Its never the best option.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Yaani Awamu ya nne Rushwa ilikuwepo sana... Hata leo hii pale TRA, haya mambo yapo....Kuna kitu wengi naona mnakikwepa either kwa bahati mbaya au kwa makusudi
Kwanza naakubaliana na mabaya yaliyofanywa na kikosi kazi kwa kuwa mm pia niliwahi kupata shida nao.
Lakini kabla ya kikosi kazi Cha jiwe, enzi za awamu ya nne TRA walikua hawachukui rushwa kwa watu? Walikua hawakaamati watu na kuwapeleka mahakamani?
Je sasa hivi awamu ya Samia, TRA hawachukui rushwa?
Hapa ndio watanzania wengi tumekwama na tushakwama.Tatizo lake alikuwa materialist ndio hapa alianza kujichanganya, yeye alipenda vitu bila kuviwekea misingi ya utu na uwazi. Kwa mfano issue ya elimu bure alikurupuka maana nchi yetu bado ni changa haina financial supremacy kutoa free service. Leo ukienda kwenye shule zetu unalia, hali mbaya sana. Badala ya kuboresha elimu yeye alipenda sifa zaidi.
Kiongozi sio kujenga madaraja na kutunisha misuli. Kwenye dunia ya leo unadanganya watu kwa unaweletea maendeleo badala ya kuwajengea uwezo wajiendeleze wenyewe. Mzee alikuwa mtendaji ila hakuwa kiongozi mzuri